Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI
Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia hadhi ya kuwa chama dola, kwamba ni chama ambacho kinaweza kusimama na wananchi na kuendesha siasa zake...
Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko.
CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu, shangazi zetu Babu zetu na Bibi zetu hii yote ni kwa sababu CCM wanabebwa na Historia.
Asilimia kubwa...
Wanajukwaa,
Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Chama hiki kimeongozwa na wenyeviti takribani watatu mpaka sasa kwa maana ya Mzee Edwin...
Ndugu zangu Watanzania,
Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.
Dickson Lucas Matata
Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na...
Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena.
Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania.
Tundu Lissu...
Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya zaidi wapo waliowekwa pembeni na hawaruhusiwi kuhoji lolote, suala hili linaleta shida na tabu kubwa...
Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya Chadema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc.
Machawa CCM walipagawa kote kwenye upenyo wa kuandika lolote kuhusu vikao hivyo! JF ndiyo usiseme...
Wakuu nimekuwa nikitafakari hii kauli nzito inayotamkwa kila mara na wafuasi wa chama kinachomilikiwa na Mbowe (CHADEMA) kuwa chama chao ni mpango wa Mungu, ila bado sijathibitisha. Hata viongozi wa dini wanaokiunga mkono hawajawahi thibitisha hilo. Ila baada ya kusoma biblia na kujikumbusha...
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi katika...
Hii ni salamu kwa viongozi wa Chama cha Drmokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Moshi kwamba muonyeni kada wenu na diwani mstaafu wa Kata ya Kiusa, Steven Ngassa aache ujanjaunja wa mjini atafute kazi za kufanya vinginevyo tutamuumbua mchana peupe.
Ngassa amekuwa akifanya mambo ambayo...
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa.
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea.
Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa...
Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia.
Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...
Hii ni "fragile" period kwa vile kuna chaguzi zijazo. Maadui wenu wanasubiri mvurugane kwenye chaguzi za ndani and surely will take advantage of this kupita kirahisi chaguzi zijazo. Postpone chaguzi hizo , zifanyike baada ya chaguzi za taifa zijazo.
CHAGUZI KATIKA VYAMA VYOTE DUNIANI...
"Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais, tumekuwa tukiwabembeleza wanachama wenzetu kugombea Urais akiwemo Dkt Slaa kumekuwepo na 'trends' hiyo kwamba hatujawahi kuwa na watu wenye nguvu sana hasa ya kuleta ushindani na hata nguvu za kuweza kushinda kwenye Urais...
Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji (nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo?
Chukueni...
The Minister of Energy, January Makamba, made the statement on behalf of the President of the United Republic of Tanzania on December 19, 2022, while speaking to the Contractors at the signing ceremony of the Peri Urban III Project construction contracts between the Rural Energy Agency (REA) and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.