Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nawaza tu kwamba kama BAVICHA bado inaishi na changamoto zote wanazokutana nazo siku wakiachiwa wajinafasi kisiasa hali itakuwaje?
Ni hero kuilambisha asali hivi hivi hapo tunapoteza kodi zetu.
Wanachezewa masharubu, hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa CCM, kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju, huo ndio ukweli, halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Kumeibuka dondoo kuwa Viongozi wa CHADEMA walio nje ya nchi Tundu Lissu na Godbless Lema wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania.
Aidha, inadaiwa pia wawili hao mpaka sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za...
MADAI
Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Zaidi ya hayo inadaiwa Bunge litaridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu...
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.
Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa...
Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo hakuna chama hata kimoja Tanzania kinaweza kukitingisha.
CCM ni kweli wamesema kwamba wanategemea...
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda sana na kuwavumilia Chadema vinginevyo mh Mutungi angekifutilia mbali.
CHADEMA na viongozi wenu msipofuata agizo la mwenyekiti Mbowe kwamba muache Mihemuko, Uzushi na Uchochezi basi chama chenu hakika kinaweza kufutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya...
Baada ya Chadema kuondoa pingamizi lao, kina Mdee nao wameamua kuondoa pingamizi ambalo walikuwa wameliweka dhidi ya kiapo kinzani cha Chadema.
Sasa Mahakama itaanza kusikiliza maombi ya msingi ya ridhaa ya kufungua rasmi shauri la kupinga kina Mdee kuvuliwa uanachama.
KIBATALA: Maombi ya...
Lack of wisdom
"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu...
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi CHADEMA ya udhalilishaji wa kijinsia.
Kingine nimewaagiza waangalie ni kosa gani kisheria wanalotenda kwa kuwaita Hawa wanawake Covid-19.
Nimetafuta pia wachunguzi huru kutoka...
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.
Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu...
Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika
Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu
Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge.
Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu.
Mnataka iweje? Rais aamuru Halima na wenzake wasiwe wabunge bila mahakama kufanya maamuzi?
Kisa tu mnajua kuna huruma ilifanyika na akachomoka kesi la ugaidi?
Maridhiano yenu na kulamba asali...
How comes a party with over 25 years in the game falls short to make mere predictions of some events that may harm their political journey?
A week ago the court ruled in favour of CHADEMA when it scrapped objections Halima and 18 special seat MPs. After the court's rule CHADEMA lawyers and...
Habari JF,
Hivi kama watu, hasa vijana hampigi kura nini mnategemea? Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 watanzania waliojiandikisha kupiga Kura ni milioni 29.8 , lakini ambao hawakupiga kura ni milioni 14.8.
Sasa kama watu milioni 14.8 hawakupiga kura, si ndio hawa wanaojaza mikutano ya CHADEMA na...
Nchi hii ukiona media au watu maarufu (wanasiasa, wasomi, wanazuoni, n.k) wanaongelea jambo fulani kwa uhuru, jambo ambalo mwanzoni walikuwa hawezi kuliongelea au kuliuunga mkono, ujue teyari jambo husika lina baraka za watawala na liko mbioni kutumia au kutokea.
Kwa misingi huo, naiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.