Ofisi mpya ya CHADEMA na ramani tuliyooneshwa vinakinzana sana

Kikwava

JF-Expert Member
Sep 6, 2015
1,121
527
Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA.

Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua yanayolizunguka jengo.

Tunaomba chama (CHADEMA) kitoke hadharani kijibu maswali yafuatayo;
1. Ramani ya awali mmejengea jengo la Nani? Na kwanini mlitumia garama kubwa kuandaa ramani ili Hali mnajua hamtaitumia?

2. Hilo jengo mmenunua/mmejenga na Kama mmejenga kwanini mlituficha Ramani mkaonesha Ramani ya ghorofa?

3. Nani mmiliki wa chopa?

ASANTENI
Naishukru serikali chini ya Dr. Samia kwa kuendeleza Uhuru wa habari na kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa.
 
Mbona vijana wa chadema mnakuwa wakali sana acheni matusi jibuni hoja mbona mnapoihoji serikali huwa mnajibiwa kwa busara sana au nyie wenzetu mna sera ya totalitarianisms democracy, mtujibu ili tujue. Nauliza Nani anamiliki chopa mnatukana, ramani mmejengea wapi mnatoa povu🚮
 
Kwa ukubwa wa chama chao... wangetafuta mkoa wowowote wanunue hata pori kubwa heka 100 kwa ml 10 tuu... wangetengeneza makao makuu makubwa na kufanya siasa za kufa mtu. Tatizo hii nchi hainaga mtu yupo serious
 
Sijasema hayo, nimesema andamana, wewe si ndo umeleta taarifa ambayo una uhakika nayo? Kama unataka tukujioni leta ushahidi, kama hauna wewe kaandamane.
Kama huna majibu tulia waje wahusika masupreme leader wenyewe
 
Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA.

Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua yanayolizunguka jengo.

Tunaomba chama (CHADEMA) kitoke hadharani kijibu maswali yafuatayo;
1. Ramani ya awali mmejengea jengo la Nani? Na kwanini mlitumia garama kubwa kuandaa ramani ili Hali mnajua hamtaitumia?

2. Hilo jengo mmenunua/mmejenga na Kama mmejenga kwanini mlituficha Ramani mkaonesha Ramani ya ghorofa?

3. Nani mmiliki wa chopa?

ASANTENI
Naishukru serikali chini ya Dr. Samia kwa kuendeleza Uhuru wa habari na kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa.
TUMIA AKILI JAPO KIDOGO
RAMANI ilikuwa wakipata kiwanja ndio Wajenge kama ramani yao ulioiona.
Wao wamenunua nyumba kwa hiyo kwa Akili zako ndogo Ulitaka WAIVUNJE ILE NYUMBA ili Wajenge kama ile RAMANI ulioiona?
Kweli ujinga ni kazi
 
Lile jengo Mikocheni ni la kupanga, ipo bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa majengo mawili ya makao makuu, moja Zanzibar, na jingine Dsm.
Ccm wamekudanganya? Angalia utakufa kinywa wazi Nenda Ardhi kafanye Title search utajua kama wamepanga au wamenunua
 
Mbona vijana wa chadema mnakuwa wakali sana acheni matusi jibuni hoja mbona mnapoihoji serikali huwa mnajibiwa kwa busara sana au nyie wenzetu mna sera ya totalitarianisms democracy, mtujibu ili tujue. Nauliza Nani anamiliki chopa mnatukana, ramani mmejengea wapi mnatoa povu
Wakati mwingine mnatukanwa kwa sababu ni watu wajinga na mnahoji ujinga mtupu.
Ramani gani ilitolewa kwa ajili ya HQ ya Chadema na lini?
Ramani iliyopo mitandaoni ni ya ofisi ya mkoa Iringa na wote mnajua hilo ila ni mihemko yenu ya kifala tuu.
20230703_073834.jpg
 
Back
Top Bottom