chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. matunduizi

    GE2020 Lissu vs Nyalandu ni sawa na CHADEMA vs CCM masikioni mwangu

    HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili. 1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM. 2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider...
  2. Q

    GE2020 Tunautakia heri Mkutano Mkuu wa CHADEMA, nyie ndio tumaini la wanyonge halisi

    Mkutano wenu unaoanza leo umebeba matumaini kwa Watanzania wanyonge sio wanyonge wa CCM kina MO. Umebeba matumaini kwa wafanyakazi wa umma ambao hawajaongezewa mishahara kwa zaidi ya miaka mitano sasa. Umebeba matumaini kwa wakulima na wafugaji ambao wamekuwa wakikopwa mazao yao na serikali ya...
  3. GENTAMYCINE

    GE2020 Watanzania milioni 29,188,347 kuwahukumu akina Magufuli (CCM), Lissu (CHADEMA) na Membe (ACT-Wazalendo) Oktoba 28, 2020

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347. Nipashe. Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
  4. Samia atosha tukutane2030

    GE2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

    Habari wakuu! Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner. Hili ninaloliandika si tetesi na halina ukweli direct bali ni forecast yangu tu. Huu muda mfupi uliobaki kabla ya Uchaguzi mkuu...
  5. M

    GE2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

    Sasa ni Rasmi. Chama kikuu Cha upinzani nchini CHADEMA kitaanza vikao vyake kwa siku 3 mfululizo kuanzia Jumapili tarehe 2 mpaka Jumanne tarehe 4 katika ukumbi maarufu nchini wa Mlimani City. Kikao Cha Kamati Kuu kitafanyika kesho Jumapili huku Baraza Kuu likiwa siku ya Jumatatu na Mkutano...
  6. K

    CHADEMA na ACT-Wazalendo mna wajibu mkubwa kwa wapiga kura wenu

    CCM wamejipanga vizuri kupata ushindi, hata kama ni ushindi kwa njia isiyokuwa halali. Miaka yote hii mitano, na kabla ya hapo, tumesikia manung'uniko yenu kuhusu ubovu wa usimamizi wa uchaguzi wetu unaowapendelea CCM. Miaka yote hii mmekuwa mkilalamika kuhusu jambo hili, lakini hatukuona...
  7. Babu Kijiwe

    Hivi Tanzania wanayo zungumzia CHADEMA ni Tanzania ipi?

    Kwa wiki hizi chache niliamua kusitisha shughuli zangu za kuuza mikate stand ya Ubungo na kuanza kuzunguka mikoa mbalimbali kukusanya maoni ya raia mbalimbali kuhusu mwenendo wa nchi hususan katika awamu hii ya tano. Niliwahoji kwenye daladala, bodaboda, vijiwe vya story, wafanya biashara wa...
  8. sixgates

    CHADEMA mnapanda upepo, mtavuna tufani

    Siku za karibuni tumeshuhudia ushindani, kuchachafiana katika hatua ya kura za maoni katika ngazi ya Ubunge na Udiwani kupitia CCM. Tanzania nzima imekuwa ikifuatilia mchakato huu kupitia vyombo vya habari na mitandaoni hadi sasa “Wajumbe” wamejizolea umaarufu kutokana na mchakato mzima. Binafsi...
  9. YEHODAYA

    CHADEMA tunaomba mrushe Live wakati wa kupiga kura na kuhesabu za wagombea uraisi tuone demokrasia inavyafanya kazi

    Kukodi air time kwenye TV Ni gharama kubwa . Tunaomba chadema tuonyesheni tu live kipande kile Cha kupiga kura na kuhesabu tu mengine mwaweza acha kupunguza gharama
  10. Babu Kijiwe

    Kweli CHADEMA wamepoteza mwelekeo (Bhahahaaaaa)

    Nianze kwa kumpongeza mheshimiwa JPM kwa miradi mikubwa ya maendeleo aliyoitekeleza ndani ya miaka 5 ambayo sehemu yameorodhesha hapa >>> Awamu ya Tano yafanya makubwa kwa kipindi kifupi Sasa hawa hawa CHADEMA mwanzoni mwa utawala wa JPM walisikika wakisema kwamba JPM anatekeleza ilani ya...
  11. B

    Uhusiano kati ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni tete sana

    Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani. Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda...
  12. Erythrocyte

    CHADEMA Njombe yapiga marufuku waliobwagwa kura za maoni kugombea kupitia chama hicho

    Hayo yamesemwa na kamanda Rose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari. Amesema kwamba wale mamluki waliobwagwa kwenye kura za maoni wanaoomba na kubembeleza ili wapewe nafasi ya kugombea udiwani na ubunge kupitia Chadema hawana nafasi...
  13. Nigrastratatract nerve

    CHADEMA wanateseka sana kutafuta kiki kwa kulazimisha, hawana huruma hata kwenye mambo mengi ya Kitaifa. Wanaligawa Taifa

    Na David Maphone. Nimesoma barua ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) iliyosainiwa na Ndugu Tumaini Makene akiitaka Serikali kueleza kwanini Viongozi wa CHADEMA wameshindwa kuaga mwili wa mpendwa wetu Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Kwanza niseme kweli nimewashanga Sana Viongozi...
  14. J

    Kiukweli mambo yanaenda kasi sana, Dar bila Makonda wananchi wameshazoea CHADEMA mwendo mdundo

    Tulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea. Kwa sasa tunashuhudia maboresho ya kisiasa wapinzani wanadunda kama kawa ndani ya mfumo wa vyama vingi tofauti na...
  15. Chivundu

    GE2020 Ushauri kwa CHADEMA kuelekea Oktoba 2020

    Wanabodi. Nawashauri Chadema kwamba: Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa. Msifanye wagombea kua ajenda hamta pata kura. Hamuwezi kupata kura nyingi katika mazingira ya...
  16. Lord Denning

    Karibu shujaa Tundu Lissu; Umemaliza ngwe ya kwanza, umeona mwenyewe Tanzania ilivyokupokea. Hii iwe ngwe ya pili...

    Karibu Shujaa Tundu Antipas Lissu! Tanzania imekuona, Tanzania imeamka. Tanzania imeshtuka kutoka usingizini. Umemaliza ngwe ya kwanza, umeona mwenyewe Tanzania ilivyokupokea. Ni dhahiri kuwa watanzania wanakupenda ni dhahiri pia kuwa watanzania wameamka. Hawababaishwi tena na pambio za kusifu...
  17. Roving Journalist

    Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  18. Influenza

    Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa...
  19. Mwanahabari Huru

    Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa. Mwenyekiti wa Chama...
  20. H

    Ujio wa Lissu bila Polisi kutumia nguvu: Je, Makonda ndiye alikuwa chanzo cha vurugu Dar es Salaam?

    Nimeshuhudia watanzia wakiandamana kwa amani kea zaidi ya masaa matatu bika kuleta fujo Wala vurugu zozote. Je, vurugu tulizokuwa tunaziona kila wapinzani wanapokutana zilikuwa zinatengenezwa na Daudi Albert Bashite? Je, Kuna haja ya KUMPA pongezi za kipekee bwana Abubakar (Mkuu was mkoa wa sasa)?
Back
Top Bottom