CHADEMA imebanwa mbavu, sasa wanatafuta huruma kwa wananchi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.

Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?

Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana CCM tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?

Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.

Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi.

Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
 
kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni Chadema. Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana Ccm tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?
Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.
Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi. Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
Na CCM inaomba huruma ya vyombo vya dola
1582194705434.jpg
 
Tundulisu anatumia ukilema kuomba nchi CHADEMA nao walivyo wajinga. Et wameona ndio Sera basda ya kukosa Sera zenyewe
 
Tena walimuonga CAG..akawapa hati safi ila eti CCM tukapewa hati yenye mashaka aisee kua tumetumia vibaya ruzuku yaani pesa za umma.
 
Ccm kutiliwa shaka na CAG ni suala la kawaida. Kama jumuia ya wazazi waliingia mkataba na mpangaji kwenye majengo yao alafu nyaraka hazipo na walimfidia mil 60 lazima CAG aulize. Sidhani kama ni ishu kubwa kama bil 8 kuliwa na mmiliki wa Chadema.
 
kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni Chadema. Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana Ccm tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?
Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.
Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi. Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
Hala kapatd buku7 yako maana naona mmetumwa kutujazia server huku kwa kuishambulia Chadema
 
kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni Chadema. Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana Ccm tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?
Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.
Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi. Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
Imebanwa mbavu au mmeinyima Uhuru wake wa kufanya siasa? Cha ajabu mmefanya siasa peke yenu miaka mitano na bado mnawaogopa ambao mliwazui na bado wanaonekana kupendwa na wananchi. Msikimbie kivuli chenu hayo Matunda ya kuwa wachoyo wa kisiasa
 
Mliruhusiwa kufanya siasa kwenye majimbo yenu. Lakini wabunge wenu wanawaza harakati muda wote. Wakawa wanashinda mahakani tu.
 
Back
Top Bottom