Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 19,019
- 21,558
Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya zaidi wapo waliowekwa pembeni na hawaruhusiwi kuhoji lolote, suala hili linaleta shida na tabu kubwa miongoni mwa viongozi wa safu ya juu ya kiutendaji ya chama hicho!,
Hekima, mizunguko ya kufaidishana iipitie safu yote ya Uongozi na si kubaguana, yule apewe na huyu asipewe!, vilio ndani ya chadema hazitaweza kukoma kwa nafsi za upendeleo uliopo!,
Mbowe kaa pembeni, akina Msigwa nao waendeshe chama kabla hakijapasuka!