Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana CCM tena mwaka 2014 kwa nini muanze...
Tangu mwaka 2010 Chadema kilipokuwa chama kikuu rasmi cha upinzani nchini, siasa za Tanzania hazijawahi kubaki za kawaida! Kwa wenye kumbukumbu nzuri, tangu mwaka 2010 chama kilipoanza kuongozwa na Freeman Mbowe, CHADEMA kimekuwa chama pekee cha upinzani nchini kinachokua mfululizo (both...
Nimeshangaa sana kuona Chadema ikwa inaipinga CCM kwa nguvu kubwa hili hari kumbe wanafanya vita na wananchi wa kawaida na wengine ni wanachama maskini wa Chadema. Chama cha siasa kufanya uadui na wananchi au wapiga kura ni kitu cha ajabu.
Angalia jinsi Chadema ilivyoamua yenyewe kama chama...
Nimekuwa nafuatilia mienendo ya vyama mbalimbali nchini nikagundua kufukuzana sio jambo jipya katika vyama hivi.
Kilichonishangaza zaidi ni idadi ya wanachama waliofukuzwa chama cha demokrasia na maendeleo kuwa wengi ikilinganishwa na chama kingine chochote nchini.
Sasa sijajua chanzo ni...
Huu ni waraka wazi kwa John Mnyika Kama katibu mkuu mpya wa CHADEMA, Katika mazingira yaliyopo kunakitu Chadema kimekosa na kinaitaji marekebisho kadhaa ili kwa uwazi kionekane ni chama Cha kuwasemea watu na sio kukosoa tu na hivyo kuonekana ni chama adui kwa jicho la usalama na ustawi wa nchi...
Ukiniuliza swali hili; Je, ungependa Tundu A. M. Lissu awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA katika uchaguzi mkuu wa 2020?
Hakika jibu langu haraka haraka na pasipo kupepesa macho huku nikitabasamu, ningekujibu tu....YES, HUYU NDIYE...!!
Huyu ndiye si kwa sababu kina Zitto Z.R. Kabwe...
Naona CHADEMA haikufanya sawa kumpongeza mh Rais Magufuli kwa kujenga Ikulu mpya.
Ni Jambo lililowazi binadamu akifikisha miaka 60 jua limeshakuchwa anajiandaa kukusanywa na ndugu zake yani kuaga Dunia. Sasa hapo vijana ndio wanakuwà warithi wa nyumba na mali za baba.
Kwa umri wa CCM ile Ikulu...
Usipoijua historia ya CHADEMA , utadhani au kuamini kuwa chama kimekwisha kama si kufa kabisa ukifuatilia hama hama. Kama wewe ni mmoja kati ya hao wanaoamini hivyo fahamu kuwa huijui historia ya kukuwa kwa chadema. Na ninaamini kuwa wanaoamini hivyo si tu wana- CCM, bali hata baadhi ya...
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.
Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo...
Wapendwa wana JF,
Nadiriki kuandika uzi huu hapa nikiamini wataalam wa mambo ya SIASA wapo katika jukwaa pendwa la JF.
Mada yangu ni kuangazia makosa yaliyofanyika mpaka chama cha demokrasia na maendereo chadema kikafikia hatua hii mbaya kilipo kwa sasa.
Hili halina ubishi kuwa CHADEMA kina...
Mwaka 2015 CHADEMA na vyama vingine vya CUF, NCCR - Mageuzi na NLD, viliunda umoja uliojulikana kama UKAWA dhidi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani.
Mwaka huu 2020 CCM imeunda muungano wake na vyama vingine vya CUF, NCCR na TLP dhidi ya CHADEMA.
Ina maana CCM pamoja ya...
Kwa ukubwa wa kiumri na majukumu iliyoyonayo CCM si haki wala wajibu kutumia muda wake mwingi kushughulikia vyama vidogo vidogo vya upinzani mfano wa Chadema na ACT wazalendo.
Ifike wakati sasa CCM ijikite kushughulikia maswala makubwa ya uchumi katika level ya taifa na ile ya mtu mmoja mmoja...
Wakuu tumebakiwa na mda mchache kabla ya kipyenga cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupulizwa, Tumeshuhudia CHADEMA ikigawanyika katika vipande vipande na kusababisha vijana makini waliowanoa kwa miaka mingi kukihama chama hiki.
CHADEMA iliundwa na Vijana makini waliokua wamejengeka kisiasa na...
Mwenye macho haambiwi tazama......hatimaye swali la Dr Slaa He Lowassa no asset au liability limepata majibu. Tunakoelekea Chadema itabaki na Mbowe na wale binti wa Ndesamburo basi!
Chama kikuu cha upinzani hapa nchini kwetu kinaweweseka kisiasa.
Kimekuwa hakina muelekeo na kama ni mashua inazama baharini.
Wamekuwa ni watu wa kutafuta ishu au tukio ili wajiokoe kisiasa kakini wanakwama.
Sasa hivi wamebadili gia angani kama ilivyokawaida yao wanasema eti tume ya uchaguzi...
Mbunge wa Viti maalumu Kigoma, Sabriana Sungura ameambatana sambamba na aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wilfred Rwakatale kuhamia chama cha Wananchi CUF.
Aidha, katika katika shamrashamra za Wabunge hao kupokelewa katika Chama cha CUF, Mh. Sabriana...
Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana.
Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana.
Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja
Mbali ya hayo kimekuwa na...