CHADEMA public sympath haitawasaidia, kama kushindwa mmeshashindwa

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.

Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.

Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?

Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.

Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
 
Huu ndiyo unyani wa ukweli..wazungu awakosea ata siku mmoja.Wanyama wenye rangi nyeusi awawezi kuitwa binadamu au watu kamili.HALF HUMANS
 
Seriously hawa watu ni kama watoto yatima waliokosa malezi na miongozo ya kuwafanya wawe na ustaarabu wa kibinadamu!
 
Wewe "Mami" ulitaka CHADEMA wafanye Je ?!. Mbona Mashinji alipokelewa bila kelele na ma camera gerezani ?!. Mbona kina Ester na Halima walipokelewa bila mbwembwe ?! . Mbona Msigwa alipokelewa na teams mbili za Ccm na Cdm bila fujo na kelele ?! Ilikuwa Je ilipofikia kwa Mbowe mambo yalibadilika ?!.

Hizi hadithi ulizoandika hapa zinanikumbusha askari makaburu SA nao walikuwa hivi hivi , na walifikiri wanadhibiti wapigania Uhuru , Leo wako wapi ?! Kuwaacha wana Cdm wamchukue kiongozi wao kama Polepole alivyomchukua Dr Mashinji kungeliigarimu nini serikali ?!

Wananchi tena walio wengi wapo na Cdm . Double standard haimsaidii mkuu kuwa kiongozi bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu unamfungukia gate. Unamwandikisha jina kwenye kitabu chako. Unamruhusu aendelee mbele, halafi askari wengine wanaanza kuwapiga na kusema wamevamia gereza. Ina maana walivunja gate?

Uwe na akili ya kufikiri. Watu kama ninyi ndio mnaolengwa na watu wajinga kwa kuamini kuna wajinga kuwazidi wao.

Najua kuna wajinga wenzio hata humu watakakuona umeandika mambo ya maana but this total crap worth for low minds.
 
Hivi mtu unamfungukia gate. Unamwandikisha jina kwenye kitabu chako. Unamruhusu aendelee mbele, halafi askari wengine wanaanza kuwapiga na kusema wamevamia gereza. Ina maana walivunja gate?

Uwe na akili ya kufikiri. Watu kama ninyi ndio mnaolengwa na watu wajinga kwa kuamini kuna wajinga kuwazidi wao.
Mh..uliona kwa macho yako? Maana askari aanze kukushambulia kama mwehu! Bila sababu. Huna haja ya kutukana. Watanzania sio wajinga.Ila kama ulikuwepo na ukaona walipigwa bila kosa.Nenda kamuone Mambo sasa maana hapo askari watakuwa wamefanya makosa.
 
Wewe "Mami" ulitaka Cdm wafanye Je ?!. Mbona Mashinji alipokelewa bila kelele na ma camera gerezani ?!. Mbona kina Ester na Halima walipokelewa bila mbwembwe ?! . Mbona Msigwa alipokelewa na teams mbili za Ccm na Cdm bila fujo na kelele ?! Ilikuwa Je ilipofikia kwa Mbowe mambo yalibadilika ?!.

Hizi hadithi ulizoandika hapa zinanikumbusha askari makaburu SA nao walikuwa hivi hivi , na walifikiri wanadhibiti wapigania Uhuru , Leo wako wapi ?! Kuwaacha wana Cdm wamchukue kiongozi wao kama Polepole alivyomchukua Dr Mashinji kungeliigarimu nini serikali ?!

Wananchi tena walio wengi wapo na Cdm . Double standard haimsaidii mkuu kuwa kiongozi bora

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza hiyo clip kwa umakini "jaduong" na wana kesi mahakamani.Sasa unaleta pindisa mineno
 
Sikiliza hiyo clip kwa umakini "jaduong" na wana kesi mahakamani.Sasa unaleta pindisa mineno
Onghwise, ni hivi porojo za Mambosasa una hiyari ya kuziamini . Unaamini Wana Cdm walienda kuvamia gerezani ili kumtoa Mbowe ?!. Basi shule hiyo hakukusaidia kwenye "tafakuri".

Nimekuuliza maswali ktk hoja ya kwanza, wala hukujibu halafu unadai kupindishwa maneno ?!.

Tatizo lililopo ni kuwa serikalini hawakutegemea kama wananchi bado wanaithamini Cdm . Na ndiyo maana unaona sarakasi hizi za mara ikulu kungangania kulipa sehemu ya faini !!. Ajabu unazua tatizo halafu unajifanya kuwa na huruma kuutatua tatizo lenyewe. Kumbuka kisa cha kikokotoo

Mwambieni wa mukaya afanye Tu kazi . Na mambo ya kupendwa yaje yenyewe , wasilazimishe . Wiraga mami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom