chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe atapita, CHADEMA waulizwe wana nia na dhumuni lipi la Mbowe kuwa mwenyekiti wa maisha? Je, hawatabadili katiba watawale maisha wakishinda?

    Wapinzani waliposhindwa kusimama mbele ya CCM na mwenyekiti wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wanadai hakukuwa na uchaguzi ila uchafuzi na hii si mara ya kwanza kulalamika baada ya uchaguzi. Kususia uchaguzi na chama kupita bila kupingwa ni uchafuzi kwa mantiki yao. Tuachane na hayo kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

    Ni nderemo. Ndivyo tunavyoweza kusema wakati makundi ya vijana yalivyofurika makao makuu ya CHADEMA kumchukulia fomu Mwenyekiti anayemaliza muda waje Freeman Mbowe ili agombee tena nafasi hiyo. Mratibu wa zoezi la kuchangia kumchukulia fomu Mbowe Bwana Daniel Naftali Ngogo amesema pesa...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA na wapinzani wameshinda

    Hii ni baada ya kampeni yao ndogo sana na ya muda mfupi ya kuhamasisha wananchi kususia uchaguzi feki wa serikali za mitaa kuungwa mkono na wananchi kwa zaidi ya 90%, hii ni rekodi. Kwa mfano, msimamizi mmoja wa kituo cha uchaguzi jijini Dar es salaam ametoa siri kwamba kati ya watu zaidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ukomo wa uenyekiti Chadema ni tofauti na ukomo wa Urais Tanzania

    Kuna vijana wanajadili kuhusu ukomo wa uwenyekiti wa Mh. Mbowe ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) halafu wanahusisha na ukomo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wanadai kwamba kitendo cha baadhi ya vijana wa Chadema kutaka Mbowe aendelee basi kinawapunguzia nguvu ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mchuano mkali wagombea Uenyekiti CHADEMA Kanda: Kamati Kuu yaweka uteuzi hadharani

    Kamati Kuu ya CHADEMA imetoa rasmi orodha ya wagombea wa nafasi mbalimbali katika kanda zake zote 10 baada ya mchujo mkali. Kati ya Orodha hiyo mvuto mkubwa ni nafasi ya Uenyekiti kanda ya Kaskazini ambako kuna mtifuano mkubwa kati ya wabunge wake wawili machachari Godbless Lema na Joseph...
  6. JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na CUF, waasisi wa Chadema hawakuwa wanasiasa bali wafanyabiashara wasio na lengo la kushika dola. Mbowe ni mtu sahihi kukiongoza

    Maneno hayo yamesemwa na mwanasiasa mstaafu Mzee Mgaya kwamba waasisi wa CUF wakina mzee Mapalala (RIP) ndio walikuwa na malengo ya kushika dola tofauti na wenzao wa NCCR - Mageuzi na Chadema. Mzee Mgaya amenihabarisha kuwa ukiyaelewa kwa makini malengo ya waasisi wa Chadema utakubali pasipo...
  8. JamiiForums Tanzania Chadema haikwepeki, wanazidi kuumbuka. Mwingine huyu hapa

    Ukisikia kauli na kejeli zake za leo unaweza kudhani alizuka tu, kumbe tumemlea na kumfunda wenyewe.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tutoke CCM na CHADEMA tujadili mengine ya muhimu: Why socialism always fails

    C&P Why socialism always fails AEIdeas CARPE DIEM March 22, 2016 Slightly more than 20 years, I wrote the article “Why Socialism Failed” and it appeared in 1995 in The Freeman, the flagship publication of the Foundation for Economic Education. I think it was the first essay or op-ed I wrote...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Chadema mkoani Iringa kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa ili amrithi mh Mbowe uenyekiti taifa

    Iringa kuchele. Vijana wasomi kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu mkoani Iringa ambao ni wanachama wa Chadema wanajipanga ili waweze kumchukulia fomu mchungaji Msigwa ambaye pia ni mbunge wao. Vijana hao wamesema kama mchungaji Msigwa atasitasita kugombea basi watamshawishi mbunge David...
  11. JamiiForums Tanzania CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

    Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi...
  12. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

    Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM. Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA. Inasemekana Godbless Lema...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae Chadema ya Mbowe ni kiwanda cha kutengeneza wanasiasa makini kazi ambayo UVCCM wamefeli

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata kama Freeman Mbowe atastaafu uenyekiti wa Chadema mwezi Desemba mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kwa tunaojua siasa. Mchango wa Mbowe umejikita katika kuwapika na kuwaandaa vijana kuwa viongozi imara na wa kutegemewa na taifa. Kwa mfano...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam tangu Novemba 17, 2019. Mbowe ni miongoni mwa viongozi tisa wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi namba 112/...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mwambe " kutulizwa" na Rais Magufuli sasa nitamchukulia Tundu Lissu fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema

    Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe. Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa, Heche wajisalimisha mahakamani

    Ni kufuatia agizo la mahakama kwa kukiuka masharti ya dhamana. Wabunge hao ni Peter Msigwa, John Heche, Halima Mdee na Easter. Wabunge hao walifikishwa mahakamani kisutu lakini hawakuweza kupandishwa kizimbani na badala yake walirudishwa polisi chini ya ulinzi mkali. Source ITV habari...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: CCM wampita bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo wanasubiria tu kuapishwa

    Msimamizi wa Uchaguzi katika Wilaya ya Arusha Mjini Mh Msena Bina amesema kuwa licha ya tayari kuampeni kuanza siku ya jana lakini wanatarajiwa kufanya uchaguzi katika mitaa 15 peke yake katika kata tofauti ambapo mingine yote wagombea wake wampeta bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji Tasinga arejea CCM

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),kimeendelea kupata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji Tasinga kutangaza kurejea CCM Tasinga ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa muda wilaya ya Sengerema, alisema sababu mojawapo iliyomsukuma kuondoka Chadema na...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana. Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…