chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Pompom za Magufuli hadi Vita na CHADEMA: Mange Kimambi Anapigania Mabadiliko au Anavuruga Upinzani?

    Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
  2. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania USHIRIKIANO BAINA YA TEC,WANAHARAKATI NA CHADEMA UNAZIDI KUBAINIKA BAADA YA WAO WENYEWE KUSHUTUMIANA

    Friends and Our Enemies, "How you do anything,is how you do everything"...Dante. Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Eti nyie jamaa wa CHADEMA Kuna haja gani ya kufuga manywele kama Tundu Lissu au kwenu ndo Demokrasia?

    Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation wakiongozwa na deputy kiti Hivi kama mnafuga manywele hivyo kama Tundu Lissu mtaweza kuweka mezani hoja...
  4. B

    JamiiForums Tanzania LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA

    15 September 2026 Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, yaliyofanyika leo Septemba 15 LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=lFT4XNZsv50 Hon. John W. Heche speaking at the World Democracy Day Celebrations, held today, September 15, 2026...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe

    Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe. Mtanishukuru baadaye. CUF walisaidia ACT Wazalendo kusajiliwa. Msikae kizembe sana. Kumbuka msajili...
  6. K

    JamiiForums Tanzania MADA: Uchambuzi: Sakata la Godbless Lema na Onyo kwa CHADEMA Kuhusu Mtego wa "Siasa za Kutenganishwa," Wanaharakati Mamluki, na Mateka wa Kifedha

    Wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali" zilizosambazwa mitandaoni baada ya yeye kuchapisha salamu za pole za Mwenyekiti Tundu Lissu kwenda kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa CHADEMA wanazitamani pesa za upande wa pili, Kikwazo ni wananchi na viongozi wachache wakiongozwa na Lissu

    Inawezekana Kwa miaka mingi siasa za upinzani zimekuwa za maigizo ya kutengeneza pesa. Hapakuwa na viongozi wenye dhamira ya dhati kupigania mabadiliko na maendeleo ya nchi Na huo ndio utamaduni uliozoeleka , maigizo ya maandamano, kesi za mchongo baadae zinafutwa huku watu hao wakijuana wengi...
  8. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mapandikizi ya CCM na Mbowe ndani ya Chadema, yanatolewa mojaoja

    Kama mbowe alidumu ktk black agent, zaidi ya miaka 30, akiwadanganya watanzania" kuwa ni mpenzani wa kweli" je haja acha majunior wake? Vp kuhusu kampen manaja wake kwenye uchanguzi wa chadema? Amebaki KWA kz maluum? Vp kuhusu mtendaji mkuu wa chama na mratibu ? . In short John heche na...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Lema, Mange, Sativa na Maria: Hii ni vita ya nani ndani ya Chadema?

    Godbless Lema aliposema amefikisha salamu za pole kutoka kwa Tundu Lissu, jambo ambalo kwa kawaida lingeweza kubaki katika mipaka ya utu na mawasiliano ya kawaida ya kisiasa, limegeuka kuwa chanzo cha mvutano mkubwa mitandaoni. Badala ya mjadala kubaki kwenye ukweli wa salamu hizo na maana yake...
  10. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilazimishe viongozi wake kujaza fomu za wazi za mali na madeni kuepusha shutuma za ufisadi

    Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA. Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye mishono anapoona pana madhaifu. CHADEMA tujenge utamaduni wa uwazi kwenye masuala ya fedha na mali...
  11. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Chadema inaongozwa na makada wa CCM now?

    Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm. Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale? Chadema tunawapenda Jitafakarini. Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu. Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

    Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje...
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: "Mmetusaliti!" Awalipukia wanasiasa Baada ya Kukusanya "Tone Tone"

    Mwanaharakati wa mitandaoni, Mange Kimambi, amewajia juu wanasiasa na kueleza kusikitishwa kwake na hatua yao ya kubadili mwelekeo wa kisiasa baada ya kukusanya michango ya fedha kutoka kwa wananchi. Kupitia ujumbe aliosambaza kwenye mitandao ya kijamii, Kimambi amedai kuwa wanasiasa hao...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

    1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu. Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi. Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Lema jiuzulu nyadhifa zako zote CHADEMA before it's too late

    Mimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu. Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema 2015 nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho kuondoka Chadema. Alipofukuzwa utetezi wake haukuwa na uzito tena akapuuzwa, umaarufu wake ukashuka hadi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanachama Wa CHADEMA Waomba Kusaidiwa Taarifa za Kibenki Za Akaunti Za Viongozi Wao Ziwekwe Hadharani

    Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanaendelea kuwa moto huko CHADEMA. CHADEMA wanaendelea kuukataa Unyumbu. CHADEMA wanaendelea kukata minyororo ya Umbumbumbu na utumwa . Sasa wameona kumbe walikuwa wanatumika kuwaneemesha viongozi wao . Wameona kuwa kuna ufisadi mkubwa sana unafanywa na viongozi...
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha wafuasi wa Chadema kumtukana Lema na Lissu kisa kuhani msiba ni ishara ya Chadema kuwa ni kikundi cha wahuni kilichokosa viongozi

    Miaka yote nimekuwa nikiwaasa viongozi wa CHADEMA kukemea matusi ndani ya chama chao hawakunielewa ona Sasa Leo wamegeukana wanatukanana wenyewe kwa wenyewe. Wameenda mbali zaidi mpaka kuanza kudai Hela za ToneTone ambazo zilishaliwa Kama ni kosa hata kuhani misiba ya binadamu wenzetu sasa...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiendelea kuwasikiliza Wanaharakati uchwara itakula kwao

    Mjadala unaoendelea kuhusu Godbless Lema kutuma salamu za pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kufuatia msiba wa mumewe unaonyesha tofauti kubwa kati ya msimamo wa chama na misukumo ya baadhi ya wanaharakati. Lema amekumbana na matusi na lawama nzito kutoka kwa baadhi yao, wakiona kitendo hicho...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama kitakatifu kinachonajisiwa na wanaokitumia vibaya

    Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani walikuwa ni watu makini, wasomi wa uchumi na wenye heshima na hekima nyingi waliolitumikia taifa lao kwa uaminifu mkubwa katika ngazi ya juu katiba kitaifa ya Ugavana wa benki kuu. Walianzisha CHADEMA lakini sidhani kama walikuwa wanajua kuwa iko siku chama...
Back
Top Bottom