Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kati yao wanaume 7 na wanawake 4 wakiwemo viongozi wanne wa chama hicho kwa kufanya mkusanyiko usio halali.
Viongozi hao ni Winfrida Joseph Khenani (Katibu mwenezi wa Baraza la vijana CHADEMA...
Tokea magufuli amekufa tulisikia hiki kibwagizo kwamba CHADEMA ishakufa. Hadi sasa enzi za malkia kibwagizo ni kilekile kwamba Tanzania hakuna upinzani wa CHADEMA okay Nice nakubali.
Sasa kwa vile CCM ni chama kikongwe na kina ushawishi barani Afrika kifanye hivi, kingewaruhusu tu hao...
Nakujua vizuri wewe ni msabato safi unayependa Haki pamoja na mapungufu yako kama binadamu.
Sidhani kama mnajua picha mnayojenga Mhimili wa Mahakama hasa kwenye kuaminika na kutenda Haki kwa Wananchi na Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutokana na mwenendo mliokuwa nao miaka ya hivi karibuni...
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.”
Akizungumza na...
Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni, uamuzi wake unatarajiwa kutolewa Julai 28, 2025.
Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu...
Akizungumza Julai 26, 2025 katika hafla ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu,aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi, Sheikh Kaniki alieleza kile wanachokisimamia CHADEMA ni ridhaa kutoka kwa wananchi.
Alisema "Chadema...
Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini kushiriki katika kuombea amani, haki na viongozi wanaokumbwa na changamoto.
Akizungumza siku ya Jumamosi...
Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu...
Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa...
Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo
Kuna mambo matatu!
1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu.
Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana.
Chadema walitoa mwanga...
Tanzania tuna Upinzani wenye zero critical thinking skills.
Karne ya sasa huwezi ukakubalika kwa kutukana watu, kwa kudanganya watu, kwa kueneza roho ya chuki au kuonyesha uchu wa madaraka au kwa kutumia Hawa manabii wakitapeli akina Gwajima kwasabu watu tunaona na tunajua, tunajua na tunaona...
The Imperative of Leadership Renewal in Tanzania
A Car Service Analogy by H. POLEPOLE
Tanzania's political system, much like any intricate machinery, necessitates consistent maintenance and periodic major overhauls to ensure optimal functionality. The analogy of servicing a car offers a clear...
Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa.
Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA.
Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...