chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani

    Wanabodi. CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe...
  2. JamiiForums Tanzania Bila utayari wa CCM kwenye katiba mpya sio rahisi CHADEMA kufanikiwa harakati zao

    Bila utayari wa CCM kwenye katiba mpya sio rahisi CHADEMA kufanikiwa harakati zao. Leo nimeona nifafanue hili suala la katiba mpya ili angalau wafuasi wa CHADEMA waelewe kwamba wanachofanya kwa sasa ni ndoto za mchana. Ni sawa na kupiga ngumi ukuta. Ni kweli kunahitajika marekebisho kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

    Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga na CCM vs CHADEMA

    Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli fc na ikashinda tambo zinapelekwa kwa Simba hali kadhalika wakifungwa tambo zinakuwa hivyo hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

    Chadema ni chama cha siasa chenye wanasiasa ambao si makini. Ni chama kilichokusanya watu wanojiita wanasiasa lakini hawana mbinu za kuishi kwenye siasa. Miaka mitano ilopita Chadema walipata shida na hawakuweza kujinafasi na serikali ambayo iliongozwa na raisi ambae hakuwa tayari kuvumilia...
  6. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“ Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba mpya alitoa matamshi yasiyokuwa na staha yenye kuleta ukakasi na kichefuchefu kwa kila anayeyasikia...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

    Wakuu, Siasa ni ustahimilivu na kuvumiliana lakini kutumia maneno makali inategemeana na aina ya mtu. Niwatolee mfano tu mtu kama mwendazake Mdude angemjibu hivi ingekuwa sawa kabisa maana bwana yule naye alikuwa na maneno ya kashfa na kejeli na lugha chafu haswa. Lakini kwa mama sidhani kama...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukataliwa na wananchi, CHADEMA wanajigeuza mgambo

    Ndugu zangu, Ni dhahiri sasa Chadema wamefikia hatua ya kujigeuza migambo. Wanataka kila wasemalo au watakalo lifanyike. Wanajiona wao ndio wanastahili "attention" ya wananchi. Rais Samia anajitahidi kukutana na makundi muhimu katika jamii kama vile wazee, wakinamama, vijana, viongozi wa dini...
  9. JamiiForums Tanzania Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali

    DEMOKRASIA HAIWAFAI WATU AINA YA MDUDE CHADEMA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Mwaka juzi niliandika makala moja iliyokuwa ikimuonya na kumrekebisha Mwanaharakati na mwana chama wa Chadema, Ndugu Mdude Chadema kuwa ukosoaji wake haufai kwani anatumia lugha chafu zilizochanganyika na matusi...
  10. JamiiForums Tanzania Siungi mkono CHADEMA kuingilia mjadala wa kudai Katiba Mpya

    Katiba mpya imekuwa ni mjadala baada ya makundi mbali mbali ya watu yakitaka ule mchakato uliositishwa wa mabadiliko ya katiba uanze upya kwa kuanzia kwenye rasimu ya Jaji Warioba. Mimi ni mmoja ya watanzania wanaotamani kuona kama taifa tunapata Katiba mpya inayotokana na maoni ya Watanzania...
  11. JamiiForums Tanzania USHAURI CHADEMA: Mdude Nyagali amemkosea adabu Rais Samia, mtakeni amwombe radhi

    Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri. Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haiko tayari kupokea Ruzuku inayotokana na Kura za Wizi!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi. Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA inadai Katiba mpya kama TANU ilivyodai uhuru kwa niaba ya Wananchi

    Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya WanaCCM kupinga katiba mpya wakiamini ni CHADEMA ndio wanataka katiba mpya kuwa na dhana hiyo ni upungufu mkubwa sana wa fikra. Swali la msingi. Je, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakati anaanzisha mchakato wa katiba mpya alisema katiba ni kwa ajili ya CHADEMA...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: CHADEMA wana Options zipi?

    CHADEMA wamejipambanua wazi wazi ya kuwa nini wanataka. Agenda yao ya uhuru, usawa na haki haipendezi sana miongoni mwa madhulumati na wanufaika wa hali iliyopo sasa. Rais Samia kajipambanua kuwa hataki dhuluma bali anataka usawa na haki kwa wote. Mama ameonyesha utayari wa kuonana na makundi...
  15. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mimi ni CHADEMA lakini kwa hili nasema NO, tena Big No

    Habari za usiku wanajukwaa. Ni muda mrefu sijachangia chochpte humu wala kuweka bandiko lolote humu zaidi tu ya kusoma mawazo yenu. Naomba nieleweke kwamba mimi ni mfuasi mtiifu wa chadema na nitaendelea kukitii siku zote.na niweke wazi kwamba sijawahi kukihujumu chama wala sifikirii kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

    Wanabodi, Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba Mwenge wa Tanzania mpya, ambayo haki na uhuru kwa wananchi unaheshimiwa na kulindwa tusikubali kuogozwa na wahuni...
  17. JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Mdude Nyagali anatakiwa kupumzika kwanza, kumpatia kipaza sauti mapema sioni tukimpenda na kumsaidia

    Am speechless [emoji87] Tulilia wengi alipoteseka gerezani Tulihuzunika sana alipolazimishiwa makosa ya uongo ili apotezwe. Tumepigana wengi Mdude chadema kuwa huru. Alipotoka jela alistahili yafuatayo; 1-Akaione familia yake akae nayo kwa muda 2-Apata physician amfanyie check up ya afya yake...
  18. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mbowe & CHADEMA: Kajipangeni Upya

    Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
  19. JamiiForums Tanzania Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

    CCM ina makundi ya wanachama wa aina kadhaa lakini, haya makundi ndio 'prominent'. CCM kindakindaki yaani hawa ni kama CCM lialia. Hawa wapo wengi kiasi na ni wazee wazee Kwa wingi wao. Hawana maslahi yoyote na chama, wengi wao wamepigika mno ki maisha. Hata hawajui kwa nini wanaipenda chama...
  20. JamiiForums Tanzania Ya Mdude Chadema yamenikumbusha kauli ya babu mmoja "Unamhurumia mtu, yeye mwenyewe amekwambia anajihurumia"?

    Honestly, kila binadamu mwenye utu ukiona jambo baya na la uonevu linamtokea mtu hujisikii vizuri. Huyu kada wa Chadema naweza kusema, yupo tu kwenye siasa ila hazijui vizuri. Siasa za nchi hii, ukizifanya kwa mihemko huwezi kupiga hatua. Kwanza hao unaodhani uko nao kwenye mapambano wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…