chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama kitakatifu kinachonajisiwa na wanaokitumia vibaya

    Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani walikuwa ni watu makini, wasomi wa uchumi na wenye heshima na hekima nyingi waliolitumikia taifa lao kwa uaminifu mkubwa katika ngazi ya juu katiba kitaifa ya Ugavana wa benki kuu. Walianzisha CHADEMA lakini sidhani kama walikuwa wanajua kuwa iko siku chama...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

    Hamjambo! CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao. CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili. Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mkubwa Viongozi wa CHADEMA Wakiongozwa na Heche Walishazitafuna pesa za Michango na kuanza kuhaha kufidia . Ndio Maana wakasogeza mbele

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapaswa kujifakari

    Anaandika Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Mkazi wa Jijini Mwanza Alloyce Nyanda (Mtozi), akionesha kuunga mkono chapisho la Msanii wa Muziki wa 'HipHop' Nchini, anayeishi Nchini Marekani kwa sasa Roma Mkatoliki (ambalo tumeweka kwenye post iliyopita): "Ukisoma andiko la Roma, kama utataka...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wanalilia salamu za rambirambi kutoka CHADEMA.

    Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi amesema kamsikia mara mbili Tundu Lissu akisema Chadema wapeleke salamu za pole kwa Samia lakini hajamuona Heche kufika Kizimkazi. "Nimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumshindwa Tundu Lisu, wameamua kumfuata namba 2 wa CHADEMA. Je wataweza?

    Hamjambo! Sisi tunatazama. Tunafuatilia kila kitu kwa ukaribu sana. Tunahakikisha hatutapitwa na chochote. Ingawaje kuna baadhi ya episodes hatuzielewi na kuzifanyia tathmini inachukua muda. Katika mchezo wa Chess huo ndio napenda kuutumia katika mambo ya kisiasa. Kwa sababu unaakisi hali...
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Lema, Sugu, Martin masese na Boni yai mnatafakarisha. Na wew Hilda newton acha kuleta migogoro kwenye chadema yenu

    God bless lema , Sugu ,MMM, na kibonge boni yai ukiwatafakari kwa kina Kuna namna utaanza kupata mashaka juu ya uaminifu wao kwa chama chao cha chadema. Mienendo Yao ya kisiasa Haina tofauti na makada kadha wa kadha waliotekwa na kupoteza maisha , Tena makada maarufu na nguli ambao ukosoaji wao...
  10. Girland

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu unavyoweza kuchochea mpasuko ndani ya chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Lema ana malengo gani na CHADEMA? Matendo yake yanatia wasiwasi

    Sio mara ya kwanza Lema kutiliwa wasiwasi na wanachama wa Chadema. Kipindi cha Uchaguzi wa Mkiti kanda ya Kaskazin alisusa akakimbia Canada, hata wakati wa Uchaguzi wa Mkiti taifa uliomuondoa Mbowe alionekana kumuunga Lissu kwa shingo upande hakuwa na option nyingine. Kwenye kikao cha Kamati...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Siasa za Ubabe na Vurugu

    Siasa za chadema zimeingia katika level nyingine ya UBABE, NGUVU, VURUGU, CHUKI NA HASIRA. Kwa bahati mbaya, hawana silaha. Wangekuwa na silaha, WANGEUA ILI KUWEKA MAMBO SAWA. Ukisikia aina ya maneno na sera zao kwa sasa, unaona kuna transformation kubwa sana.
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kunazidi kuchafuka

  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Heche na DGIS: Mtafaruku CHADEMA!

    Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya kusikia Heche kumbe ana mazungumzo ya siri na DGIS. Kweli CCM sio chama cha kuchezea.
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Siri ya Heche na DGIS yatikisa CHADEMA

    Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya kusikia Heche kumbe ana mazungumzo ya siri na DGIS. Kweli CCM sio chama cha kuchezea.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amchana Lissu na CHADEMA kwa kuleta mizaha kwenye harakati za kukomboa Taifa kufuatia salamu za Lema na Lissu kwa kifo cha mume wa Rais

    Kwa hili niko na Mange 1,000 percent. Watanganyika wametumia msiba wa mume wa Samia kumkumbusha kwamba na wao waliumia vibaya kuuliwa wame, wake, watoto, na ndugu pamoja na utekaji, utesaji, ubakaji na ufiraji usioisha. Sasa Lissu wawezaje kufanya mizaha na kucheka cheka na watu waliokupiga...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

    Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
  19. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Je, Huu Ni Mwisho wa Ushirika wa CHADEMA na Wanaharakati?

    Walianza na FAM& Co. Wamemgeuka sasa Yule Aliekua akifanya nao zile mission za kumchomoa Joka la Kengeza. Ila Lema Uzuri awezi kubali Kufa Kizembe Atamwaga mboga. Kamwaga ya Direct Contact ya Heche ma Boss Kubwa. Mtananage ukiendelea siku 2 Mtajua Mengi ya sirini. Chadema ikibali...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA WANA ROHO MBAYA KULIKO CCM WAKIPEWA NCHI WATAUA SANA WATU

    Tumeshuhudia roho mbaya sana ya CCM kuzidi ya wanyama wakali wa mwituni , leo tunashuhudia mtandaoni Chadema na wananchama wake wakiwa na Roho Mbaya zaidi ya ile ya CCM !! Tutaponea wapi wananchi ? Je ni bora tubaki na hawa Mbwa mwitu waturarue wanavyotaka au bora tuingie kwenye Mdomo wa Simba...
Back
Top Bottom