chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

    Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu. Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then...
  2. JamiiForums Tanzania John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kupata gwanda (sare) ya CHADEMA

    Baada ya zuio kuondolewa naomba mtu mmoja anisaidie kupata gwanda la chadema suruali +shati+ kofia, Ama hata kimojawapo Karibu PM tuyajenge Kwa aliye tayari
  4. JamiiForums Tanzania Hata saa 24 hazijapita CHADEMA tayari waanza mbwembwe

    Hali ilivyo mida hii moja ya tawi la Chadema nchini. Swali : Je watapata kibali?.
  5. JamiiForums Tanzania Nani alimwambia Rais Samia asikutane na CHADEMA?

    RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano. Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

    Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi na mtu aliyemchapa. DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya...
  7. JamiiForums Tanzania Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

    Kudos wanajamvi. Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi. Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwani TRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi ni Uzalendo. Asante Sana Sugu kwa kuonesha...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA kulikoni?

    Mwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane na Mama Yetu kujenga Nchi. Mwenyekiti wako ameshaona siasa za harakati ni kupoteza muda kawaachia ma...
  9. JamiiForums Tanzania Agenda 5 za Mbowe kwa mwaka 2023

    Hatutapoa 2023, hivi ndivyo unaweza kuelezea msimamo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe kutangaza mambo matano ambayo kitayadai mwaka 2023. Akizungumza na wanahabari baada idaba ya shukrani ya kuhamia katika nyumba yake mpya jana...
  10. JamiiForums Tanzania Hai: Freeman Mbowe aaga mwaka 2022 na wanakijiji wenzake, Askofu Dkt. Shoo wa KKKT ahudhuria

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba huko Mkoani Kilimanjaro , Jimbo la Hai kwenye Kijiji ambacho anatokea Mh Mbowe , leo kumefanyika hafla ndogo ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023 , ambako Freeman Mbowe na Wanakijiji wenzake wamekutana na kufanya Tathmini ya yaliyotokea kwa mwaka huu ...
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA siwaelewi. Bado siku 2 mwezi uishe lakini Kamati Kuu haijakutana. Why?

    Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi. Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tuna dhamira ya kushika dola 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ili kufikia dhamira ya kuiondoa CCM madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. “Tuna dhamira ya kushika dola mwaka 2025, kutokana na...
  13. JamiiForums Tanzania Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

    Sina mengi yakusema, ila siwaoni siku hizi popote pale maana walikuja kwa mbwembwe. NB: Sina chama ila siipendi CCM na serikali ya Tanzania.
  14. JamiiForums Tanzania Uchawa (CCM) vs ukupe (CHADEMA) aibu kwao wote

    To every action there is an equal and opposite reaction. Hii kanuni inaonekana kuelezea vizuri mahusiano katika ya wafuasi wa CCM na wa CHADEMA juu ya jinsi wanavyohusiana na viongozi wao. Wale wa CHADEMA wanawaita wenzao wa CCM chawa na sasa wa CCM wamewaita wenzao kupe. Ulinganisho huu ni...
  15. JamiiForums Tanzania Meya Mstaafu Jacob: CHADEMA kukosa Wabunge kunaathiri Wananchi

    Meya wa zamani wa manispaa za Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob amesema kutokuwepo kwa wawakilishi wanaotokana na Chadema katika Bunge na mabaraza ya madiwani kunawaathiri zaidi wananchi. Jacob, aliyekuwa diwani wa Ubungo kwa miaka 10, amesema anaamini Chadema ingekuwa na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: CHADEMA haikwepeki katika kuamua mustakabali wa Tanzania

    Dr. Wilbrod Slaa amesema CHADEMA ndiyo kinara wa kuongoza katiba mpya kwani ipo frontline na imejibainisha kubeba agenda hii ya muhimu kuliko vyama vyote vilivyosajiliwa Tanzania. Dr. W. Slaa anaongeza kuwa njama zozote za kuipiku CHADEMA katika jambo la katiba mpya kwa kukiweka chama hiki cha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Bunge la Wananchi CHADEMA

    15 December 2022 LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA Source: ZAMAMPYA TV https://www.jamiiforums.com/threads/nimependa-concept-ya-chadema-ya-bunge-la-wananchi.1981876/ Katika hotuba yake Mwenyekiti wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukwama kwa maridhiano wa kulaumiwa siyo nyie

    Kudai haki, demokrasia, mabadiliko nk kwa njia za amani siyo kosa kokote kule duniani. Zaidi sana Chadema mmekuwa mkidai kuheshimiwa kwa katiba ya nchi iliyopo. Kwenye madai hayo mkakubali hadi kuingia kwenye maridhiano Ili kuiweka nia yenu hadharani. Kila mwenye macho au kujali amemwona aliye...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa CHADEMA wakiwashawishi vijana waandamane, watoto wao wamewapeleka Marekani kuponda raha

    Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko. Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akiachia Uenyekiti CHADEMA itakufa na kusambaratika ndani ya miezi michache

    Ndugu zangu sote Tunaona na kusikia yanayoendelea huko Chadema ambapo Baadhi ya wafuasi na viongozi wa chadema wakimuona Mwenyekiti wao Kama Msaliti na anayepaswa kuwapisha, leo Baadhi ya viongozi wanamuona Mbowe Kama muda wake umekwisha,amapitwa na wakati ,Anawachelewesha mambo yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…