chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na vyama Vingine pinzani mmekubali kuingia kwenye Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi? Baada ya Uchaguzi tusisikie mnalia

    Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kwa jinsi hali ilivyo ukiachilia maneno ya wanaccm ,vyama vya upinzani vina nafasi kubwa ya kupata ushindi kwenye majimbo mengi Nimejaribu kufanya observation maeneo mengi, wananchi wamekata tamaa na hali ya maisha yamekuwa ya uwoga msingi kitu ambacho kinaashiria...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watia nia ya Urais CHADEMA: Mmetangaza nia, mmejipangaje kuyakabili yaliyotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Maana for sure yatatokea hayo au zaidi

    Kwangu mimi nadhani mngeanza ku-address hilo. Kutia nia bila kulisemea hilo, kwangu mimi ni kupoteza muda. Kwa utawala huu watafanya kama walivyofanya Serikali za Mitaa au hata zaidi ya hapo. Kama bila aibu Ndugai anafanya anayoyafanya Bungeni na hakuna wa kumkemea: executive, mahakama...
  3. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA karata wamezichanga vizuri

    Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA. Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere na kama yupo basi hii strategy ni hatari sana!Achana na mbwembwe za Mh Lissu kuchangisha fedha hii...
  4. Papa D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnaotangaza nia ya kugombea Urais CHADEMA kwa kutoa vipaumbele mmevipata wapi wakati chama hakijatengeneza ilani?

    CHADEMA yangu imepatwa zimwi gani linalopelekea mambo kwenda hobela hobela. Kule Tundu Lissu ameanza kuomba achangiwe pesa ya uchaguzi wakti hata hajateuliwa kupeperusha bendera ya chama. Huku Msigwa na Nyalandu wameanza kutangaza kutoa ahadi wakati chama chao akijatoa ilani ya uchaguzi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Fanyeni mdahalo kwenye Urais

    Napendekeza CHADEMA wafanye debate ya wazi kwa Urais. Napenda vilevile nione wana Ilboru wenzangu Lissu na Nyalandu ambao ndiyo watafaa kwa mawazo yangu. Kwa wasiojua Lissu aliacha record zake za debate Ilboru. Debate yake kubwa ilikuwa mwaka 1986 na topic ya kuhusu Regan kupiga bomu nyumba ya...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Madiwani Watano kupitia Chadema huko Arumeru wahamia CCM

    Baada ya Humphrey Pole Pole sasa ni zamu ya Kheri James kuipasua ngome ya Chadema huko kaskazini. Huyo ni mmoja wa madiwani vijana Waliojiunga leo hii
  7. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mhe. Msigwa kutangaza nia ya Urais wa Tanzania (Full Text)

    HOTUBA YA MHE MCHUNGAJI PETER SIMON MSIGWA, AKITANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, TAREHE 14 MWEZI JUNI, 2020, MJINI DODOMA “Nataka kuwa Rais wa Ndoto Yako.” I. UTANGULIZI Waheshimiwa Wananchi Wenzangu wa Tanzania na marafiki wa nchi yetu; Tarehe 25 Mwezi Oktoba...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

    Nimwwasikiliza wabunge wote wa Chadema waliohojiwa na vyombo vya habari baada ya kutoka kwenye mahojiano na maofisa wa Takukuru. Kwanza nilimsikiliza Lijualikali aliyedai wabunge wa Chadema wamepanga njama za kuidanganya Takukuru. Nikakaa mkao wa kuwasikiliza wabunge wengine ili nibaini hizo...
  9. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njia ya mabadiliko tuyatakayo

    Nimeandika mara kadhaa kuwa ccm ni marehemu,kuwa chama kinachoitwa ccm ni mfu kilikufa ikazikwa,hakipo.Tunajua kuwa chama cha siasa ni imani(itikadi) leo wanaccm hawajui imani yao maana haipo na haipo kwa kuwa chama kimekufa! Bahati mbaya ccm wanafikiri watafufuka kwa kuiua CHADEMA,yaani...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Patana na mgomvi wako kabla safari CHADEMA wanafanya kosa la Lowassa wanaingia uchaguzi wakiwa na ugomvi na Serikali,vyombo vya dola,mahakama na Tume

    Kuna usemi mmoja kwenye Biblia unasema Mathayo 5:23-24 “Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako." Lowasa aliendekeza ugomvi na...
  11. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Ushindi unakuja CHADEMA

    Ushindi unakuja CHADEMA Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lwakatare: Hakuna mbunge asiyelewa, suala la Mbowe tusitie chumvi tusubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi

    Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu. Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka...
  13. S

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

    Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020 Chanzo:John Mnyika on twitter. Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Diwani aliyeandika kitabu cha Rais Magufuli ameihama Chadema kwenda NCCR

    Diwani machachari wa Chadema Arumeru ambaye aliandika kitabu kinachoelezea mafanikio ya Rais Magufuli ameachana na Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi. Amechukizwa na siasa chafu za kuponda maendeleo zinazofanywa na Chadema. Huyu Diwani Mrembo kuliko wote huko Arumeru na ni mwanathiolojia...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

    Akiongea baada ya kuhojiwa na Takukuru mbunge wa Mlimba mh Suzan Kiwanga amesema makato ya wabunge wa Chadema yako wazi kwenye katiba ya chama na yamebarikiwa na Spika Ndugai. Kiwanga amesema kimsingi wabunge wa kuchaguliwa hukatwa na Spika Tsh 530,000 kila mwezi kutoka kwenye mshahara na posho...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Alianza Chacha Wangwe akaja Tundu Lissu na sasa Freeman Mbowe, hivi Chadema kuna nini? Mbona hatusikii kwenye vyama vingine?

    Kiukweli kuna haja ya kutafakari kwa kina kwanini Chadema tu ndio inapitaga katika matukio tata? Ilianza ile ajali ya Chacha Wangwe na ikaacha maswali mengi. Rip Chacha Wangwe Likaja shambulio la Tundu Lisu ambalo bado ni tata na masikini ya Mungu Lisu akapoteza na ubunge. Sasa kuna hili la...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Frustrations: Walitarajia mpaka muda huu CHADEMA iwe imesambaratika na kushindwa hata kutimiza majukumu yake ndani ya Bunge

    Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa. Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti...
  19. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa muelekeo wa hotuba ya Lissu CHADEMA hakiwajui Watanzania kinaweza kisipate hata nusu ya kura ilizopata 2015

    Nazani miaka ya 2013 nilisema humu CCM huendeshwa kisay ransi na kinajua namna ya kuendesha siasa kuliko Chadema Ila mashabiki wa siasa na so wachambuzi walikuja na kashfa na kejeli na wanazani mbinu ya kusaidia chama NI kukisifu tu mitandaoni na sio kukipa mbinu mbadala. Wajue hawaendi kufanya...
  20. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

    Bulaya ni aina ya watu waropokaji na wasio na staha kabisa eti ajabu ndiye Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni! Mnadhimu ni sharti awe mtu mwenye sifa zifuatazo; Uchaji, busara, utii, hekima na msikivu vitu ambavyo yule dada hana...
Back
Top Bottom