Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025.
Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge?
Wajinga ndio...
Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji.
Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne.
My take; hata kama...
Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati.
Harakati hizo ni zipi?
Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki?
Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella...
CCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA.
Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu...
Hii kasumba hiko kwa watanzania karibia 80% wewe ukikosoa serikalini tu basi wewe ni Chadema. Vile vile ukisifia serikali tu basi wewe ni mwana CCM kwamba ni makosa kua na akili huru?
Tujifunze kua wazalendo na kuangalia maslahi mapana ya nchi kwanza vyama baadae CCM inaweza kupotea kwenye...
Hamjambo!
1. Bado tunawekana Sawa. Tunazungumza. Ili mambo yakae sawa.
2. Kuna vitabia vya ajabuajabu ndani ya nchi yetu. Tabia ya kujimilikisha mambo ambayo hayamilikiwi na yeyote. Mambo ya wote kundi na genge Fulani linahodhi na kujimilikisha. Hiya ni dhulma.
3. Ukweli, uzuri, uponyaji...
Chadema kwa ujinga wao tu bila kuzuiwa na yeyote waliamua kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025.
Waliamua kutosaini kanuni za uchaguzi, ilhali vyama vingine 18 vilisaini na kushiriki uchaguzi.
Baada ya kujinyima haki hiyo wenyewe kwa mahaba yao, wameamua kuita kila kitu ni haramu,
Wanataka...
Ndugu zangu Watanzania,
Hiki ni Chama Cha Ajabu Sijapata Kuona .Ni Chama Ambacho Kuanzia Viongozi wake wa Ngazi ya Juu kabisa Mpaka chini huko wanatukana,kufunua na kuporomosha Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu Ama unaweza kufikiria wameopolewa kwenye pipa la Pombe .
Hawa Jamaa wanamatusi...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, kupitia kwa Naibu Msajili wa Ofisi hiyo Sisty Nyahoza imetoa ufafanuzi kuhusiana na madai ya kwamba barua iliyoandikwa 'kutoka kwao' kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mei 26 mwaka huu inakiuka amri/ zuio la Mahakama lililotolewa hivi...
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.
Rungu hili la msajili...
Kabla ya kuanza kuzichambua kanuni 10 za Uzalendo, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kwa kutukumbusha kuwa yeye hakuondoka CHADEMA kwa hiari yake, alifukuzwa.
Mimi sikuhama Chadema. Mimi nilifukuzwa Chadema lakini "siwezi kuendelea kuwa bungeni... nikaondoka...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026
"Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
Wasalaam,
I declare interest, haya ni maono, yaan ni ndoto ilinichukua mchana ghafla nikipoteza ufahamu wa kawaida kwa muda nnao kadiria dakika moja na nusu.
Katika hali ya kustaajabisha kabisa nikaoneshwa namna vikao vya siri wakuu wakilaumiana kwanini kila pigo walilopiga Chadema limekua...
Lissu kashindikana mafisadi watajaribu kila njia . Asiamini hata watu ndani ya Chadema. Hawawezi kumshinda kwa hoja, kukubalika kwenye jamii, akili, kutokuwa fisadi, na kujitoa muhanga.
Hivyo wanajaribu kumuuwa mtu ambaye maisha yake yote anapigania haki
CHADEMA ianze kuandaa mkakati wa kuandaa viongozi ambao watakuja kuwatikia wananchi wa Tanganyika na kulinda rasilimali za Watanganyika.
Vita vya namna yoyote ile huwa vinapiganwa in the field not on desk.
Kwenye field sasa hivi Chadema ni chama cha ukombozi na wananchi wanataka kikae...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji...