chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Zitto anajua nini anafanya

    ZITTO ANAJUA NINI ANAFANYA. Mbowe alipompeleka Lowasa CHADEMA (inasadikika kidikteta) alisema wamebadilisha gia angani. Mbowe alikuwa anaamini Lowasa atashinda uchaguzi, alitegemea kuwa ile mitandao ya Lowasa italinda kura na CHADEMA kitashika madaraka. Baada ya matokeo ya uchaguzi (inasadikika...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa Uchaguzi huu 2020

    Kama mfuatiliaji wa maswala ya kisiasa nawapa hongera kwa kuendesha mchakato wa kuchagua watia nia Ubunge na Udiwani mapema kabla ya kusubiri watakaokatwa upande wapili na kukimbilia kwenu kwa hasira nanyi kuwapa nafasi na kutupa vilivyo vyenu. Niseme tena hongera
  3. JamiiForums Tanzania Lema: Vijana wa CHEDEMA wanyimwa dhamana Singida kisa kuimba nyimbo ya Taifa na bendera ya chama

    Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama. Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA isihangaike na Urais imeweka wagombea asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania, hawawezi shinda au kuunda Serikali

    CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali. CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA kwanini mmekubali kugawika Jimbo la Ubungo?

    Nawashangaa ndugu zangu CHADEMA kwa ninyi kukubali kuhujumiana hapo Ubungo ilhali wazi mnatambua kugawika kwenu ndani ya chama ni rasmi mnaipa mwaya wa kupenya CCM bila ugumu wowote. Haipo sababu yeyote ya msingi kwanza kwa uongozi mzima wa Wilaya kufukuzwa wakati huu wa uchaguzi bali mlipaswa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Saed Ahmed Kubenea: Sijachukua fomu za Kugombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Ubungo

    Kumekucha CHADEMA. Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia chama kingine Maendeleo hayana vyama ====== Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ameiambia...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti CHADEMA Ubungo ahamia ACT Wazalendo kwa madai kwamba CHADEMA kuna ubakaji wa Demokrasia na upendeleo kwa Boniface Jacob

    M'kiti wa CHADEMA Jimbo la Ubungo na Diwani wa Sinza aliyemaliza muda wake, Renatus Pamba amejiuzulu na kutangaza kuhamia ACT Wazalendo kwa alichodai ni ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA hususan mchakato wa kumpata mgombea ubunge jimbo hilo na kudai uongozi wa juu kuwakandamiza wagombea...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

    Habari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa hajachukua fomu ya kutetea kiti hicho. Kama hizi habari ni za kweli je ni nini sababu? Ametosheka au...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweka Wagombea katika majimbo yote ya Zanzibar

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni. Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na uwakilishi nchini Zanzibar. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama
  10. JamiiForums Tanzania Kujiunga CHADEMA sasa Kidigitali, hakuna haja ya kupanga Foleni

    Fuata hatua zifuatazo kujisajili chadema na kulipa ada zako Chadema digital [emoji2147]
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. === Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa mbunge wa Siha tangu mwaka 2000, mwaka 2015 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na amestaafu...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Iringa na Mbeya: Ngome imara za CHADEMA, CCM 'yategemea' nguvu za Magufuli na dola

    Kwanza nawaomba radhi wana JF kwa kuchelewa kuleta tathmini kuhusu mikoa tajwa hapo juu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Nilipatwa na dharura ya kimaisha iliyonifanya nirudi nyumbani Arusha. Kabla ya kuja huku, nilitembelea mikoa ya Iringa na Mbeya. Nitarejea Moro na tena Njombe...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge wa CHADEMA waliokataa kununuliwa wana nafasi kubwa sana ya kuchaguliwa tena na hii ni ishara ya anguko la wale waliouza utu wao

    Kwa mtazama wangu, matokeo ya kura za maoni ya watia nia wa CHADEMA, yanadhihirisha jambo moja kubwa: Wabunge waliokataa kuuza utu wao, wameaminika sana kwa wananchi na hivyo wana nafasi kubwa sana ya kushinda katika uchaguzi kama walivyoshinda katika kura za maoni. Mfano ni matokeo haya ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness lambert 76 John Mrema 56 Masatu Wasira 7 Gango Kidera 3 Andrew 1 Kura zilizoharibika 1 BUNDA MJINI Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Hata CHADEMA wasiposhirikiana na ACT-Wazalendo, bado CCM itapigwa chini. Membe na Lissu “watakula vichwa vingi” vya wanachama wa CCM

    Wanajamvi, Kama heading ya uzi huu inavyojieleza, ni kwamba hakuna haja ya upinzani ku panic kabisa! Hayo ni ya wana ccm kuyafanya, na kamwe siyo upinzani. Wao ccm, kwani wamezuiwa kufanya siasa? Wamekuwa wakifanya kampeni toka awamu hii iingie madarakani. Wakati vyama vingine vikizuiwa kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumekucha: Mchakato wa kura za maoni kwa Wagombea ubunge wa CHADEMA waanza rasmi leo

    Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea . Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia . Mungu ibariki Chadema UPDATES: ................... Kishoa ameshinda Iramba Bulaya ameshinda Bunda Matiko...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumpata Membe ACT-Wazalendo isimame kivyake CHADEMA hawaaminiki, Julius Mtatiro ni ushahidi tosha

    Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri. ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 UDP yawahurumia CHADEMA kwa kujiita wapinzani, yawaomba CCM wawaachie walau majimbo mawili

    Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure. Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba...
  19. JamiiForums Tanzania Comments za mitandaoni: Comment gani ilikufurahisha zaidi?

    Habari wanna JF. Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha. Ni comment gani ilikufurahisha zaidi?
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itakosekana katika orodha ya kihistoria ya wajenzi wa Ikulu

    Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo. Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia. Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…