chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

    Friends and Enemies, Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa. Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe. Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa. Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja. ========...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa serikali ya Rais Samia waizima na kuipoteza CHADEMA mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Kasi ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uchapakazi wa serikali ya CCM,ujenzi wa miradi kila Kona ya nchi yetu, mafuriko ya maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini kumeizima Kama mshumaa mikutano na harakati zote za CHADEMA mitaani. Kwa Sasa haieleweki Kama chama kipo au...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA wako wapi?

    Ile Mikutano ya Helcopter imeishia wapi? Maridhiano yameisha wapi? Bajeti Kuu imesomwa, hatuwasikiii? Ndege kubwa ya Mizigo imefika Nchini hamjaiona? NMB wametoa gawio kubwa kuliko hamjaona?
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA kujitoa kwenye maridhiano

    Kesho Baraza la Wazee CHADEMA watakutana na waandishi wa habari mchana. Taarifa za uhakika ni kuwa Lissu amefanikiwa kumshawishi Mbowe kuachana na Maridhiano. Hii ni baada ya msimamo wa Mbowe kwenye swala la bandari ambao ni kinyume na Mwenyekiti wa CCM Mhe. Rais Samia. Can they pull out of this?
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa CHADEMA Zanzibar akosoa kauli ya Ubaguzi ya Mbowe

    Kumekucha, Chadema wamegusa pabaya. ======== Katibu wa CHADEMA Kanda ya Unguja Ali Ebrahim, akizungumzia Sakata la Ukodishwaji wa Bandari za Tanzania amezungumzia umuhimu wa kutokuwahukumu Wazanzibari kwa kuzingatia vitendo vya watu wachache na si haki kusema "Wazanzibari wameuza bandari"...
  11. JamiiForums Tanzania USHAURI: CHADEMA wadocument kila kinachoendelea for 2025

    Nawashauri mapipoz, kuna mengi sana yameendelea tangu mwendazake, hadi mama yetu. Kwenye siasa, sehemu pekee ya kushitaki ukapata haki, ni kushitaki sio mahakamani, ila kwa wananchi. Sio kwamba ushitaki ili uchafue nchi au ulete fujo, nooo, unatengeneza hoja zenye mashiko na mifano vivid, na...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA yasema Haitashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika Kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

    Katika mkutano wake na vyombo vya habari uliofanyika leo, Dkt. Slaa ameongea kiuzalendo na kuonyesha ubaya wa miataba tuliokuwa nao, lakini cha ajabu vyombo vya habari nchini kinyume na maadili ya umma vimepotosha kwa makusudi kauli na mantiki na dhima ya alichokizungumza. Ili kuwachanganya...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, mambo yote yataanikwa na Wahusika wote watatajwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo inaeleza kwamba, Chama hicho kinatarajia kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma 14/6/2023. Bila shaka jambo kubwa linalozungumzwa Dunia nzima la Mauzo ya Bandari litaenda KUHITIMISHWA RASMI , taarifa za chini kwa chini zinadokeza...
  15. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmepata ajenda nzuri ya kuiondoa CCM madarakani, mjivuruge wenyewe sasa!

    Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa! Sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Mimi sio CCM sio CHADEMA!

    Nashangaa vijana wadogo bila mlengo wanaosema kuwa siasa haiwahusu! Huwa mnakosea wadogo zangu, Mwanasiasa anaweza amua tu na ukalala mahabusu!
  17. JamiiForums Tanzania Inawezekana huu ndiyo wakati sahihi kwa CHADEMA kufanya haya...

    Umofia kwenu nyote. Hali halisi imeshajionesha hususan dhamira ya CCM na waliopo serikalini dhidi ya Watanzania Kwa umakini mkubwa napenda kuwashauri CHADEMA yafuatayo Watafakari upya mtego waliouingia kupambana na Hayati wakati wasaidizi wake ndo wanaendesha nchi tena kwa kuigiza kana kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD na bandari la mvua nguo aliyekua kamanda Chadema

    Wasalaam watanganyika, Leo pita pita zangu u twitani nikakutana na trend ya huyu aliyekua kamanda (ME) chadema akasaliti chama akajiunga na ccm, Tangu aingie ccm amekua akipamgiwa/akiamua kushiriki vikao na shuhuli za kina mama ccm zaidi ya shughuli nyingine. Hatukuelewa ni kwann ana attend...
  19. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, huu ni wakati wakuwa Radio na TV ya Chama

    Ninyi ni Chama kikuu Cha upinzani na Chama mbadala wa CCM, kuwa na media yenu itasaidia sana kueneza Sera na elimu mbalimbali kwa wanachama na wananchi. Uenezi wa Chama unahitaji vyombo vya uhakika vya habari. Ni aibu kwa Chama Kikuu, kikongwe kama hiki, kutoa matamko yake kwenye Twitter huku...
  20. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amvaa Nape amwambia aache kutisha watu. Kuuza bandari isiwe sababu ya kutisha watu

    Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…