Msimamizi wa kitengo cha Habari CHADEMA ni mamluki.

Msimamizi wa kitengo cha Habari CHADEMA ni mamluki.

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,702
Reaction score
49,706
Hili halihitaji shahada ya Biology au Philosophy kulitambua.
Siku hizi kuna Simu nzuri za kisasa, camera za kisasa, drones n.k ambazo unaweza kuzitumia kuchukulia video katika ubora wa hali ya juu na kuzirusha direct kwa hadhira.
Cha ajabu matangazo ya live CHADEMA yanakata kienyeji tu.
Nafasi ya Urais ni kubwa, mnamuhujumu Lissu, mbaihujumu CHADEMA, mnawahujumu wananchi.
Mimi siwajui wahusika ingawa naona humu ndani wakisemwa na hatuoni mabadiliko.
Kuna madhaifu mengi lakini mimi nagusia hilo moja tu.
 
Wameshapatana na tbc hivyo matangazo yataruka hewani channel hio
 
Ushauri mzuri si rahisi kuupata,, pia ukiupata ni vigumu kuufuata... Hasa kwa Waswahili
 
Yaani hata mzee Rungwe anawashinda hawa Chadema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom