Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi.
Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM.
Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
Nimeona Heche, Sugu, Mbowe, Mnyika na Zitto wakitoa hotuba kali kwa serikali bila kupepesa macho, kiasi cha kumuacha Mwigulu akikenua tu asijue la kufanya.
Nataka kuamini hiki ndio kilimfanya Samia apate ugumu wa kuja huko msibani. Mwigulu amepigwa suprise hakujibu hata moja.
Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie?
Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI?
Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣?
Haya majitu ni majitu ya ajabu...
Hii kauli ya msukuma kujiita serikali imetoka wapi? Kwa hiyo UKIWA ccm wewe ndo serikali sio?
King msukuma kujiita ccm na kumtamkia mwekezaji yakuwa yeye sio chadema Ina maana Gani?
UKIWA chadema hurusiwi kukemea mwovu?
Pamoja na yaliyotokea 29. Bado ccm Ina viongozi wapumbavu wanao toa kauli...
MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA
Mwl. John Pambalu
Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
Nimekusikia ukisema Yesu asifiwe na tumkutuze Yesu. Hii pale upotoa salamu ktk mazishi ya mtei.
Unapokua muislamu kuna miiko ya maamkizi popote pale na ktk shughuli yoyote ile.
Muislamu hutakiwi kumtukuza Yesu .
Ulotakiwa kusema habarini, za mchana au poleni.
Muislamu kuna matamshi hutakiwi...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Mrisho Gambo, amewasili kwenye msiba wa marehemu Mzee Edwin Mtei, mmoja wa waasisi wa CHADEMA, huko Arusha.
Hii ni mara ya kwanza kwa Gambo kuonekana hadharani baada ya kutoonekana kwa kipindi kirefu
Gambo...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa nafasi na hadhi inayostahili katika taratibu za kumuenzi muasisi wa chama...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche, amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei kuongoza mazishi ya mwanzilishi wa chama hicho.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Samweli Welwel, amesema ratiba ya maandalizi kuelekea maziko ya Mzee Mtei...
TAARIFA KWA UMMA
KUKOMA KWA AMRI YA ZUIO LA MAHAKAMA KUU LA TAREHE 10 JUNI 2025 KWA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KUFANYA SHUGHULI ZA SIASA NCHINI
1. Mnamo tarehe 20 Januari 2026 Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi Mbeya Vijijini liliwavamia viongozi wa Chama cha...
Wakuu,
Kweli watu tumevurugwa, yaani jamaa kaamua kupiga simu kabisa hawa machawa 😂
Haya sasa kampeni ianze kufanya kazi kwa wote wenye laini ya airtel 😂
Baada ya CHADEMA kutoa taarifa kuwa laini ya Brenda Rupia ya Airtel iliyokuwa ikipokea michango imefungiwa ghafla na kampuni hiyo ya simu...
Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini.
Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa wapinzani wakati sio wapinzani.
Sasa hovi chini ya Lissu na Heche ndio kimekuwa chama cha upinzani...
Kwa sababu mpaka sasa Tundu Lissu sio mfungwa bali wanaomshikilia inaonekana wameamua kumfanya mahabusu wa kudumu ndani ya magereza itakuwa vizuri wampeleke akamzike Edwin Mtei mwanzilishi wa chama chake cha CHADEMA ambacho kwa sasa yeye ni mwenyekiti wake.
Inasemekana Mbowe kama msemaji wa familia amemualika Rais Samia kuongeza protokali za mazishi ya Mzee Mtei
Licha ya kuwepo mvutano wa Serikali na Chadema katika mambo mengi, lakini Mbowe bila kuwashirikisha Chadema amefanya mualiko huo
1. Lissu Mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani karibia...
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei.Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku ya Mazishi ambapo CHADEMA itapewa nafasi ya kutoa salam za rambirambi saa tatu...
Kahujumu maridhiano mengi kwa faida binafsi akishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa chama Jon Mrema na wenzake waliokimbilia CHAUMMA.
Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa...
Kuna dhana inajengwa Kwa miaka zaidi ya 25 Sasa, kuwa vyama vya upinzani vifutwe kibaki chama kimoja tu CCM.
Huwa sielewi akili za watu wanaowaza kuwa kama Tanzania vyama vingine inawezekana kuvifutia usajili ila CCM inatakiwa kubakia.
Hivi mnaowaza kuwa vyama vingine na hasa CHADEMA, vinaweza...
Ujumbe huo unatarajiwa kusomwa wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mtei tarehe 23 Januari 2026, kabla ya mazishi yake tarehe 24 Januari nyumbani kwake Tengeru, Arusha.
====
UJUMBE WA RAMBIRAMBI WA TUNDU LISSU KUFUATIA KIFO CHA MZEE EDWIN ISAAC MBILIEWI MTEI.
EDWIN MTEI:
MJENZI WA NCHI, KIONGOZI...
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...