chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA yatangaza mapumziko ya #255KatibaMpya, yawapa baraka Wanafunzi wa darasa la nne

    Video: CHADEMA yasimamisha oparesheni #255KatibaMpya kupisha mitihani ya darasa la nne
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lissu Marekani - Part B

    Hapa ni sehemu ya hotuba nzito ya TAL mwana halisi wa nchi hii: "Umoja wetu - nguvu yetu." 𝗕. π—žπ—¨π—›π—¨π—¦U 𝗛𝗔π—₯π—”π—žπ—”π—§π—œ 𝗑𝗔 π—žπ—¨π—žπ—’π—¦π—’π—Ÿπ—˜π—ͺA CHADEMA Tunahitaji umoja makundi yote bila kubezana Lazima tujitofautisha na na kauli zinazofanana na CCM, ukikosolewa unasema umetukanwa, unakuwa na chawa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda alishindwa kuisambaratisha CHADEMA kipindi cha Magufuli. Je, awamu hii ana lipi jipya?

    Bashite akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliandamwa na kashfa nyingi za kuteka watu, kuanzia wanasiasa, wana harakati, wafanyabiashara wakubwa na hata wanamuziki. Ubalozi wa Marekani ulimtaja kwamba ni mtu hatari zaidi nchini Tanzania kwa uhai wa wasio na hatia. Wakamuondolea hadhi ya yeye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa CHADEMA siyo maskini wala matajiri; wana amani na fikra huru. Kuna la kujifunza kwao

    CHADEMA ina viongozi ambao siyo matajiri sana na siyo maskini sana. Siyo mafisadi wala hawana nafasi yakupata kipato kisicho halali. Wanafamilia sawa na viongozi wa CCM na wanavaa na kula kama wenzao wa chama tawala. Pamoja na kuwa na kipato cha haki ila wako huru kueleza hisia zao kisiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili CHADEMA hadi ikaomba poo ni Makonda, Nchimbi, Happi na Sabaya

    Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza. Hatimae yametimia,upele umepata...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili Chadema hadi ikaomba poo,ni Makonda,Nchimbi,Happi na Sabaya.

    Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza. Hatimae yametimia,upele umepata...
  7. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

    Wakuu JF, Greetings and I hope you are doing well. Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi akichukua Nafasi ya Sophia Mjema. Pia soma >>>Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa...
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CHADEMA is simply a lifestyle!

    "Asanteni sana kupeperusha Bendera ya CHADEMA kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Hakika CHADEMA ni imani kwa wengi!! Popote tusambaze matumaini ya Tanzania ya Haki, Uhuru, Demokrasia na Maendeleo (Ustawi) kwa Watanzania wote. CHADEMA is simply a lifestyle!" =
  9. JamiiForums Tanzania Tunoposema ACT Wazalendo wanafanya mambo kwa maonesho na kuwakomoa CHADEMA ona sasa

    Hii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani mshahara hakuna watumishi wameghairi kuja.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA isifungulie harakati za ubunge wanaotegemea kugombea 2025 waanze kupiga jaramba?

    Ningepewa nafasi yakuwashauri CHADEMA ningewashauri wawape uhuru vijana na wazee wenye nia ya kugombea ubunge waanze kujinadi kuelekea 2025. Wenzao CCM wagombea ni walewale waliopo sasa, CHadema hakuna mgombea anayefahamika jimboni. Mnasuburi nini? Lini?
  11. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

    Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe. Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA. Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu. Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
  12. JamiiForums Tanzania Nawashukuru CHADEMA kwa matendo yao ya kizalendo

    Nikiwa kama kijana mdogo mwenye umri wa miaka 38 na mwanachama hai wa CCM nimeona nitakuwa sio muungwana nisipochukua nafasi hii kuwashukuru CHADEMA hasa viongozi wao wakuu kwa matendo yao ya kizalendo. Ikumbukwe tangu kuanza kwa awamu hii ya 6, makada wengi wa CHADEMA hasa wale waandamizi...
  13. JamiiForums Tanzania TCRA: Hatujakataza matumizi ya VPN bali ni kusajili na kutoa taarifa ya matumizi ya VPN

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kwa Mkuu wake wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Rolf Kibaja imesema taarifa kwa Umma iliyotolewa juzi October 13,2023 haijakataza matumizi ya VPN kama baadhi ya Watu wanayopotosha kupitia mitandao ya kijamii. Kibaja ameiambia Ayo TV...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati

    Vyama vya upinzani na wanaharakati ni makundi mawili tofauti yenye mwonekano wa kufanana lakini kiuhalisia ni yenye kutofautiana sana. Yote mawili hujinasibu kumtumikia mwananchi kwenye agenda za ukombozi, ila yakiwa na malengo tofauti. Kwenye muktadha wa siasa za hapa kwetu, agenda kuu ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukiwasha mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23. Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa mahausiano wa chama alithibitisha kuanza kwa makangamono husika. Mzee Mbowe atasaidiwa na binamu yake...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Wanaharakati waalikeni waungwana mpatanishwe

    Huu ni ushauri wa bure kwa CHADEMA na Wanaharakati (wote ndani na nje), ikiwapendeza, waungwana kabisa. Kutoka kwa mwananchi, mdau. Kwenu waheshimiwa, niwasalimu kwa jina la solidarity: "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu." Tulikuwa tuko vizuri. Tulikuwa wamoja. Tulikuwa tukitembea vifua...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajitetea kinafiki. Yadai kuwa haikuwachongea akina Mwambukusi na wenzake mkutano ili Polisi wawazuie

  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kuwaonea wivu Mwambukusi na Sauti ya Watanzania. Ninyi kama mmepoteza kuaminiwa mtulie.

    Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi. Huu ni wivu wa kishamba. Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania. Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
  19. JamiiForums Tanzania Kyela: Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa (CCM)wageuka Shubiri, Chadema yawasha moto Msibani, DC ang'atwa sikio

    Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo . Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzeni kufungua ofisi mlizozifunga Mtaani

    Mzee baba alipoingia madarakani. Ofisi nyingi sana za Chadema zilifungwa huku mitaani . Ni muda sasa wa kufungua matawi yaliyofungwa ili kukitangaza chama na kupata wanachama wapya Jumapili njema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…