Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Friends and Our Enemies,
Wengi wao wanachadema hawapendi kuliskia hili,lakini NDIYO ukweli wenyewe.
Siasa za HARAKATI ndani ya nchi hii na bara hili kwa ujumla zilishafanyika na zikakamilika.
Kilichobakia kwa Sasa ni kuongoza Dola kutokana na ridhaa ya wananchi.
Ukiwatazama CHADEMA huwezi...
Yaani huu ndiyo ukweli mchungu, tunaenda kuona mmoja baada mwingine akijiondoa kimyakimya sababu hamna maslai tena, watabaki tu wafia chama,hamna kura feki,hamna mtu kukatwa sijui kakosea kujaza fomu,hamna mtu kuhongwa,hamna mtu kulalamika kaibiwa kura,
Wasanii na machawa imekula kwao hakuna...
Ogopa ku deal na watu wasio na aibu, hawa watu hawana ustaarabu na hawawezi kujisikia mshipa wa aibu.
Kama kulikua na madudu ya kupita bila kupingwa, kura ziliokotwa kama karanga kule kawe, wataona aibu mkisusa?
Hapa wahuni wengi wanafurahia mana hawana upinzani na watapita bila kupingwa ...
Achana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni
Uchaguzi wa mwenyekiti wa chama.. Mijadala kabla, askari na baada ya uchaguzi
Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. ilipozinduliwa, mikutano iliyofuatia na mwitikio wa wananchi wa kada zote
Kukamatwa kwa mwenyekiti akiwa kwenye mkutano wa...
Ataibuka mtu kutoka chama kimojawapo kati ya vyama shikizi 19 au kutoka G55 au kutoka COVID-19 au CCM yenyewe au hata kutoka "wanaharakati" ataenda mahakamani kudai CHADEMA kuzuiliwa kushiriki uchaguzi mkuu kwa sababu ya kutojaza inayoitwa fomu ya maadili ni uvinjifu wa haki ya kikatiba kisha...
Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani?
Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo...
George Michael Uledi!
No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka...
Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi.
Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha...
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema...
Watu wengi wanajisahau na kujitoa fikra. Chadema kutokushiriki maana yake ni kwamba kuna Watanzania wengi hawatoshiriki uchaguzi hasa wakijua matokeo kama 2019, 2020, na 2024 yamesha pangwa.
Kwa mtu yeyote anayependa nchi hutakiwi kufurahia watu 30%~50% wa wapiga kura wako wawe hawaamini...
Haya ni yale tuliyokuwa tumeyakosa:
Kumaanisha tunachosema.
Kwa hakika washikie hapo hapo Kila mpenda haki aliyepo hawezi kusita kuwa nasi:
Mungu mbariki TAL, Mungu ibariki CHADEMA na Mungu ibariki Tanzania.
Eti heche nae ni kiongozi wa kitaifa. Hivi maelekezo yake yanaskizwa na yanafuatwa kweli ndani ya chadema?
Kukosea kuchagua viongozi kuna gharama kubwa sana ndugu wadau wa JF.
Eti heche nae ana bweka bweka kabisa na haijulikani ana mbwekea nani.
Kigezo cha viongozi kupimwa afya ya akili kabla...
Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.
Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina...
Wakuu,
Mambo ni motooo!
====
Heche amaesema lolote likimpata lissu akiwa gerezani Samia si tu atawajibu Watanzania bali ataijibu Dunia. Heche amesema suala la Lissu linafika kimataifa, wakili wake wa kimataifa Robert Amsterdam amesema kuanzia jumatatu suala la Lissu litafita bunge la umoja...
Wakuu,
Heche amesema hayupo tayari kusimamia uongo, kama wanasema chama kitakufa na kife lakini sio kuendeleze uongo wa CCM!
Safari hii mama anaupiga mwingi mtanyooka! Wanatetemeka huko waliko, mwengo wa kutafuta kiki za kupuuzi kututoa kwenye reli, safari hii mtaisoma namba kama nyimbo yenu...
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).
3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi...
Duniani hakuna kitu ambacho hakina side effects.
Mlevi mmoja huko nchini Uingereza, aliejulikana kwa jina la Isack Newton, siku moja baada ya kumaliza kufanya masterbation, alitamka maneno yafuatayo:👇👇
" To every action there is an equal and opposite reaction ".
Na hii ndio wasomi wa...
No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030
Tume ya Huru ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.