Sad truth on CHADEMA

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,797
2,000
The sad truth is, it no longer matters what CHADEMA says or does, they will twist it or lie about it to fit their agenda.

Who else is sick of this?

1592369253909.png

Chadema you’re the roses of Tanzania.
 

Nyabutoro

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
1,068
2,000
Sky sijakuelewa, sijui kwa sababu leo umeamua kwenda London tena kwa mafumbo! Nikafikiri hili UA langu umenitunuku
 

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,491
2,000
The sad truth is, it no longer matters what CHADEMA says or does, they will twist it or lie about it to fit their agenda.

Who else is sick of this?

View attachment 1480985 Chadema you’re the roses of Tanzania.
Unfortunately a Rose plant has both beutiful flowers and thorns also, iwapo hilo uwa la rose linaambatana na mwiba, sasa tuambia hao mwiba nfani ya chadema ni akina nani
 

PLO

Senior Member
Jun 8, 2020
113
500
Hapa wachangiaji lazima wapungue? Kiinglish sio jambo rahisi, "tuwe wazarendo, tutembee kifua mbere, tuongee kiswahiri".
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,635
2,000
Chadema you’re the rose of Tanzania.
Mleta mada Kama ulichoandika kingereza umetutukana tusiojua kingereza na wewe hivyo hivyo tusi likurudie

Mengine uliyoandika sijui ila nimeona umemwandika rose mwishoni , mwanamke mbaya wewe huyo rose alikuibia mume?
 

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,197
2,000
CDM imara ndio salama na kioo cha CCM. Nawapongeza sana CDM kwa ufanisi wao umefanya CCM na serikali yake kutobweteka.
CDM has been a real support on checks and balance. Despite the mega fall short in parliament, without CDM the Constitution would have been played to make JPM life time leader.
 

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,364
2,000
The sad truth is, it no longer matters what CHADEMA says or does, they will twist it or lie about it to fit their agenda.

Who else is sick of this?

View attachment 1480985 Chadema you’re the roses of Tanzania.
Of course! I cant imagine the kind of hammering waves that will blow from these "Gods" against a rose like Madam Mdee's ( Who actually I love) move to restore her county!
 

Agenda1

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
1,698
2,000
They even dare to kid on serious matters such as opponents body illnes.
 

Ramark

JF-Expert Member
May 19, 2015
1,893
2,000
Uhuni na udhaifu hata CDM upo
Tuwatetee lkn tuwakosoe pia kama wafuasi wake

Right now mngeshauri namna ya uteuzi wa wagombea urais
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom