chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CHAUMMA achanganya mafaili akifikiri bado ni CHADEMA, asema 'Peoples'

    Lumola Kahumbi mwanachama wa CHAUMMA na mgonbea ubunge wa jimbo la Bariadi amejikuta akitamka neno "pipoziiiiii" mbele ya wanachama wa CHAUMMA Hali iliyozua mshangao kabla ya bwana Lumola kurekebisha kauli yake Ikumbukwe kuwa Lumola alikuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kuhamia CHAUMMA
  2. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Kidigitali CHADEMA: Viongozi wajadili mustakabali wa uchaguzi Mkuu 2025

    Chama cha Demokrasia na Mendeleo kimeandaa Baraza la Kidigitali ambalo leo Agosti 27, 2025 kwa lengo la kujadili mustakabali wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fuatilia... https://www.youtube.com/watch?v=X6MuQ8tB36M
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania ACT sawa yawapate, Chadema ikisema NO REFORMS NO ELECTION mnakuja na TUTALINDA KURA badala ya kuunganisha nguvu za NRNE

    Kukiwa na reforms wanazozipigania CHADEMA, haya yote yasingelikuwepo! Badala ya kuunganisha nguvu, mnaleta mzaha wa ujinga wa tutalinda kura. ngoja kiwapate, safi kabisa. AU mnacheza mchezo huu na wadau wenu kuhalalisha Samia kutokuwa na mpinzania!
  5. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania ACT, Msajili wa vyama kawatengenezea njia ya kudai Reforms. Ni hapa hapa no Golden chance again

    Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms. Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani? Mpaka sasa hakuna majibu ya kesi hiyo na Kuna dalili kwamba ikapigwa chini. Sasa huu moto wa mpina...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni sawa Red tail kundi la marubani weusi wa vita iliyowatisha wajerumini vita vya pili ,Japo wamarekani waliogopa ila hipo siku

    Mimi naamini watu weusi tuliuzwa na watu weusi ambao akili zao ndogo tukawapa ndio watuongoze.Kwa hiyo utumwa wa fikra,maisha na akili unaongozwa na akili ndogo nchi nyingi ambazo uhuru wa uwazi utakiwi. Katika miaka ya nyuma nchini marekani ilikumbwa na changamoto ya wanajeshi upande idadi...
  7. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Ni wakati wa Chadema kukinukisha Sasa? Tujitafakari upya

    Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae. I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini...
  8. R

    JamiiForums Tanzania CCM fanyeni yote, lakini mtakosa POLITICAL LEGITIMACY mbele ya watanzania na duni nzima kama hamkufanya necessary reforms as proposed by Chadema

    Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force. High legitimacy means citizens voluntarily obey laws and support the government's actions because they...
  9. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Magufuli Chadema hawa hawa walisema bora Kikwete , muda huu wanasema Kikwete hafai hivi hawa Nyumbu wana akili kweli?.

    Hivi ukiwasikiliza Nyumbu wa Chadema unaweza kuwaelewaje. Wakati wa Magufuli walipiga Kelele kuwa bora utawala wa kikwete . Leo tena mnasema kikwete hafai, mnabidi mkapinwe UTI sugu
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa kuwa John Heche amesema Gwajima Lengo lake ni urais kupitia CHADEMA

  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa MCHEZO hatari, ni Zitto wa Chadema au Act wazalendo anapambana na Baba Levo ubunge?

    Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo? Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo? Time will tel Niko pale
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Baraza la Kidigitali Agosti 27

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Baraza la Kidigitali linalotarajiwa kuketi saa 4:30 asubuhi Agosti 27, 2025. Taarifa iliyotolewa na CHADEMA leo Agosti 25 imeeleza:
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawataki CCM ishike madaraka, wakati huo huo hawaitaki ACT iwepo kokote duniani na pia hawaitaki CHAUMMA popote Tanzania Wanapigana na wowote!

    Hao ndio chadema ni kama nyoka Fulani anaitwa koboko yeye Huwa anarusha sumu hata majani yakitikisika tu ! Wakati mwingine hawataki hata nyoka wenzake anaona wote ni adui zake !! Chadema anaweza kukuona binadamu pale unapokuwa upande wake lakini saa yoyote ukiwa upande mwingine wa chama...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee

    Waliokuwa wanachama wa CHADEMA Kata ya Kinyerezi na baadae wakahamia Chaumma leo wametangaza kurudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee Sababu ya kuhama mifumo iliyopo kwenye chama CHAUMMA si ya katiba bali ni mifumo ya watu binafsi ili kupata ubunge na udiwani
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanaoingia CCM ni kweli wanaipenda?

    Je, Chadema wanaoingia CCM ni kwenye wanaipenda. Msiyoyajua kichini chini wengine ndiyo wapeleka habari kwa Chadema. Mfano moyoni Kitila ambaye alipelekwa Chadema anawapa habari nyingi sana marafiki zake wakina Lema na Heche. Kuna wengine wengi tu ambao sio wanachadema lakini ni wapinzani wa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamteua Gerva Bernard Lyenda kuwa mkuu wa Idara ya Habari

    TAARIFA KWA UMMA Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi hii kuanzia leo, tarehe 25 Agosti 2025. Imetolewa leo Jumatatu, 25 Agosti 2025 Brenda Rupia...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mpinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi Tundu Lissu yupo jela

    Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao. Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Sisi hatutaki kushinda uchaguzi kwa sababu CCM wamegombana

    “Kuna watu wengi jana na leo wamenipigia kuhusu yanayoendelea kwenye teuzi za CCM na wengi wanasema kutokana na vurugu, kuumizana, migogoro na chuki ambazo ziko ndani ya CCM kwamba hii ni fursa kwetu kupata wabunge wengi kama CHADEMA,” amesema John Heche Makamu mwenyekiti Chadema. Hata hivyo...
  20. EBUILT

    JamiiForums Tanzania Kama reforms ingefanyika, wote waliokatwa wangekimbilia CHADEMA

    Majina ya waliokuwa wabunge wa CCM wenye majina makubwa, kama January's Makamba, Ummy Mwalimu, n.k wote wangehamia CHADEMA. Na mwaka huu CCM ingekufa kifo kibaya sana.
Back
Top Bottom