Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kwenye ukweli huu wanaweza kuja hapa na kujipiga kifua na kujimwambafai kwamba hawajaamua tu, lakini ukweli upo wazi tu. Hivi hata ukiwataza kwa sura tu walivyo, kama mdau wa maana sana wa jukwaa hili la wazi na la heshima sana la siasa, wanaweza kweli kuruka na chopa hao wangwana waliopoteza...
Dhoruba iliyotokea sisi wengine tukasema hapana. Tukasema hapana kwasababu tunazizuia akili zetu zisitawaliwe na mihemko, tunazizuia akili zetu zijawe na sifa za kuja mbele za watu na kupigiwa makofi huku tukijua hatuna namna yoyote ya kuwasaidia watanzania, tukakataa, ndio sababu tukasema...
Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia?
Hakuna haja ya kutishiana wakuu.
===
"Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika
Ndugu @saidi8310 umekuja...
Kuna watu wenye Nia ovu wanataka kuingiza Cdm kwenye Utanganyika na Uzanzibar
Wengine wakitaka kuingiza uislamu na ukristo NDANI ya Cdm
Hao wote ni watu wabaya Sana Kwa Chadema.
Chadema ni ya waislamu na wakristo na wasio na dini
Chadema ni ya wazanzibar na watanganyika
Hao wajinga...
Mawakili wa waleta maombi katika kesi ya CHADEMA na wanachama watatu wa chama hicho waliofungua kesi dhidi ya chama hicho wakilalamikia mgawanyo wa mali wamedai upo upotoshaji kuhusu kesi hiyo kwamba zuio ni la siku 14 kitu ambacho wamekipinga.
Akizumgumza na waandishi wa habari mapema...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi...
Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa.
Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
"Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM.
Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No...
Katika maisha yangu yote ya kusoma sayansi ya biologia, hakuna topic ambayao mpaka sasa nimeshindwa kuielewa kama EVOLUTION. Hii ndio topic inayojaribu kuaminisha watu kuwa ulimwengu na viumbe vyote vilitokea tu spontaneously na vimekuwa vikibadilikabadilika kuwa vilivyosasa. Huu upuuzi...
Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema.
Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama...
Mimi nimetafakari na kujiuliza, je, tatizo la CHADEMA ni chama na sera zake au pengine ni uwepo wa Tundu Lissu kwenye chama hicho na misimamo yake?
Hili linahitaji mjadala mpana sana kwa sababu CHADEMA ni taasisi inayoishi—Lissu atakuwemo na kutoka; pengine ataenda DP, au ataacha siasa, au...
Hii italeta utulivu na usawa ndani ya chadema na kuondoa dhana ya chuki, dhihaka na ubaguzi dhidi ya viongozi wa kutoka Zanzibar na dhana ya kuitenga Zanzibar katika masuala mbalalimbali ikiwa ni pamoja na masuala ya mgawanyo wa rasilimali za chama hicho.
Zaidi sana,
makao makuu ya chadema kua...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
Msajili wa vyama vya siasa alisitisha ruzuku ya serikali ya Sh 107 million kwa mwezi kwa chama cha chadema. Alifanya hivyo kwa sababu wasimamizi wa fedha hozo (secretariat) akiwemo Afisa Masululi (Accounting Officer) wa chama ambaye ni Katibu Mkuu wa chama walipata nafasi hizo kwa njia zisizo...
Katika vitu ambavyo sitaki kuamini ni kwamba CCM wote ni wabaya yaani sitaki kuamini kabisa.
Sasa kama Imani yangu inaniambia Kuna watu wengine wazuri wako CCM Sasa hawa watu wengine wa CCM huwa wanawapinga CHADEMA kwa kitu gani haswa? Kwa sababu hoja nyingi zinazowasilishwa na watu wa CHADEMA...
Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa.
1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida.
2. Lengo la kesi ni kugawa mali kati ya Chadema bara na Chadema visiwani au kuna watu binafsi wanalengwa kunufaika? Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.