Kirefu cha CHADEMA kwa mujibu wa afande Mambosasa, ni kuteleza au kutoka moyoni?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Wakati afande Mambosasa akiwa kwenye press conference, alikuwa na mambo mawili, la kwanza ni lile la wabunge wa CHADEMA na meya kukamatwa kule Segerea, na la pili ni ajali ya gari. Alianza kwa kusema, '... wafuasi wa chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.'
Maswali: hivi kirefu cha Chadema ni chama cha maendeleo na wananchi? Au maana hii ni kutokana na michango ya wananchi kulipa faini ya wabunge wa Chadema? Huko ni kuteleza au ndio aonavyo yeye kutokana na wananchi kuchangia faini ya wabunge wa Chadema? Au siku zote hakujua kirefu cha Chadema kuwa ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo? Au msamiati DEMOKRASIA haupo kabisa kwenye kapu la misamiati la Kamanda? Je, hicho kirefu kipya cha Chadema na chenyewe anakipeleka kwa umma?

Msikilize kamanda katika video hii sekunde 35 za mwanzo.

Hivi Mambosasa mtu wa wapi maana jitu katili zaidi ya Hitler na Idd Amin. Huyu akipata nafasi atakula nyama za watu kama alivyokuwa anafanya Idd amin.
 
kwani ni mwanajeshi au polisi aahhhh au polisi nao ni wanajeshi siku hizi
Yes, wote ni wanajeshi, then unawanyambulisha.. kuna jeshi la magereza, jeshi la polisi, jeshi la ulinzi... jeshi la mgambo.... umeniapata? Jeshi la Wokovu????? Am I right?
 
Wakati afande Mambosasa akiwa kwenye press conference, alikuwa na mambo mawili, la kwanza ni lile la wabunge wa CHADEMA na meya kukamatwa kule Segerea, na la pili ni ajali ya gari. Alianza kwa kusema, '... wafuasi wa chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.'
Maswali: hivi kirefu cha Chadema ni chama cha maendeleo na wananchi? Au maana hii ni kutokana na michango ya wananchi kulipa faini ya wabunge wa Chadema? Huko ni kuteleza au ndio aonavyo yeye kutokana na wananchi kuchangia faini ya wabunge wa Chadema? Au siku zote hakujua kirefu cha Chadema kuwa ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo? Au msamiati DEMOKRASIA haupo kabisa kwenye kapu la misamiati la Kamanda? Je, hicho kirefu kipya cha Chadema na chenyewe anakipeleka kwa umma?

Msikilize kamanda katika video hii sekunde 35 za mwanzo.

Hicho chama kilishakufa, hakipo.
 
Lazaro Mambosasa ameahidiwa kuwa IGP baada ya Simon Sirro atakapostaafu kwa kupitia ushawishi wa Makonda kwa Jiwe. Lazima afanye unyama uliopitiliza ili apate cheo hicho
 
Wakati afande Mambosasa akiwa kwenye press conference, alikuwa na mambo mawili, la kwanza ni lile la wabunge wa CHADEMA na meya kukamatwa kule Segerea, na la pili ni ajali ya gari. Alianza kwa kusema, '... wafuasi wa chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.'
Maswali: hivi kirefu cha Chadema ni chama cha maendeleo na wananchi? Au maana hii ni kutokana na michango ya wananchi kulipa faini ya wabunge wa Chadema? Huko ni kuteleza au ndio aonavyo yeye kutokana na wananchi kuchangia faini ya wabunge wa Chadema? Au siku zote hakujua kirefu cha Chadema kuwa ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo? Au msamiati DEMOKRASIA haupo kabisa kwenye kapu la misamiati la Kamanda? Je, hicho kirefu kipya cha Chadema na chenyewe anakipeleka kwa umma?

Msikilize kamanda katika video hii sekunde 35 za mwanzo.

chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.'
Amekosea jina la chama ila naona kama amekipa jina zuri zaidi kuzidi hata lile sahihi la siku zote
 
Wakati afande Mambosasa akiwa kwenye press conference, alikuwa na mambo mawili, la kwanza ni lile la wabunge wa CHADEMA na meya kukamatwa kule Segerea, na la pili ni ajali ya gari. Alianza kwa kusema, '... wafuasi wa chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.'
Maswali: hivi kirefu cha Chadema ni chama cha maendeleo na wananchi? Au maana hii ni kutokana na michango ya wananchi kulipa faini ya wabunge wa Chadema? Huko ni kuteleza au ndio aonavyo yeye kutokana na wananchi kuchangia faini ya wabunge wa Chadema? Au siku zote hakujua kirefu cha Chadema kuwa ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo? Au msamiati DEMOKRASIA haupo kabisa kwenye kapu la misamiati la Kamanda? Je, hicho kirefu kipya cha Chadema na chenyewe anakipeleka kwa umma?

Msikilize kamanda katika video hii sekunde 35 za mwanzo.

kama kamanda kusoma Kiswahili sanifu tu ni shida aliyoyaongea je yanaukweli gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada hujui kuwa vyama vimebadilishwa majina hapa nchini??
kuna chama cha uongozi wa kutumia dola CCM na chama cha maendeleo na wananchi CDM

CCM inatumia dola kujiongoza ndio maana inaitwa chama dola na CDM ni chama cha wananchi na maendeleo kwa sababu ya michango ya hivi karibuni kutoka kwa wananchi ..
hivi ujiulizi kwanini kuna timu inaitwa timu ya wananchi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom