chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania CCM ujana ni sifa ya ziada lakini CHADEMA ujana ni maisha yao. Sijajua UVCCM wanafeli wapi?

    Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana. Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni kijana. Lakini Chadema vijana hawanaga hizo swaga wao utawatambua kwa matendo yao tu kuwa ni vijana na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Gender stigmatization: CHADEMA kushinikiza kufukuzwa Wabunge Viti Maalum

    GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Spika Ndugai: Nitawafukuzaje wabunge ambao Rufaa zao hazijasikilizwa na Baraza kuu kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA?

    Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa. Kwa mujibu wa katiba ya Chadema Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho ya kumvua mtu uanachama endapo hajaridhika na utaratibu...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Huyu ndiye Lazaro Samwel Nyalandu

    Naupenda Urais... Nampenda Lissu... ' Naipenda Chadema... Hapa nimefika...
  5. JamiiForums Tanzania Ndungai na Dkt. Tulia hawaelewani? Kila moja anafanya yake

    Kama itakumbukwa kupitia walioitwa wabunge 19 wa CHADEMA baada ya kufukuzwa uanachama, kumetokea sintofahamu inayowachanganya watanzania kutokana kauli za viongozi hawa wawili Spika wa bunge na Naibu wake. Alisikika Naibu Spika akisema kua wabunge wale ni halali na kuwataka wabunge kuacha...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA tusaidieni kuweka mambo sawa. Baraza Kuu ndio hufukuza wanachama?

    Naona kama Spika wa bunge la JMT anakosa hoja na kuweweseka. Hivi baraza kuu la Chadema ndio huvukuza wanachama? Ndio kusema Spika Ndugai anajikita kuwatetea akina Halima kwa kudai Katiba ya Chadema bado inawatambua akina Halima. Naomba tupewe ufafanuzi, kama kamati kuu ya Chadema ilisafukuza...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA iseme inataka nini kwa Wabunge 19 Viti Maalum

    Miezi zaidi ya mitano sasa inaelekea huku kukiwa na mvutano baina ya CHADEMA na Wanachama wake 19, walio Bungeni kwa sasa. Chama hicho kila kinapojitokeza hadharani kinaeleza kuwa Wanachama hao wamefukuzwa hivyo hawana sifa ya kuwa wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano. Wanasema sababu ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika aliesema ofisi yake haina taarifa ya wanaoitwa wa CHADEMA kuvuliwa Uanachama, kumbe alikuwa muongo?

    Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama. Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Chongolo, rithi vyote kutoka kwa Dkt. Bashiru lakini siyo wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana. Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Spika Ndugai awapa mbinu CHADEMA ili awafukuze akina Halima Mdee

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho. "Aandike barua...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

    Inafikirisha sana! Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu. Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nyalandu: Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kushangilia kifo cha Rais Magufuli kilinikwaza sana

    Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha! Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni vema Chadema iache kuchukua watu kutoka CCM kwani wanawagharimu

    Kwanza nieleze kiitikadi mimi CCM (mshabiki), ila u-CCM wangu haunizuii kuona mabaya/mazuri au 'mazurimabaya' ya chama changu au chama kingine. Chadema ni chama cha upinzani tena kikuu lakini mimi naomba nikiite chama mbadala au chama shindani kwani kwa kipindi kifupi Chadema kimeweza kubadili...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa sasa wapinzani hasa CHADEMA hawana hoja mujarabu kuisurubu CCM

    Mimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na kusimamisha misuri ya shingo. CCM isipotekeleza sera na ilani ya uchaguzi vizuri. Wao hushupaza...
  17. JamiiForums Tanzania Nakusudia kuanzisha ligi ya soka ya kugombea kombe la Chadema , nawaomba wadau mniunge mkono

    Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri . Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA . Karibuni
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa CHADEMA

    Katika soko la ushindani huwa mzalishaji anaangalia nini mlaji anataka na huyo mzalishaji uzingatia hicho na kukileta sokoni na hapo huwa anapata kitu kinaitwa supa au abnomal profiti, yaani faida ya juu. Haya ni tofauti na chama cha Chadema kumlisha mlaji, wenyewe hawapendi, wanapenda kumlisha...
  19. JamiiForums Tanzania Nyalandu ulikuja CHADEMA kwa hiari umeondoka kwa hiari. Kaa kimya kutunza heshima yako

    Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri. Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako. Kwa kukusaidia tu. Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa. Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaamua kutojibizana na Nyalandu, ni jambo la wakati

    Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wa kuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…