chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
  2. CHADEMA inapukutika

    Chadema inapukutika kama njugu
  3. J

    Wabunge wa Chadema wanaweza kukosa " bahati" ya kukutana uso kwa uso na Rais Magufuli na kupiga picha ya pamoja hadi bunge linavunjwa!

    Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi. Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema "...
  4. K

    Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

    Sasa hivi. Hapa jirani na Hotel ya Blue Sky mjini Tarime ambako kulikua kinaendelea press ya Madiwani wa Chadema Tarime kujiunga na NCCR Mageuzi ghafla kikundi cha Wapiganaji wa Redbrigade wa Chadema kimevamia gari na kupasua kioo cha nyuma. Bahati nzuri picha yote imerekodiwa. Majina na...
  5. Taarifa ya bunge: Kuhusu wabunge wa CHADEMA walioko nje

    Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo.
  6. Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Pia soma: 1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri...
  7. J

    Diwani: CHADEMA ni kama basi linalowaka moto abiria tunatokea madirishani

    Hii sasa kali Diwani wa Chadema wilayani Bunda aliyeamua kuachana na chama hicho amesema Chadema ni kama basi linalowaka moto na abiria wameamua kujisalimisha kwa kutokea madirishani. Chanzo: Star tv Maendeleo hayana vyama!
  8. Waitara ni Jembe, aamua kuifuta CHADEMA Mkoa wa Mara

    Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CHADEMA na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CHADEMA wamehama na kwenda NCCR Mageuzi Chanzo TBC ARIDHIO
  9. J

    Yawezekana Mbowe anachanganya kwa pamoja madaraka ya KUB na Mwenyekiti wa Chadema na matokeo yake ni kutenda Uonezi!

    Kuna wakati Zitto akiwa Chadema aliwaeleza madhara ya kuweka kanuni inayomfanya mwenyekiti wa Chadema kuwa KUB iwapo ni mbunge na chama kimepata ridhaa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani. Madhara yake ndio haya tunayoyashuhudia sasa. Binafsi sikumbuki kama kuna kikao halali iwe halmashauri kuu...
  10. Lwakatale, Silinde na wenzao wameonewa sana na kudhalilishwa sana

    LWAKATALE, SILINDE NA WENZAO WAMEONEWA SANA NA KUDHALILISHWA SANA Sitaki kujadili juu ya uhalalia ua kutokuwa halali kwenda au kutokwenda Bungeni hili lingeitimishwa na sheria na Miongozo ya CHADEMA kama ingefuatwa wakati wa kuhitimisha jambo lenyewe. Mimi nitajikita kwenye sheria na kanuni...
  11. J

    Je, kamati kuu ya CHADEMA ilizungumzia sakata la Meya wa Ubungo au ilijikita kwa wabunge tu?

    Binafsi nilitegemea Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika kabla ya kutujuza timua timua ya wabunge chamani angetupa taarifa ya kile kilichomtokea meya wa Ubungo mh Jacob. Kutolipa uzito suala la meya kutimuliwa kazini tena kwa kisingizio cha kufutwa uanachana kunaacha maswali mengi kuliko majibu...
  12. Kumbe Viongozi wa CHADEMA wanapenda tu kutukana viongozi wa Serikali ila wao kumbe hawapendi kukejeliwa

    Niliona jamaa mmoja akimwambia mkuu wa nchi dikteta uchwara wakati huo huo wao hawapendi kukejeliwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu Mbowe majuzi kati alitoa hotuba inayoitukana serikali maana alitaja neno ujinga zaidi ya Mara tano Lakini pia hauwezi kumfunga speedgavana mtu mzima lazima...
  13. Ni nani amekosea kati ya Tundu Lissu na CHADEMA?

    NI MH TUNDU LISU AU CHADEMA WALIO KANYAGA SHERIA? Na Elius Ndabila 0768239284 Leo John Munyika Katibu wa CHADEMA amewatangazia watanzania kuwa CHADEMA imewafutia Wabunge wanne uanachama. Wabunge hao ni Mh Silinde, Mh Selasini, Mh Komu na Mh Lwakatale huku Wabunge kadhaa wakiambiwa...
  14. Wabunge wa CHADEMA walio karantini waazimia kutorudisha posho. Kurudi Bungeni siku 14 zikiisha

    CHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110 Chama hicho kimesema madai ya Spika kuwa Wabunge wake waliopewa fedha za...
  15. J

    Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno. Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh. John J. Mnyika. ————— UPDATES ————— Akitolea maamuzi hayo, Katibu Mkuu wa CHADEMA...
  16. CHADEMA: Kikao cha Kamati kuu CHADEMA siku ya Pili

    Kamati kuu ya CHADEMA leo May 10 2020, ikiwa ni siku ya pili mfululizo imeendelea na vikao vyake vya kidigitali ikiongonzwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, ambapo inapokea taarifa na kujadili kwa kina agenda mbalimbali ikiwemo hali ya janga la corona na hali ya Siasa nchini. "Kufanyika kwa...
  17. Naona wazee wa kudandia treni wameachia ya Corona sasa wamedandia ya sukari!

    Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara. Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na...
  18. Mwenye ukweli kamili juu ya Mzozo wa Mtangazaji Maulid Kitenge (CCM) na John Mrema (CHADEMA) auweke wazi

    Nimeambiwa kuwa Wasafi FM Leo asubuhi wamenichafua saana na kusema kuwa mke wangu ni Mbunge kwa sababu tu nilimtaka Spika wa Bunge aache Propaganda. Ndugu Maulid Kitenge aniombe radhi Ndani ya 24 hours as Sina mke Mbunge na sijawahi kuwa naye. Asipofanya hivyo nitajiongeza! John Mrema
  19. J

    Mbunge wa zamani wa Ndanda Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na Spika Ndugai

    Mbunge wa zamani wa Ndanda, Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na mh Spika Ndugai naye ameitikia wito. Mwambe amesema ataukaribisha kwa moyo mweupe ushauri au uamuzi utakaotolewa na Spika wa bunge. Amesema sasa anarejea rasmi bungeni kumalizia muda wake wa ubunge kwa kipindi kilichobaki...
  20. Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe, alilitangazia Taifa kuwa wabunge wa Chadema, hawataendelea tena na vikao vya Bunge na wameamua kujiweka karantini kwa siku 14, ili kuangalia afya zao kama wameambukizwa ugonjwa huu wa COVID 19 au laa Ni uamuzi wa busara kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…