chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Chadema mlituambia mtaleta maendeleo ya watu; wananchi wanataka mtekeleze ahadi yenu Kwa vitendo. Mbinu nawapa

    Njia ya Mpinzani kuwaletea wananchi maendeleo nikumshinikiza mwenye dola aelekeze nguvu kwa wananchi na asilale. Njia ya mwenye dola yakuwasaidia wananchi nikuwapelekea mahitaji Yao kama walivyoomba na kama ulivyoahidi. Uchaguzi wa 2020 hatujui kama mlishindwa au mlishinda ila tunachojua ninyi...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA msimkebehi Dkt. Slaa baada ya kurudi nchini, mfuateni na mumuombe arudi ili awanyanyue kisiasa tena

    Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu. Chadema mkipata Dkt. Slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani. Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA waonesha umoja, wamchangia mtoto wa Lingwenya ada na pesa ya vifaa vya shule

    @bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane: CCM ina Wenyewe na CHADEMA ina wenyewe pia, angalia Job Ndugai na Mchungaji Msigwa Walivyofokewa

    CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai. Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatumia msemo wa Kiingereza "If you can’t convince them, confuse them"

    Hadi dakika za mwisho za kujiuzulu kwa Ndugai wana CCM wengi hawakujua wawe upande upi wa Spika au wa Rais. Ndio maana hadi sasa wabunge wengi wa CCM bado wapo kimya. Kwa upande wa upinzani hasa Chadema wao walichokuwa wanafanya ni kuchochea kuni, kuna waliokuwa wanampaka mafuta Ndugai kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania WAKATI MAMBO MENGINE YAKIENDELE LEO NCHINI OFISI ZOTE ZA CHADEMA TANZANIA ZIMEFUNGULIWA ZIPO WAZI.

    Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema zimefunguliwa ghafla uku wengi wa wambea hao wakiwa wanahoji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

    Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow. Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Chadema hawana madaraka ila wana furaha na wana watu nyuma yao; CCM madaraka yanawatesa

    Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha. Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

    Amefurushwa Mh. Ndugai kiongozi wa mhimili kinyume cha katiba. Katika hali ya kusikitisha, ni Chadema na NCCR pekee ndiyo angalau wamefahamika wanasimama wapi kwenye kadhia hii: Bado hakuna matamko yoyote rasmi ya kupinga au hata kukemea vikali kabisa ukiukwaji mkubwa huu wa haki za Mh...
  10. JamiiForums Tanzania Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai. Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

  12. JamiiForums Tanzania Wakati CCM ikisafisha uchafu bandani kwake, Chadema malizeni mchakato wa kikatiba kuwafukuza covid 19

    Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto. Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugai amejiuzulu, CHADEMA mtafufuka kisiasa?

    Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA (Covid-19) Nao Wajiuzulu

    Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena. COVID-19 waachie ngazi mara moja
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamesahau madhila yao wanamshambulia Ndugai huku wakisahau Mwenyekiti wao yupo nguvuni

    Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku. Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano. Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kushinikiza akina Halima Mdee waondoke na Ndugai kwa sababu Chadema bado haijasikiliza rufaa zao!

    Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika. Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19 ila bado hawazitolea maamuzi kwa mujibu wa katiba yao. Hivyo CCM ishughulike na mwanachama wake Job...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kujipanga kwa Ukombozi hakuna Ukomo

    Ikumbukwe ipo tofauti kubwa kati ya Chadema na mashabiki mitandaoni. Ni muhimu kukawa na focus ya hoja ipi inamhusu nani katika wawili hao. Kumekuwa na maangalizo mengi ambapo kwa hakika Chadema kama chama kinapaswa kufikiria kuyafanyia kazi: 1.Lwaitama, Heche, Kigaila na wa namna hiyo katika...
  18. JamiiForums Tanzania Tuisadie CHADEMA -2025

    Hello JF, Nimeshangaa sioni website ya Chadema, ipo ama sio? Yaani kitu simple kama hiki kuonyesha duniani who you are and what you do mmekidharau? Anyway, leo naomba tusaidiane mawazo ya kukipa chama nguvu kupambana 2025; Mimi nadhani: Kuwe na succession plan nzuri, hatuwezi kuona same...
  19. JamiiForums Tanzania Kama kwa zaidi ya miaka ishirini katiba ya CHADEMA imeruhusu ufisadi na udikteta, kwa nini hamtaki kuibadili ili muwe mfano?

    Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko? Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu amehutubia taifa lakini hakuna updates kwenye akaunti ya Chadema

    Najua ni kosa la jinai kuwakosoa lakini nadhani haya ni mapungufu yasiyohitaji Katiba mpya kuyarekebisha. Lissu amehutubia taifa kupitia YouTube, Spaces na Clubhouse kama sijakosea, lakini akaunti ya Chadema Taifa (@ChademaTz) haikuleta updates zozote za hotuba hiyo. Last tweet ni jana kuwa leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…