Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
"The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed."
— Steve Bi
Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi...
Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!!
Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango mizuri kabisa!! Yani mnaamini kuwa mnaweza kishinda uchaguzi bila kuwa na wabunge wengi? Kwa nini...
Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema.
Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano.
Kanuni hizo...
Swali lako ni zuri na linahusu siasa za Tanzania kwa sasa. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kueleza kwa nini CCM inaweza kutaka CHADEMA washiriki uchaguzi:
Uhalali wa Uchaguzi (Legitimacy): Uchaguzi wa vyama vingi wenye ushindani wa kweli huonekana kuwa na uhalali zaidi ndani na nje ya nchi. Ikiwa...
Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana!
Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi
Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si rahisi
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake...
Wasalaam ndugu zangu
Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo:
1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa makini, na kwa Tanzania kwa ujumla. Hii ni aina ya hatua inayoashiria kukosa mwelekeo wa kisiasa na...
Dodoma: Zoezi la Utiaji Saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Aprili 12, 2025
https://www.youtube.com/live/BgdcX0YUdHI?si=B53f6t_tREhsGBeD
Vyama 18 vya Siasa Vyasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima, amesema kuwa...
Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii...
TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI:
Tuwe na...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi za kisiasa zinazohusiana na haki, usawa, na uendeshaji wa chaguzi.
Kauli mbiu “Bila CHADEMA hakuna uchaguzi” na “No reform, no election” imekuwa wito wa wafuasi wa demokrasia wakitaka mabadiliko ya kweli katika mfumo wa...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake
Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
Kwa Tanzania Lissu tofauti na huko nyuma anaonakana zaidi kama shujaa wa wanyonge na si kama mwenyekiti wa chama pekee.
Kampeni zake za mwaka jana zimempandisha chat zaidi hata ya zamani na Polisi kumshika kwa mbinu za zamani sasa watagundua nyakati ni tofauti.
Kuna watanzania wengi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.