chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kama vile wapo serious mjue, Lamadi to Bunda amsha amsha si mchezo

    Naona baada ya Mwanza SASA NI Simiyu to Mara, wananchi wanaonekana walikuwa na kiu Kali Sana. Tofauti na msafara wa Mhe. Rais hakuna mapokezi mengine yanayofanywa na wananchi Kwa wingi huu. Si Katibu Mkuu CCM wala Makamu Mwenyekiti, voluntary show up inaridhisha natumaini kwamba mama ameifungua...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

    Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo. Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola. Wanaelewa kwamba katika dola kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

    Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu. Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro. Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali. Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkitaka kupata kura 2025 acheni kauli za chuki kwa JPM

    Nimekuwa nikifuatilia posti nyingi hapa jamii forums zinazomuhusu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, pia hata mitaani na kwenye vyanzo vingi vya habari ikitokea magufuli ametajwa na kiongozi yeyote kwa lengo la kumfedhehesha basi 90% ya watoa maoni watakuwa upande wa JPM. Sasa rahi yangu kwa...
  6. JamiiForums Tanzania 21/01/2023 CHADEMA walifanya uzinduzi wa mikutano, baada ya hapo ratiba ya mikutano itafuata

    Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika. Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana...
  7. JamiiForums Tanzania Nimepata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya furaha yangu. Kiukweli nimempata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA, kwahiyo leo itakuwa full raha bhahahahahah!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kipenga chapulizwa, vijana wa Chadema Ruksa kusogea majimboni kuajiandaa na uchaguzi 2025

    Vijana wengi wa chadema wenye maono na fikra za kugombea Ubunge, udiwani na Urais walikuwa njia panda kujisogeza majimboni kwao kuanza rasmi harakati za kuwatoa wabunge waliopo. Nimeona Moto uliowashwa Mwanza jimboni au nyumbani Kwa Pambalu, Ile NI walk-up call Kwa vijana kwenda kwenye majimbo...
  9. JamiiForums Tanzania Watu walidhani leo Chadema wataongelea kupanda kwa gharama za Maisha !?

    Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio? Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanza: Hotuba ya Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho

    Wasalaam. Leo ilikuwa ni Ufunguzi wa Mikutano ya Hadhara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyofanyika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza. Pamoja na mengine mengi, hotuba ya Mwenyekiti wa Chama, Mh Freeman Aikaeli Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho. Katika hotuba...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

    Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali. Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia. Is MBOWE OKAY?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA: Pambalu aomba waliokamatwa kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru kuendelea na kazi zao CHADEMA

    CHADEMA leo imeanza mikutano yake ya hadhara jijini Mwanza. Miongoni mwa viongozi waliopewa nafasi kuzungumza ni Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu ameomba mwenyekiti wa chama hiko apeleke hoja kwa Mhe. Rais Samia Suluhu kuwa waliokamata kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtawaambia nini wana Mwanza kuhusu Hayati Rais Magufuli

    Leo Chadema wanaanza mikutano yao ya kisiasa Jijini Mwanza ambapo ndio kitovu cha kanda ya Ziwa,takwimu za sensa kwa namba zinaitaja Mwanza kama mkoa wenye watu wengi kuliko mikoa yote,Mwanza ikiwa na wakazi 3,699,872 kitakachofanyika Mwanza kitapokelewa Kagera yenye wakazi 2,989,299 kitafanyiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi watii maelekezo ya Rais Samia, wawalinda CHADEMA

    Tulioko Mwanza tumeshuhudia, Polisi wanatii maelekezo ya Rais Samia Suluhu anayetaka viongozi na wanachama wa upinzani wapewe ulinzi wa kutosha wakitimiza haki zao za Kidemokrasia. Mika michache hapo nyumba tuliona viongozi wa upinzani wakikamatwa kila walipojaribu kusimama hadharani kufanya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania CCM watatema ndoano au watakubali kunaswa na hoja za wapinzani?

    Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
  17. JamiiForums Tanzania Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

    walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Kinachoendelea Furahisha mkutano wa CHADEMA kwa wana Mwanza

    Picha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA Karibu,kwa updates zaidi! Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu wa kihistoria!
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

    Kuondolewa kwa zuio haramu la mikutano ya hadhara ya siasa ni fursa nyingine inayofungua milango ya kisiasa kujenga na kumarisha demokrasia ya Tanzania wapinzani wanapaswa kuchanga karata zao vizuri katika agenda watakazotoka nazo. Japo mlikuwa wahanga wakubwa wa utawala wake mnatakiwa kuachana...
  20. JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha: CHADEMA hamasisheni tuandamane nchi nzima

    Kwa ufupi sana Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni. Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila wamekaza mashavu. Kwa hiyo kusema tu haitoshi inatakiwa twende extra miles. Hamasisheni maandamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…