chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

    Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha. Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
  2. JamiiForums Tanzania Kafulila angeweza kurudi bungeni kupitia CHADEMA bila wasiwasi na angekuwa ameilinda heshima yake kisiasa

    Naona kwa mbali ndugu Kafulila anajutia uamuzi wa kurudi CCM. Ameona jinsi alivyopoteza. Mwezi Oktoba angekuwa ni kunawa tu kwa hii CCM dhaifu. Angeingia mjengoni kiulainii na angeishia kuwa moja ya wabunge bora wa mwaka 2020-25 Tunawahakikishieni kuwa siri zote za CCM tunazo na ni weupe pee...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa JMT lakini ndiyo mtu pekee " makini" katika orodha ya CHADEMA

    Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo. Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo. Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu za msingi kwanini nimchague huyu ndani ya CHADEMA licha ya watia Nia kibao

    Watia nia Mpaka sasa 1. Tundu Lissu 2. Freeman Mbowe 3. Lazaro Nyalandu 4. Peter Msigwa, Hawa ni watia nia ambao ninawatenga katika makundi matatu KUNDI A Wanaoonekana kuimiliki chadema kimtizamo na mawazo ya waliowengi japo wana maono na ni wachapakazi KUNDI B Wanaoonekana Kuwa wapya na wana...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inaingia kwenye uchaguzi bila kuwa na ilani ya CHADEMA YA uchaguzi ya 2020-2025 Chadema hakiko serious

    Mpaka muda huu CHADEMA haikina ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 na kinaingia kwenye uchaguzi watanadi nini wakati ilani hawana?? au wanategemea porojo za majukwwani za mgombea tu? Wagombea uraisi mnaendeaje kugombea uraisi wakati chadema hakina ilani ya uchaguzi? Ilani ya mwisho ilikuwa ile ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Katika Demokrasia ya CHADEMA, Mbowe hajawahi kushindwa uchaguzi wowote wa ndani!

    Huu ndio ukweli uliomkimbiza mzee Sumaye pale CHADEMA na kurejea CCM. Mbowe hajawahi kushindwa uenyekiti wa CHADEMA wala uKUB ambapo alibadilisha utaratibu ili mwenyekiti ndio awe KUB. Kwa sababu hiyo ya Mbowe kuwa na mizizi iliyojichimbia chini, Zitto na wenzake baada ya kugonga mwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya CHADEMA au kuna jambo limejificha?

    Kuna mjadala unaendelea kwamba Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya Chadema, kwahiyo akipewa Dkt. Tulia, Mbeya itasonga mbele. Kuna wemgine wanapinga wanasema kama suala ni Chadema mbona Arusha, Moshi, Kawe, Ubungo nk kuna miradi mikubwa tu imejengwa na serikali wakati wabunge wa hapo ni...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Spika Ndugai, upinzani siyo CHADEMA, ni Watanzania waliochoka...

    Miaka kadhaa sasa, Chama chango tawala CCM imekuwa ikihubiri kukiua Chadema kwa maana wanaonekana ni wapinzani wa utawala. Kukiua Chadema siyo issue, maana CHADEMA ikifa, kitakachokuja mbadala ni mbaya na kubwa Zaidi ya Chadema. Chadema siyo wapinzani. Wapinzani ni watanzania. Mioyo yao ndio...
  10. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wanajipa matumaini hewa

    Kwanza kabisa me sio mpenzi wa vyama vya Siasa ila nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Tanzania. Nimefatilia mchakato mzima wa chama Cha Chadema na wote tumejua wagombea wa uraisi watakao chuana na Dr. John Magufuli niwe mkweli katika hai wagombea wote sijaona hata mmoja atakayepata kura kuanzia...
  11. JamiiForums Tanzania Sad truth on CHADEMA

    The sad truth is, it no longer matters what CHADEMA says or does, they will twist it or lie about it to fit their agenda. Who else is sick of this? Chadema you’re the roses of Tanzania.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rwanda yapitisha mpango kujenga Kinu cha Nyuklia!

    Haya maendeleo ya Ubungo fly over na SGR wapinzani kama Chadema wanalalamika eti wao wanataka maendeleo ya watu siyo vitu. Rwanda imepitisha mpango wa ujenzi wa kinu cha nguvu za Nyuklia ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia na utabibu duniani, itasaidiwa na Urusi katika mpango wake...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Wajue baadhi Wabunge Mashujaa wa CHADEMA waliokataa kuuza utu wao, wamo walioahidiwa hadi Tsh bil 1

    Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga, wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele. Tunamuomba...
  14. JamiiForums Tanzania Mmewatesa, kuwanyanyasa na kuwatweza lakini Mioyo yao bado imara. Fundisho

    Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano? Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Jicho la Tatu: Mgombea Urais CHADEMA ni Freeman Mbowe! Tundu Lissu Pacemaker! Nyalandu ni Serious Contender, Msigwa anatania, Dkt. Mayrose Majinge...

    Wanabodi, Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on logical thinking kwa kutumia critical thinking na kufanya logical progression kwa kupima the motive...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kosa la kiufundi la kujiweka katika karantini limeimaliza CHADEMA machoni pa wananchi

    Dawa ya changamoto ni kuikabili na siyo kuikimbia. Kwa namna Corona ilivyotoweshwa na maisha kurejea katika hali ya kawaida wananchi wameamini kuwa kweli CCM ni chama dume. Chadema wameonekana kama chama ambacho wakati wa vita kinawaacha wananchi wajipambanie wenyewe na wao kama chama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu, kuna kila dalili wenye CHADEMA yao hawakutaki ugombee urais, kama vipi twen'zetu ACT Wazalendo

    Kila dalili ndani ya Chadema zinajionyesha, brother Lissu wenye Chadema yao hawakutaki ugombee urais kupitia chama hicho. Wangekutaka wangekupa hata signal ya kuwa wako nyuma yako katika kinyang'anyiro hiki. Kuna sauti mitandaoni Godbless Lema anasema "umeanza kujiweka katika tune ya ugombea...
  19. JamiiForums Tanzania Deo Mwanyika of Bulyanhulu convicted of Tax Evasion

    Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu leo imewahukumu aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, Deodatus Mwanyika na wenzake wawili, kulipa fidia ya TSh1.5 bilioni baada ya kupatikana na hati ya kukwepa kodi. Imetoka wapi? Soma TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…