chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA zibeni matundu haya kunusuru pesa zenu

    Tangia mwaka 2015 nilianza utafiti ndani ya chama cha chadema baada ya kuwa chana kikuu cha upinzani bungeni. sababu za utafiti.... Nibaada ya Dr w.slaa kuamua kuondoka chadema kisa akiwa mh.E.N.Lowasa. misingi yangu ya utafiti ilizingatia mambo yafuatayo 1.kauri ya mh f.mbowe kuwa dr slaa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

    Ndugu zangu, Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM. ''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Siasa zinazofanywa na CHADEMA zilifanywa na Prof. Lipumba na CUF wakati wa IGP Mahita zikafeli. Je, mwamba Mbowe atafaulu?

    Hizi siasa zinazofanywa na Chadema leo wakiongozwa na Mbowe zilishafanywa na CUF ya Lipumba na Maalim Seif enzi za IGP Omar Mahita lakini zilifeli. Wakati ule CUF walijiita Ngangari na Mahita akawabatiza vijana wake jina la "Ngunguri" na kilichofuatia tunakijua CUF walihamia uhamishoni Mombasa...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

    Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020. ==== Updates “Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe. “Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kulipiwa Mh Msigwa na Rais Magufuli: Je, Protocal inaweza kuamua thamani ya milioni 40,000,000 za Chadema kuwa chini ya mil. 38,000,000 za Mh Rais?

    Hilo ni swali kama mada inavyohusika. Huwa tunaambiwa muda una thamani kuliko pesa. Pesa unaweza kuzipata ukijali muda. Lakini muda ukikupita huupati tena. Tuangazie kidogo nguvu ya Protocali na muda kuhusu sakata lililoibuka la kulipiwa Mh Msigwa na Rais Magufuli. Mtakumbuka kila upande...
  6. JamiiForums Tanzania Kirefu cha CHADEMA kwa mujibu wa afande Mambosasa, ni kuteleza au kutoka moyoni?

    Wakati afande Mambosasa akiwa kwenye press conference, alikuwa na mambo mawili, la kwanza ni lile la wabunge wa CHADEMA na meya kukamatwa kule Segerea, na la pili ni ajali ya gari. Alianza kwa kusema, '... wafuasi wa chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.' Maswali: hivi kirefu cha Chadema ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

    Salam sana wapenzi wana jamvi. mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA public sympath haitawasaidia, kama kushindwa mmeshashindwa

    Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii. Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani. Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote...
  9. JamiiForums Tanzania Ufisadi katika fedha za uchangiaji wa faini za za viongozi wa CHADEMA

    Chadema imeendelea kuwathibitishia wanachama wake wachache waliobaki kuwa ni chama cha kundi dogo la watu wanaojali maslahi yao binafsi kuliko maslahi ya mtanzania mwingine yeyote. Hii inathibitika katika zoezi lililomalizika la uchangiaji wa fedha kwa ajili ya faini za makosa waliyofanya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukimya wa wabunge hawa wa CHADEMA ktk kipindi hiki chama kinavurugana kunanini?

    Wabunge hawa nahisi kunajambo linaenderea ndani yachadema 1.Thelasini 2.Com 3.Kubenea 4.Joseph haule 5.Sugu 6.Silinde 7.Kiwanga 8.jLJualikari Mwenye kufikiri atakuwa na majibu . (Yajayo yanafurahisha)
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama tunaendelea kuruhusu ndege kuingia nchini, serikali izuie ibada na mikusanyiko mingine yote isiyo ya lazima ikiwemo kudhibiti masoko

    Wakati baadhi ya nchi za wenzetu sasa zimefikia hatua ya kudhibiti raia wake kwa kuwataka wabakie majumbani, kufunga mashule na vyuo, kupiga marufuku mikusanyiko ya michezo kama soka, kufunga mipaka n.k zikiwa ni hatua za kudhibiti kusambaa kwa Corona, sisi tume-relax tukiamini udhibiti...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA hamkujua kwamba Ulinzi wa Magereza ni kama Ulinzi wa Ikulu? Wangetoroka wafungwa kwenye maandamano yenu nani angewajibika?

    Nashindwa kuelewa nini maana ya siasa kwamba inafikia hatua watu wazima na akili zao wanashindwa kujua mipaka ya majukumu yao. Kwanini msitambue wala kujua mambo hatari kwenye usalama wa nchi? Vyovyote mfanyavyo, msivuke msitari mwekundu, si tu mtaumizwa bali pia mtauliwa kabisa na kutoweshwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa michango iliyokusanywa na CHADEMA ili kuwalipia faini viongozi wao

    MCHANGANUO WA MICHANGO ILIYOKUSANYWA NA CHADEMA ILI KUWALIPIA FAINI VIONGOZI WAO. 1. Rais Magufuli 38,000,000/= 2. Watanzania 30,000,000/= 3. Ndugu wa Mch. Msigwa 2,000,000/= 4. Hamphrei Polepole 30,000,000/= 5. Mkopo (Precision Air Tanzania) 250,000,000/= Jumla ya Michango yote ni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Inawezekana makamanda wa Chadema waliohamia CCM ni magarasa na turufu bado zimebaki Ufipa maana bado wanaonyesha Ufundi!

    Nimesikiliza kauli moja tu ya mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa akikiri kuwa ana undugu na Rais Magufuli. Na zaidi Mchungaji Msigwa akasema kama wanafamilia "wao" wana namna wanavyoshughulikia mambo yao. Nilichojiuliza ni kwanini Mchungaji Msigwa hajawahi " Kujimwambafy" kwamba yeye ana...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wazo nzuri kuchangisha Tsh 350m kuwaokoa na kifungo viongozi CHADEMA ilikuwa pamoja na Mashinji. Itakuwa uungwana zaidi Tsh 30M kuirudisha CCM

    CHADEMA mlionesha uugwana mkubwa sana kwa kutuchangisha Tsh 350m kwa wahukumiwa wote hata aliyekuwa katibu Mkuu wenu aliyewakimbia. Hii iliwajengea heshima kubwaa kwa kuonesha kuwa mlithamini mchango wake na isitoshe kesi aliyohukumiwa ilitokana na kuwa kiongozi wa CHADEMA kipindi hicho...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA anamuumiza kichwa Dr wa Majipu

  17. JamiiForums Tanzania Ushauri : Viongozi wa Chadema waliofungwa Segerea wakapimwe kama wamewekewa Sumu

    Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma. Mungu ibariki Chadema
  18. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atoka Magereza

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Ametoka Magereza na kusindikizwa na polisi pls mod naomba msiunge Thread Updates
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mpango wa kujinasua mlipokwama?

    Nyie ndio chama kikuu cha upinzani kwa sasa, lakini inaonena hali si shwari kabisa. Wanachama wanawakimbia nyie mnatoa kisingizio kuwa wananunuliwa(ushahidi haupo) Viongozi wenu wanahukumiwa kwa kosa la jinai nyie mnaleta propaganda,mara account zimefungwa, tumechangiwa na wananchi n.k...
  20. J

    JamiiForums Tanzania DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

    DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa. DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake. Chanzo: ITV habari! Pia soma > Mahakama ya Kisutu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…