chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Nipashe wamechapisha taarifa kuwa 'Halima Mdee kuwaongoza wabunge 19 wa CHADEMA kuhamia CHAUMMA'

  2. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yatoa wito kwa tume huru ya uchaguzi kuondoa zuio na utayari wa chama kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  3. Q

    Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

    Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji. Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
  4. Lord Denning

    The Defining Moments for CHADEMA: Watanzania wazidi kuikataa CCM na hila zake za kuiua CHADEMA. Maamuzi ya Msajili kuzuia ruzuku yapingwa kila kona

    Sasa ni dhahili, CCM imeazimia kuiua Chadema kwa kutumia vyombo vya Serikali/ dola baada ya hila na mbinu zote za kisiasa kufeli. Walianza kutoa hela kwa wajumbe wa Chadema ili Lissu na Heche wasiwe viongozi wakafeli, Wakatoa mabilioni ya shilingi kuhonga mamluki ili wajiondoe Chadema mradi huo...
  5. funaku

    Uchaguzi wa mwaka 2000 Chadema haikuwa na mgombea Urais

    Hii ni kumbukumbu kwa vijana wa 2000
  6. Carlos The Jackal

    Hata hivo CHADEMA ingekua na haja ya Ruzuku, Isingekataa kushiriki uchaguzi , imekataa kushiriki ili isipate Ruzuku !! CHADEMA inasonga mbele!!

    Makamanda, Tunasonga mbele, tukichangie chama , kesho nitaanzisha Uzi ambao nitahitaji Screenshots za Kukichangia CHADEMA shilingi Elfu Kumi Kumi tu!!. Najua tumechangia na tunaendelea kuchangia, ili Tuwaonyeshe Hawa manyang'au wa CCM kua CHADEMA ni chama Cha Wananchi basi Kwa heshima na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CHADEMA Kufanya mkutano wao Kilombero licha ya zuio la polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha. Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Elisa Stephano Mungure ameeleza kuwa...
  8. OMOYOGWANE

    Hii mbinu ya CCM kujigawa mara mbili nimeipenda, itawatoa mchezoni CHADEMA mchana kweupe

    Habari wakuu Inahitaji utulivu mkubwa kuweza kusoma mchezo, sasa hivi CCM wanakosoana wenyewe kwa wenyewe huku watu wakishangilia na kusifia viongozi wa CCM wanaoikosoa CCM. Mtoto wa nyoka ni nyoka, na mwana CCM ni mwana CCM, once a CCM always a CCM Hii mbinu imetumika sana miaka ya nyuma...
  9. mshale21

    PreGE2025 John Heche, Chama chetu kitashinda vita hizi zote, watanzania msiogope

    Serikali ya Samia Suluhu iko vitani dhidi ya chama chetu. Walimkamata Mwenyekiti na kumpa kesi ya uongo. Walifungua kesi ya uongo kutumia viongozi wa zamani kutoka Zanzibar. Sasa msajili ambae yeye ndio anaandika barua ya kutushitaki alafu yeye anatoa huku kwenye barua yake. Hana mamlaka...
  10. BLACK MOVEMENT

    PreGE2025 Mtego wa Msajili wa Vyama kwa CHADEMA kuhusu kuitisha mkutano Baraza kuu kuwapitisha viongozi wa secretarieti ya chama

    Mtego ulio tengenezwa ni kwamba CHADEMA wakiitisha tu mkutano wa Balaza kuu basi wamiesha, yaani hao viongozi wa Balaza kuu la CHADEMA watapitishiwa pesa za kutosha na either wafanye yafuatayo; 1. Kuto wapitisha kabisa viongozi hao wapya wa secretaroeti. 2. Kuleta fujo ya hatari sana ukumbini...
  11. Erythrocyte

    Kwanini Msajili wa Vyama vya siasa anaogopa kuifuta Chadema kama Alivyoagizwa?

    Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu. Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema...
  12. Carlos The Jackal

    Ulaya , Marekani na Mashirika ya Fedha ya Duniani Kuna sababu ya kuendelea Kutoa Misaada na Mikopo kufuatia Serikali Kusimamisha Ruzuku Kwa CHADEMA?

    Swali langu huko CCM Huwa siku zote ni Moja tu, Unatakiwa uwejinga Kwanza ndio uwe Mwanaccm ? Au MTU anakua na akili yake vizuri tu kwanza alafu akishakua Mwanaccm ndio anakua Mjinga?. RAIS Samia kupitia Msajili Kasitisha Ruzuku Kwa Chama Cha CHADEMA , hii sio vita dhidi ya CHADEMA, ni vita...
  13. Huihui2

    PreGE2025 Kufika Agosti 1, 2025 CHADEMA itakuwa imefutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

    Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena. Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na...
  14. Lord Denning

    Ombi: Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania hela mnazotoa kwa Serikali ku support Demokrasia zipelekeni kwa Chadema baada ya Msajili kusitisha ruzuku

    Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
  15. mshale21

    PreGE2025 Msajili asitisha ruzuku CHADEMA, atishia kusimamisha shughuli za chama wakiendelea kukaidi na kuwatambua viongozi

    Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya siasa: Mnyika, Golugwa na Lema sio viongozi CHADEMA

    "Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema, 1. Bwana John Mnyika 2. Amani Golugwa 3. Ali Ibrahim Juma 4. Godbless Lema 5. Dkt. Rugemeleza Nshala 6. Rose Mayemba 7. Salima...
  17. Just Pray

    PreGE2025 BAWACHA: CHADEMA bado ipo imara, kwenye majimbo 30, wameondoka viongozi wanne tu

    Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati Emmy Kibatala amesema kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujawateteresha hasa kuelekea uchaguzi mkuu ambapo amedai watashiriki ikiwa mifumo ya uchaguzi itawekwa sawa...
  18. M

    CCM, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, ACT, NGOs kesho Kwa pamoja kujadili faida za PPP katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya 2050

    https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY === Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam. Pamoja na...
  19. chiembe

    Kama wakati wa uchaguzi CHADEMA walisingiziana maneno ya uongo mpaka wanaunda kamati ya ukweli na upatanishi, hawawezi kuaminika kwa mengine

    Mzee wetu wa heshima Mbowe, wakati anatoa hotuba yake ya kuachia uongozi, aliwasihi anaowakabidhi waunde kamati ya upatanisho baada ya kuchafuana sana ndani ya chama hicho wakati wa uchaguzi. Hawa watu wanaosemeana uongo na kuchafuana kiasi hicho, wanaishia kusema uongo ndani ya chama...
Back
Top Bottom