chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Andromeda Galaxy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi bila CHADEMA, ni Uchaguzi mfu

    Nimejaribu kuangalia mijadala ya wagombea wa Chama Chaumma(CHAUMMA), CUF, na AAFP, nikiri kuwa ukosefu wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), kumefanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa Moja ya chaguzi za hovyo tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe, Nakiri kuwa Tundu Antipas Lissu na John...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA mnavuna mlichopanda!

    Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa. Moja nikubadili uongozi wa juu katika mwaka wa uchaguzi, hata kama sababu zilikuwepo. Pili, u-one man show wa kiongozi Tundu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Je, Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti? Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na...
  4. Judister Gabriel Mlawa

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kukimbia pia ni USHAJAA. Chadema kukimbia uchaguzi ilifanya uamuzi sahihi

    Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa. If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu, unaweza kurudi nyuma tena na kupanga mashambulizi na kurudi tena kwenye uwanja wa vita. Kwa hiki...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema masalia wapo, na wanajishughulisha na nini kwasasa?

    Maana viongozi wao wote waandamizi walikuaga hawana shughuli zozote za kiuchumi za kujipatia kipato na kwahivyo walitegemea zaidi kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara. Hivi wale wangwana matapeli na ombaomba wa kisiasa wapo kweli? na wanajishughulisha na nini kwasasa tangu...
  6. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania CCM Kufanya uchaguzi bila CHADEMA ni kujitekenya na kujichekesha

    Hii nchi washaifanya kama ya bibi yao, ila kweli Lissu fundi na kiboko yao...CCM wanajua huu uchaguzi sio mkuu bali uchaguzi wakiduwanzi kuwahi kutokea.... Sijui watashangilia kuwa wameshinda uchaguzi kutoka kwa nani!? Yaani wamemshinda mpinzani gani!? Hili ndo linawauma ccm na Lissu kapiga...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA fuatilia Kampeni za CCM

    Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA. Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye...
  8. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

    Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Actually, to be sincere, hata wagombea wote wa CCM kwa nafasi za Ubunge/udiwani hawana ushindani wa kupoteza resources as long as Chadema haipo

    Mshindani wa kweli ni chdema. As long as chadema haipo, basi hakuna mshindani wa nguvu. Hawa wengine ni mpango wa kando ambao hauna nguvu kwenye ndoa kisheria na kimila...ni mdabwada so to say!
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

    CHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo. Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

    Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha...
  12. Sales man

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukiona hii picha ?

    CUF CHADEMA
  13. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haina hadhi ya kuitwa chama kikuu cha upinzania

    Historia Fupi ya vyama vingi Tanzania Tanzania ilirudia mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 baada ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1977 kuruhusu ushindani wa kisiasa. Kabla ya hapo, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho kilichokuwa chama pekee, kikiwa na mizizi kutoka TANU ya Tanganyika na ASP ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 All in all, kwa CHADEMA kugoma kushiriki huu uchaguzi, kunawatesa na kuwafedhehesha sana CCM

    Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Bado nina imani na mapambano ya CHADEMA kupata Reforms

    Wakuu habari, Kwa hali inayoendelea ya Kampeni za CCM ni dhahiri bado watanzania njaa inatusumbua sana, yaani jana watu wameacha shughuli zao wanaenda kawe kungaa macho kwa Kiongozi anayeshindwa kujinadi kama mwanasiasa badale yake anatoa hotuba ya kawaida kama tayari ameteuliwa na ndiye...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pamoja na madhaifu yake Magufuli, alishindana na CHADEMA kwenye box la kura pamoja na udhaifu wa Katiba yetu lakini SAMIA amezuia Kila kitu

    CCM hii ni aibu mnajitia wenyewe Yani chama kikuu Cha upinzani CHADEMA mnakizuia kupitia Dola halafu mnagombea wenyewe hii ni aibu Kwa taifa. Yani Magufuli wa worse but mama Samia is worst hakika na atakumbukwa hivyo na historia. Maskini mama hajui kuna watu wanaomtumia ila ni jina lake ndio...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi mkuu kuhusisha CCM na vyama vingine bila CHADEMA, ni sawa na ligi kuu huku mmoja kati ya Simba au Yanga akiwa amefungiwa

    Huu ndio ukweli mchungu na ni aibu na fedheha kwa CCM . Yaani kama ambavyo ligi kuu haiwezi kunoga ikiwa mojawapo ya timu kati ya Simba au Yanga ikiwa haishiriki kwa kufungiwa au kususia ligi. Tunaamini wazee ndio watu wenye busara na hekima, ila hii CCM imetu- prove wrong kabisa. Wazee...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana CHADEMA kushindwa kuruka mtego mdogo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama

    Mtu mmoja anatumika na watu wahuni kukwamisha mambo ya chama, CHADEMA inaingia kwenye mtego kirahisi. CHADEMA ilipaswa kukubali siku ya kwanza kabisa mali kugawana sawa kwa amri ya mahakama. Zoezi lingeisha ndani ya wiki moja. Mali zenyewe ni magari na majengo machache yasiyohamishika. Hata...
  19. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Waende kwa CAG kwa sasa CHADEMA imefungiwa inaweza leta hizo document na haina wafanyakazi

    Watu wote wamezuiwa kutumia resources za CHADEMA kama wanataka nyaraka wafungulie CHAMA kishwa waende kwa Katibu Mkuu John Mnyika na kamati tendaji yake waulize maswali kuhusu hizo financial report wanataka Unafungia chama kisifanye kazi halafu unaomba nyaraka za kihasibu huyo mhasibu...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yafuta amri za Msajili wa vyama vya Siasa kwa CHADEMA, hukumu nzima hii hapa

    Mahakama kuu Kanda ya Manyara imefuta amri ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya kuzuia ruzuku ya CHADEMA na kutowatambua Katibu Mkuu na maibu wake wawili na wajumbe wa Kamati Kuu waliothitishwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 baada ya uchaguzi wa ndani wa chana hicho. Hukumu hiyo imetolewa leo...
Back
Top Bottom