chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Chadema wanazidi kuonyesha ukomavu

    Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana. Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza...
  2. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA waendelea kuzichanga karata vyema

    Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana. Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza...
  3. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tutaishinda CCM jinsi ilivyo. Ng'ombe huyu mara hii hageuziwi Kibla, anachinjwa alivyolala

    "Serikali inayoogopa watu, serikali inayoishi kwa uongo haiwezi kushinda kura. Na mimi niwaambie na hiyo meseji iwafikie, uchaguzi huu tunaenda hakuna wa kujitoa. Uchaguzi huu tunaenda, tunajua hakuna Tume Huru (ya Uchaguzi). Tunajua wanatunga sheria zozote wanazotunga. Tumeamua tuache watunge...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Kada wa CCM kumtangaza "Mshindi" mgombea wa CHADEMA?

    Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA? Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana? Maendeleo hayana vyama!
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hadi sasa watu watatu wamejitokeza kutaka Urais wa Zanzibar akiwemo Mohammed Ayoub

    Mohamed Ayoub Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu umma wa Watanzania kupitia Mkutano huu kuwa jumla ya Wanachama 3, wamejitokeza kutia nia kuwania uteuzi wa kupeperusha bendera, kugombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu utakao fanyika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya Serengeti, watunukiwa vyeti vya heshima

    Hongereni sana kwani mmewaza sawa sawa maana haikuwa kazi rahisi na hata sisi wengine humu mitandaoni tulipendekeza kitu chenye kufafana na hiki: Wabunge wa Bunge la 11 na waliokuwa wenyeviti wa halmashauri kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya serengeti leo wametunukiwa vyeti vya heshima kwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

    Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema. Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo. Tusubiri, muda ni msema kweli. Maendeleo hayana vyama!
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe aponda fomu moja ya urais CCM

    Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020. Chanzo: Tanzania Daima My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?! Maendeleo hayana vyama
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baraza la Uongozi la CHADEMA Mkoa wa Mbeya lakutana na watia nia wa Ubunge na Udiwani

    Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa kumekucha , na kwamba kama kuna anayedhani ccm itaambulia chochote Mbeya basi bila shaka atakuwa amelogwa
  11. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Haya mazingira ni ushahidi tosha kwa CHADEMA dhidi ya rushwa ya ngono

    #1 Hapo vip!!! Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa. Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa muda ili kuwepo na usawa kwa wagombea urais CHADEMA!

    Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho. Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu. Kwa hali...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeishiwa kupendwa wabunge wote wanaohama vyama mbalimbali hakuna anayeenda CHADEMA wanaenda vyama vingine

    Moja ya sifa ya chama kupendwa ni kuangalia wabunge wahama vyama CHADEMA imepoteza mvuto wa kupendwa. Wabunge wake wengi wanaondoka chadema kwenda vyama vingine na wanaohama vyama vingine hakuna hata mmoja hadi sasa aliyehama chama chochote kuelekea chadema!! Hata chama kidogo Kama ACT...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA sasa imebaki mikononi mwa Lissu pekee; Siku akihama chama hiki kitameguka vipande vipande

    Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu) Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama! Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza! Tundu lissu ndiye...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ahojiwa TAKUKURU

    Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika leo amehojiwa na Takukuru kuhusiana na swala la makato ya fedha za wabunge wanaowakilisha wananchi kupitia chama hicho. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole. Chanzo: Channel ten! Maendeleo hayana
  17. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Chadema chama kinachosifika wanachadema mpo?

    Kipindi cha nyuma Chadema kilikuwa chama kinachosifika sana ukisikia jina Mbowe yaani unatemeka sio kwa kujitolea au sio kwa hoja zao ila kwa kil kitu zile uniform za grey wanaitana Makamanda. Nakumbuka huku Arusha vijana wengi walikifurahia wengine wakajitolea kwa Mh. Lema ilikuwa fujo na raha...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uungwana: Wabunge wa CHADEMA waliomaliza muda wao watoa shukrani kwa chama chao na wapiga kura wao

    Huyu anaitwa Mh Lucy Owenya aliyekuwa Mbunge wa viti maalum , huyu ni miongoni mwa wengi walioshinda tamaa ya kujiuza na kumalizia kipindi chao cha ubunge kwa kishindo. Ni mmoja kati ya wote waliotoa shukrani kwa chama chao na wananchi .
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

    Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha. Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kafulila angeweza kurudi bungeni kupitia CHADEMA bila wasiwasi na angekuwa ameilinda heshima yake kisiasa

    Naona kwa mbali ndugu Kafulila anajutia uamuzi wa kurudi CCM. Ameona jinsi alivyopoteza. Mwezi Oktoba angekuwa ni kunawa tu kwa hii CCM dhaifu. Angeingia mjengoni kiulainii na angeishia kuwa moja ya wabunge bora wa mwaka 2020-25 Tunawahakikishieni kuwa siri zote za CCM tunazo na ni weupe pee...
Back
Top Bottom