Kama penzi liotalo moyoni hufa kwanini CHADEMA haifi?

Kama penzi liotalo moyoni hufa kwanini CHADEMA haifi?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,373
Reaction score
12,020
Najiuliza kama niliweza kuachana na mke wangu wa ndoa niliyempenda kutoka moyoni kwa Nini nashindwa kuichukia CHADEMA?

Najiuliza Ili swali nakosa majibu ebu wadau saidieni kwa nini hali ili hivi?

Mbowe alifungwa miezi 8 Bado hakuikita imekufa, Lissu alipigwa risasi 32, bado CHADEMA wamo tu,
leo hii yuko ndani, bado CHADEMA wapo tuu

Walikuwa mawazo soka na wengine Bado penzi limemea moyoni wao tu

Najiuliza ni penzi la namna Gani walilo nalo WanaCHADEMA?
 
Screenshot_20260125-000726~2.png
 
Hakuna kitu hatari kama nyakati. Ccm ikubali tu hizi si nyakati zao, ni vyema wakapisha kukiwa na amani kuliko kusubiri kuja kutokewa kwa machafuko maana wataishia jela.
 
Najiuliza kama niliweza kuachana na mke wangu wa ndoa niliyempenda kutoka moyoni kwa Nini nashindwa kuichukia CHADEMA?

Najiuliza Ili swali nakosa majibu ebu wadau saidieni kwa nini hali ili hivi?

Mbowe alifungwa miezi 8 Bado hakuikita imekufa, Lissu alipigwa risasi 32, bado CHADEMA wamo tu,
leo hii yuko ndani, bado CHADEMA wapo tuu

Walikuwa mawazo soka na wengine Bado penzi limemea moyoni wao tu

Najiuliza ni penzi la namna Gani walilo nalo WanaCHADEMA?
Chadema ilishavuka level ya kuwa chama chansiasa, now ni alama ya resistance nchini
 
Ile ni platform inayoaminiwa kuwa haiko chini ya watawala. Hivyo wenye mawazo mbadala wote wanajikuta automatically mioyo yao iko huko.

Ndio maana tunasema hao wanamshauri huyo kiongozi kuwa aifute CDM hawana akili na huyo anayepokea ushauri wa wajinga ni mpumbavu.
 
Mizizi ikiwa chini ni ngumu mti kutetereka.

CCM wangetekeleza mengi waliowahi kuyaongea na kuyapigia kelele CHADEMA , basi CHADEMA ingebaki irrelevant hivyo CCM ingejipatia turufu kwa watu.

Sasa CCM ikajikuta inaenda kinyume mtu akiongelea katiba mpya anapewa kesi ya uhaini.

Mtu akiongelea wizi wa kura anapewa kesi ya uhaini.

Mtu akizungumzia ufisadi na kuuzwa rasilimali anatekwa na kuuwawa.

CCM badala ya kutatua matatizo ya watanzania wao wanaona ni heri kumziba mdomo yule anayesema hapa kuna tatizo ilhali tatizo linaendelea kuwepo.

Mpaka sasa CHADEMA ndio chama kisicho hata mwenyekiti katika ngazi ya chini kiutawala ila kina nguvu kuliko hata CCM na project zake kama CHAUMMA na ACT.

Sababu ni nyepesi tu , CHADEMA ndio chama kilichobaki kinachoona na kuyatambua matatizo ya watanzania hivyo lazima kiwe na nguvu na hata wakisema wanakiua wataua majengo , jina na nembo ila mawazo na maono ya watu wake yatabaki palepale maana ndio platform ambayo wananchi wote wanakutana na matatizo yao yanaonekana yanapewa uzito.

Hebu chukulia mfano alipotekwa Polepole hakuna chama kingine chochote kilithubutu kutoka hadharani na kulaani isipokuwa CHADEMA , CCM kama chama chake au hata wale rafiki zake hakuna aliyethubutu kuongea chochote unafikiri wananchi watashindwa kuona chama kipi ni sahihi kwao?

FRELIMO iliundwa Dar es Salaam 1962 imepigania uhuru wa Mozambique kutokea mafunzoni Kongwa ,Dodoma hadi Mozambique imejikomboa 1975 ndio ikahamia huko hivyo kwa miaka 3 hawakiwa hata na ofisi ya chini ya mti ya chama ila mioyoni mwa wanamsumbiji walifahamu wanahitaji nini na ni akina nani watawapa hitaji lao haijalishi hata kama hawawaoni wala kuwajua.

Hivyo anaemshauri Chande na genge lake kuifuta CHADEMA anamdanganya 100% kitazaliwa kitu kingine kipya ambacho hata kitakua hakionekani na wanaweza kuchukua miaka mingi kukijua achilia kutaka kukizuia.
 
Back
Top Bottom