chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

    Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa? "Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi...
  2. JamiiForums Tanzania Nadhani hii inaweza kuwa ndiyo kauli ngumu sana ya Rais Samia kwa mwaka 2024

    "Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza." " Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi. Safari hii haijaanza...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Rais Samia: Jeshi na vikosi vyote vya Ulinzi vikae tayari kwa lolote wakati wa uchaguzi

    Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii, mwaka huu tunaanza...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

    Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama ilivyokubaliwa kwenye maridhiano. Hata hivyo tukiweka Kandi lengo la kisiasa tunaomba wananchi hasa wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kila anayetetea Haki, Amani, Umoja na Maendeleo Automatically anaungana na Chadema hata kama sio Mwanasiasa

    Ndugu zangu habari za leo. Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema. Hii inatokana na Chama hicho kuwa na misingi ya kuunganisha watu wote wenye mapenzi mema na Nchi hii. Misingi hiyo imejengwa kwenye Haki...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024

    Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi...
  8. JamiiForums Tanzania Je, KKKT ni mpinzani mpya wa CHADEMA?

    Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi ndizo sababu za kwanini Serikali ya CCM haitaki Maandamano ya CHADEMA

    Habari wanajamvi! Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24 mwezi huu wa kwanza nikaona si vibaya na mimi nikatoa mtazamo wangu hasa baada ya nguvu kubwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lisu Mgombea Urais CHADEMA akifanya mdahalo na Mgombea Urais wa CCM 2025 Dunia itasimama kwa muda

    Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ? Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea kwa mdahalo huo? Kama haitaruhusu unadhani kwanini itakuwa ngumu kuruhusu msuguano huu wa fikra?
  11. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Shibuda: Niko njiani kuja kuunga mkono maandamano ya Chadema 24/1/2024

    Mwanasiasa mkongwe nchini na M/kiti mstaafu wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Magale Shibuda amesema yuko njiani kutosha Shinyanga kwenda Dar es salaam kuyaunga mkono maandamano ya Chadema ya 24/1/2024 na kutoa sababu za kufanya hivyo. Shibuda ambaye amewahi kuwa kada wa Chadema na...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaanza kuongoza Nchi kabla ya kuongoza, yaelekezwa wapewe taarifa haraka

    Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania. Tuliwahi kuandika humu na kwingineko kwamba Chadema ndio inayotoa Dira na mwongozo wa nchi, nadhani sasa mnaanza kuthibitisha.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi, usianze vibaya kuwaambia CHADEMA wanatumia miguu kufikiri. Kumbuka orodha ya mafisadi wa elimu...

    Jiepushe na siasa za majitaka....talk sense, talk substance, leta hoja zijadiliwe siyo ad hominem arguments! c&p Mafisadi wa elimu Tanzania: David Mathayo atakaswa https://facebook.com/100057608486785?__tn__=< Faustine Ndugulile 23 February 2010 · 1-min read · Shared with Public Wiki...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumuiya za Kimataifa kutoa tamko kuhusu maandamano ya CHADEMA

    Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya demokrasia na siasa za Tanzania, Marekani imemuunga mkono. Na baada ya Mbowe kuondoka Balozi huyo...
  15. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pamoja na UCCM wangu, CHADEMA wana hoja ya kitaifa waachwe waseme kupitia maandamano

    Hizi ni hesabu za kijinga sana kuwazuia CHADEMA kuandamana. Kwanza watazuia nini? Ni nchi ipi duniani watu hawaandamani? WanaCCM wenzangu tutambue kuwa kama Kuna jambo CHADEMA ya Mbowe imefanikiwa ni kukubalika katika jumuiya za Kimataifa. Tutakosea sana kuzuia maandamano yake tena kwa kutumia...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wanaandaliwa na CCM kwa ajili ya 2025!

    Mambo siyo mambo mtu wao hakubaliki na wenye dunia 2025 ndiyo mwisho sasa chadema wanapashwa kufanya mapinduzi kama ya akina raila na uhuru kenyata, 2025 tuna raisi mpya. its just too complicated lkn wako pamoja wanajipanga against raisi mpya 2025, moto utawaka ccm na chadema vs globalists...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea Polisi wakiruhusu Maandamano ya CHADEMA?

    Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ? Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia . Binafsi sioni haja ya Polisi kutumia nguvu waachwe tu .
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA tambueni Makonda kupita mule alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

    Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa. Raia wanyonge...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Sababu ya Nchimbi, viongozi CHADEMA wanataka kadi za CCM

    " Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama. Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…