Mwenyekiti CCM(PhD) Chemist, Katibu mkuu CCM(PhD) Mwenyekiti Chadema na katibu wake hata diploma hawana

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,897
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
 
Chadema ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu chadema kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk
Labda kwa sababu ya elimu yake
Matag huna akili anatupigia kelele.
Nenda kamuulize kwa nini amempotez Ben saanane. Ben alikuwa anahoji kuhuu ile PHD
 
Basi uraisi angepewa lipumba.akili za ccm hovyo kabisa.wenzenu wanatumia kukalia nyinyi mnatumia kufikilia.
 
Hivi kazi ya PHD na DIPLOMA si wakati wa kuomba kazi lakini saa ukifanya kazi hiyo Phd yako haina msaada wowote,kijana jiongeze tu hayo makaratasi hayana ishu sana kwenye ulimwengu wa sasa,unaweza ukawa na phd yako halafu wale wa mngombaro tukakutesa vinaya mno hadi ukajuta kwanini ulitutishia phd yako,kama huamini sema.
 
Chadema ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu chadema kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk
Labda kwa sababu ya elimu yake
alafu cha kushangaza hao poyoyo na MA PHD yao wanaishi kwa kutumia akili za vidume kina MBOWE na LISSU team
 
Chadema ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu chadema kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk
Labda kwa sababu ya elimu yake
Jamani. PhD nyingi nizatokana na dissertations za kuandikiwa. Kuna wasomi wanafanya biashara hizo. Hata hivyo kufaulu shule siyo kigezo cha uongozi au mafanikio. Bill Gates kwa mfano ni Harvard dropout lakini anatingisha ulimwengu wa information technology. Socrates ni mgriki ambaye hajaenda shule lakini ndiye baba wa falsafa-Philosophy. Inaonekana mwandishi wa nyuzi hii huna hata diploma. You look very shallow. Je baba yako aliyekulea na kukufikisha hapo ulipo ana cheti au PhD? After all, maendeleo siyo vitu bali ni watu!
 
Hao wenye PHD wamejifunzia wapi kupoteza kaisha ya watu?
Chadema ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu chadema kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk
Labda kwa sababu ya elimu yake
 
Kunywa soda jamaa..good good
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Mwenyekiti ana PhD ya kuunga unga,
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Mkuu ukihoji kwa uwazi uhalisia na uhalali wa hizo shahada zao za juu za uzamivu, utaishia kupotezwa tu kama Ben Saa 8.
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake

Hivi mwenye PhD halisi na anajiamini kweli kweli anaweza akawa anaogopa Kukosolewa na wasio nayo huku akitumia PhD yake hiyo Kuwatisha?
 
Back
Top Bottom