chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CCM waliomba kanisa Katoliki kuwaleta CHADEMA katika meza ya maridhiano!

    This is very ridiculous.. Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..! Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda...
  2. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wameumia Sana Mioyo yao Kuona TEC Wameonana na kufanya Mazungumzo na Rais Samia. Wababubujikwa Machozi ya Huzuni

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA Wameumia sana kuona Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameonana na kufanya Mazungumzo na Viongozi mbalimbali wa baraza la Maaskofu wa kanisa la Katoliki Tanzania. Yaani CHADEMA wamenuna na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateka Anga La Siasa Za Tanzania. Kila Sehemu ni Yeye Tu Mitandaoni. CHADEMA na Lissu Wao Hakuna Mwemye Habari Nao

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia Anakubalika ,kupendwa,kuungwa Mkono na Kufuatiliwa kila hatua apigayo . Rais Samia ndiye Habari kuu na habari ndiye yeye . Kuanzia vijiweni, mitaani, Magengeni na kila Sehemu yenye Mkusanyiko Wa watu habari Kuu ni Rais Samia tu na shughuli anazozifanya. Rais...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kesi nyingine kwa CHADEMA

    Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamekishtaki tena chama hicho katika mahakama kuu ya Dodoma. Walalamikaji katika shauri hilo Miscellaneous Cause No. 205810F of 2026, Barnabas Okola, Joseph Mwakidasi, Mathias Cosmas, Abubakari Mashambo na Lembruce Mchome...
  5. JamiiForums Tanzania Hata huyu yumo kwenye orodha ya chadema ya waliotekwa na serikali?

    Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi...
  6. JamiiForums Tanzania Chadema kitengo cha mawasiliano ya umma kinapwaya sana

    Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Kosa ambalo tumewahi kulifanya CHADEMA ni kuwaamini watu wasioaminika

    John Heche anasema anasema moja ya makosa ambayo wamewahi kuyafanya ni kuwaamini watu wasioaminika, anasema waliwaamini CCM kwenye maridhiano a Mbowe na kumbe ulikuwa ni ulaghai tu na kosa lingine ni kuwaamini CCM kwenye katiba mppya wakati ule wa mchakato bungeni na baada ya hapo CCM kupitia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kuhusu maridhiano

    Mtangazaji:"Kuhusu maridhiano, hapa nimesikia mwanzoni umezungumza unasema kwamba hakuna maridhiano mpaka wapatikane watu kutoka nje. Unaamini kwamba Tanzania haiwezi kufanya mambo yake bila kushirikisha watu wengine?" John Heche: "Hivi vitu Farhia si vitu vinavyotokea kwa mara ya kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA inadaiwa na Mwaipopo mali, fedha au chochote mrudishieni kwasababu kila kukicha anawalaumu hadi koo linamkauka

    Sijajua kama kuna madai kati ya Mwaipopo na CHADEMA kwasababu kila kukicha analaumu akidai CHADEMA ni Chama kiovu Amekuwa akilaumu kucha kutwa hadi koo kumkauka, imefikia hatua ya kuwaita CHADEMA, Wananchi wanaoiunga kuwa ni wajinga Huku akidai kuwa yeyote atakayepanga kumdhuru atateketea yeye...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
  11. JamiiForums Tanzania Project mbalimbali za kuibomoa CHADEMA zimefanikiwa kiasi gani?

    Mkakati au "project" mbalimbali za kisiasa zenye lengo la kuibomoa, kuidhoofisha au kuigawa CHADEMA zimefeli kwa kiasi kikubwa, kwani chama hicho bado kimesimama imara kama nguzo kuu ya upinzani hapa Tanganyika. Hata hivyo, mikakati hiyo imefanikiwa kwa kiasi kidogo kuongeza presha ya kisheria...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: kuna mpango wa kugawa CHADEMA utakaohusisha viongozi wakubwa wa CHADEMA, unapangwa na kuratibiwa na wanaCCM. Chama kipya?

    Mange kitambi amesema kuna mpango wa kugawa Chadema. Mpango huo utahusisha Freeman Mbowe na Viongozi wengine wakubwa wa Chadema. Pesa za opesheni hiyo itapita kwenye Bank M ambayo itatumika kupitisha fedha hizo. Bank hiyo itatangaza kufilisika kisha watainunua. Kupambana na ccm ni kazi ngumu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA toeni kauli kupinga hii the so called Tume

    Silence means what? Consent? Tuanzie hapo
  14. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  15. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Ujumbe ambao Hatari Mkapa aliwaambia CHADEMA

    My Take Chadema ni wapumbavu sijui wanahubiri ukombozi gani wakati Tanu ilishaleta ukombozi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/reel/DbsGl72oHQJ/?igsh=cXJvajNzaTVnZXd6
  17. JamiiForums Tanzania Safari ya chadema kuchangisha milioni mia3.34 imefikia wapi ndugu wadau wa Jf?

    Naona hakuna updates tena kama awali, kuna changamoto yoyote?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwa nafsi zetu. Ni nani mwingine CCM zaidi ya Dkt. Nchimbi anayeweza kusema jambo na WaTanzania wakamsikiliza

    Nilisema nimejiweka tayari kuzibua masikio yangu yote kumsikiliza Dr Nchimbi kama analo jipya la kuwaambia waTanzania juu ya ubovu wa chama chake. Hii ni bila kuathiri uamzi wangu niliokwisha hitimisha kwamba "Kupona kwa Tanzania, hakuna budi CCM yenyewe ife", kwanza. Nimemsikia Dr Nchimbi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na watu wenye mapenzi mema, toa tamko kuhusu comedy hizi za tume toka Namibia na Uganda. Iambie dunia kinachoendelea ili kuficha ukweli

    Msiache comedy hizi zikapita bila kukemewa. Tafuteni wataalamu wa sheria, siasa, psychology, philosophy and the like fields to counter these movies. Msiache bila kutoa strong statements against these rubbish
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…