Ikifa CHADEMA sisi wengine tutakuwa na Maisha magumu sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,065
2,000
Wengine hawafikirii hili suala. Leo tunaamka tu asubuhi Chadema haipo. Mnadhani tutaanza kuishi vipi? Buku 7 tutazipata kweli kwa kumshambulia mrema?ambaye tayari ana mashambulizi toka ndani yake mwenyewe?

Tuacheni ujinga ndugu zanguni.kweli tunaweza pata hata buku 3 kwa kumshambulia lipumba?huyu naye si alishajishambulia mwenyewe?

Tujiangalie wadau hii ndo ajira yetu.mnaweza kata mbuyu na ukawa mwisho wa kazi tukaambiwa "asanten kwa kuja"

Au tunajidanganya kuwa tutapata buku 7 kwa kumshambulia hatia? Nani atatoa hata buku 5 kwa ajili ya mbatia?twendeni mbele na kurudi nyuma jaman. Chadema isiuawe maisha yetu yatakuwa magumu kwenye mitandao na tutaanza kushambuliana sisi kwa sisi.

Nawaomba wadau tukumbuke hili. Tukimaliza hao tutabakiwa na nini? Tutamzodoa nani? Tutamtia kashkashi nani?
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,621
2,000
Ife mara ngapi ? Hayo maisha magumu vipi chadema walikuwa wanakuletea chakula hapo kwako na kukulipia kodi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom