DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,957
Mifupa ya Aquiline yameanza kujigeuza, taratibu tutafika.
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.

DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.

Source ITV habari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.

DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.

Source ITV habari!
Hiki kimtu kifupi kama mavi ya mwisho kinajjona kimeyapatia sana maisha. Kinakubali kutumika na Jiwe, iko siku Jiwe atatoka madarakani na watajuta sana
 
Back
Top Bottom