chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

    Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais. Nanukuu "Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
  2. JamiiForums Tanzania Vigogo wa CHADEMA wahudhuria Uzinduzi wa Profesa J Foundation

    Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa kwenye ukumbi wa Mlimani City , DSM , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa. Vigogo wa Chadema ni miongoni mwa watu wazito wa Nchi hii walioonekana Ukumbini humo UPDATES ======= Michango yao si haba ...
  3. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

    TULIMPISHA RAIS SAMIA. "Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo Katibu Mkuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbe serikali kupitia jeshi la polisi waliwazuia CHADEMA kama chama kuingia Katesh - Hanang kufariji wahanga wa maafa na kutoa misaada?

    Anaandika Malisa G.J toka FB page yake Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote. Mbowe...
  5. JamiiForums Tanzania Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara kuhusu kilichotokea Mlima Hanang

    Naweza kusema haya sasa ndiyo maelezo sahihi ambayo yana make sense, maana kama umemaliza form 4 naamini umesoma Geography, na hizi mambo za Mass Wasting na Mud Slides ni vitu tulivyosoma kwenye Physical Geography. ★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★ Dr. Derick Magoma, Ph.Dambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA...
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kweli Vatican wanakataa kumpa Uaskofu Padri Kitima baada ya kupata tetesi anataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA?

    Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema. Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA, watu wa Hanang wanahitaji misaada sio lawama zenu

    Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli. Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko. Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma salamu za rambirambi kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha maafa huko Hanang

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa chama cha kwanza cha siasa Nchini Tanzania kutuma rambirambi zilizoambatana na salamu za pole kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea huko Hanang na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 20 , huku watu wengine wakiwa hawajulikani walipo. Pia...
  12. JamiiForums Tanzania Chadema Digital yatikisa Mbarali, CCM yaanza kupagawa

    Tulionya mapema sana kwamba , huu mpango wa Chadema wa kusajili watu nyumba kwa nyumba , na huku wengine wakifuatwa hadi mashambani utakuja kuleta mtikisiko , hiki ndicho kilichotokea huko Mbarali . Kipo chama kinaanza kuweweseka kwamba Chadema Digital isifanyike wakati wa kazi au Week end ...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

    Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si...
  14. JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani . Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya EL na kumfanya awe msafi? Je, aliletwa kwa maslahi ya Wananchi au...
  15. JamiiForums Tanzania Musoma: CHADEMA wakutana kwa ajenda moja tu ya kuitokomeza CCM

    Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji, Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo . Mkakati wa sasa wa CHADEMA ni kuchukua wananchi wote na kuibakishia ccm viongozi pekee pamoja polisi , yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

    Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri.
  17. JamiiForums Tanzania Mbarali: CHADEMA Digital yaambatana na nyama choma

    Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe. Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo. Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan...
  19. JamiiForums Tanzania Mara: CHADEMA yakagua Mfumo mpya wa Tume ya Uchaguzi wa kuandikisha wapiga kura

    Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga kura. CHADEMA inafuatilia jambo hili ili kutengeneza ushahidi na kujiridhisha na kila...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA mpaka sasa sielewi mipango yao uchaguzi mkuu ujao

    Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…