chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kugawa vyeti kwa wabunge wa CHADEMA ni bora lingefanywa na CHADEMA Makao Makuu

    Nakumbuka siku chache baada ya Bunge kuvunjwa,nilitoa pendekezo kupitia Jukwaa hili la Siasa nikipendekeza wabunge wa CHADEMA waliomudu kumaliza ubunge wao wakiwa ni wabunge wa chama hicho wapewe vyeti kama njia mojawapo ya kuwapongeza kumaliza ubunge katika mazingira magumu waliokuwa nayo, na...
  2. JamiiForums Tanzania Chadema lazima tuchukue nchi endapo Mnyika atatuongoza vizuri

    Mnyika naomba usikubali watu walioshindwa kuitoa CCM madarakani kuanzia mwaka , 1995 kutuingilia katika mipango yetu yakuifuta CCM. Mh, Mbowe tunaomba ukae pembeni, Bila kumsahau, Lipumba na Zitto kabwe na Maalimu Seif. Tanzania Rais ni Taasisi inayochaguliwa na mfumo Wananchi niwawakilishi tu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Vyama vya NCCR - Mageuzi na ACT vimeandaliwa Kimkakati kabisa ili Kufifisha kama si Kuua kabisa Ufalme wa CHADEMA Kisiasa nchini?

    Nimedokezwa na Mtu kuwa vyama hivi Viwili vinaweza Kuunganika kwa muda kisha wakampokea Mwanasiasa Mmoja kutoka Mitaa ile ya Mnazi Mmoja na Lumumba ( ambaye Kafukuzwa Kimkakati ) anayewadanganya Watu kuwa ni Mpinzani wa kweli wa aliye Madarakani kwa sasa ili wamchague kama Flag Bearer Wao...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka historia: Mwaka 2015 CHADEMA iliingiza bungeni 23% ya wabunge wanawake wa kuchaguliwa Majimboni

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 jumla ya wabunge 276 walichaguliwa majimboni kati yao wabunge wanawake walikuwa 26 na wanaume 250. Kati ya hao wabunge 26 wanawake, wabunge 6 walitoka chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Hiyo ni sawa na 23% ya wabunge wanawake wenye majimbo. CHADEMA hongereni...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA yawasha moto Ukerewe

    Ikumbukwe kwamba hili eneo ni moja kati ya ngome imara mno ya Chadema kanda ya ziwa .
  6. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kula ruzuku peke yake bila kuvigawia vyama shirika uchaguzi wa 2015 Msajili abadili kanuni na kuweka masharti magumu!

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 vyama vitakavyotaka kushirikiana ni lazima viingie mkataba wa kisheria na kuweka wazi maeneo ya ushirikiano wao. Msajili msaidizi mh Nyahuza amesema uchaguzi wa mwaka 2015 uliacha vidonda baada ya chama kimoja kilichoungwa mkono kupitia UKAWA kuvisahau...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wagombea ubunge wa CHADEMA wale kiapo cha kutohama chama ndani ya miaka 5 vinginevyo ni bora wachaguliwe CCM

    Natoa angalizo na nina imani Mbowe na Mnyika mnanisikia popote mlipo. Ni kwamba kulikoni kutuletea sintofahamu katikati ya muhula ni bora hawa wagombea wenu wa Ubunge mkawalisha yamini au kiapo ili wasituache kwenye mataa katikati ya muhula na kukimbilia CCM. Tumechoka na habari ya kumchagua...
  8. JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

    Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru . Hakuna...
  9. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kugombea Urais ruksa hata Wabunge wote lakini kugombea Uenyekiti unatafuta matatizo makubwa na ni hatari sana

    Ndani ya CHADEMA democrasia zero lakini wakiwa nje ya CHADEMA democrasia 100% Kuna wakati nakumbuka walikuwa wanamsema marehemu Nkurunzinza na Kagame wanang'ang'ania madaraka wakati wenyewe Mzee Mbowe anavipindi zaidi ya vinne ofisini, ni ngumu sana mtu kuwaelewa hawa watu. Leo hii wameweka...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi, CHADEMA sasa wafika pabaya. CHADEMA waanza kuwindwa kama wahalifu (Video)

    Inaonekana ukiwa mwana CHADEME kwa sasa ni zaidi ya gaidi. Hapa wana CHAEMA walikuwa wanaenda kumlaki Mbunge wao anayerejea kuja kutoa shukrani za uaminifu kwao sasa inaonekana wezuiwa. Swali, mbona kwa CCM haya ni ya kawaida? Hivi ni moja ya vitu vinavyomfanya Rais Magufuli kuonekana kuendesha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuna demokrasia pana wagombea 29 wachukua fomu kugombea Urais wa Zanzibar hadi sasa, CHADEMA ni 3

    Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM. Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1 CCM ni baba wa demokrasia Maendeleo hayana vyama!
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA wameshapotea kwa hili la kukimbiwa na wabunge wao wenye weledi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Chadema ina mashabiki wengi lakini haina wapiga kura hata 2015 walibebwa na kura za CCM kupitia Lowassa na kupata wabunge wengi!

    Kiukweli kuna wakati huwa nasikitika na kushangaa ninapoona makomredi wanaihofia Chadema na ACT wazalendo. Katika uhalisia Chadema na ACT wazalendo havina wapiga kura wa kutosha bali vimesheheni mashabiki na wengine ni mashabiki maandazi tu wa mitandaoni. 2015 mzee Lowassa ndiye aliyezibeba...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Nyalandu: CHADEMA tukiingia Ikulu tutaanzisha benki ya vijana

    NYALANDU: Chadema tukiingia Ikulu tutaanzisha benki ya vijana Mtia nia wa kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lazaro Nyalandu amesema endapo chama hicho kitampa ridhaa, atahakikisha anarudisha utashi na udhubutu wa vijana...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Wana CCM walioituhumu CHADEMA na Mbowe kwa ubabe waombe radhi

    Mwanzoni mwa mwaka huu kuna kundi la Wana CCM walikuwa wakiirushia madongo CHADEMA kwa kudai kinaendeshwa kibabe kwa matakwa ya mtu mmoja - yaani Mwenyekiti wake Mh Freeman Mbowe. Of course, kila mmoja anajua wazi kuwa target siku zote huwa si chama na taratibu zake bali Mbowe na uimara wake wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kama picha za kampeni za Lissu sokoni Kariakoo ni za kweli, hii inaweza kuwa ni hujuma ili CHADEMA ionekane inavunja sheria za uchaguzi

    Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni. Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM msipokaza msimu CHADEMA watawaangusha

    Most of youths, wako cdm na ndo wapiga kura 80% wa uchaguzi huu. Je, mmejipangaje katika uchaguzi huu. Msipokaza kalio watawabreak down Nyie endeleeni kuwaweka wazee waliochoka eti wagombee. Udiwani na Ubunge. CCM nawaona kama mko nyuma sana, Fake election committee, na Migambo wote...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Kwa waliohama CHADEMA kwenda CCM

    Kwa uchache tu Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Chadema wanazidi kuonyesha ukomavu

    Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana. Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza...
  20. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA waendelea kuzichanga karata vyema

    Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana. Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…