chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dr. Askofu Stephen Munga: Nawapa pole CHADEMA kwa adha

    “Siku ile kukatukia adha kuu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Uyahudi na Samaria, isipokuwa hao mitume. Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu. Sauli akaliharibu kanisa, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nakubaliana kidogo na Pascal Mayala; Lissu na CHADEMA Mbowe aliwapiga changa la macho kuhusu No reforms, No election

    Baada ya kuangalia kinachoendelea kuhusu joto la siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nimebaini kwa namna moja hama nyingine Lissu na CHADEMA wamebeba nia njema kuhusu no reforms no election, ila aliyewaletea hilo wazo alijua kabisa sisi watanzania ni waoga munoo, hivyo tusingeweza...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: G55 kuiwakilisha CHADEMA kusaini kanuni za uchaguzi mkuu kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa

    Zoezi hilo litafanyika katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi kesho juma mosi tar.12.4.2025, huku ikisemekana kwamba G55 watashiriki zoezi hilo muhimu endapo hapatakuwepo na muwakilishi wa chadema kwenye hafla hiyo ya kisheria. Una maoni gani juu ya jambo hili ndugu mdau?🐒 Mungu...
  4. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi. “Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…”...
  5. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu yaiweka Chadema njiapanda

    Hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kufunguliwa mashitaka ya uhaini na uasi inakiweka chama hicho njiapanda, hasa ikielezwa kuwa kiongozi huyo ameonyesha ujasiri mkubwa kuikabili Serikali katika kampeni yake ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiliko Hakuna Uchaguzi). Lissu...
  6. Dialogist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

    Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini CHADEMA wasiende Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka?

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA wanashangaza sana, wanasikitisha sana, wanatia aibu sana, wanaleta maswali yasiyo na majibu na kuonyesha namna ambavyo bado ni chama kichanga na chenye Ombwe la uongozi na viongozi. Inaonyesha ni chama kilichokosa viongozi na uongozi wa kuonyesha njia na muelekeo...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taarifa ya Chadema kuhusiana na kukamatwa kwa Mwenyekiti wake Tundu Lissu na Kubambikwa kesi ya Uhaini

    Jisomee Mwenyewe
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Gulogwa: Polisi msiingie kwenye mtego wa kuilinda CCM, mtatukwaza

    Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gologwa amelitaka Jeshi la polisi kuacha kuwapangia cha kuzungumza kwani siasa ina luga zake ambazo ni tamu. Aidha amelitaka jeshi kufanya majukumu yake ya msingi ikiwemo klinda raia, kufuatilia waliotekwa na kesi nyingine ikiwemo ya Lissu aliyepigwa risasi...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lema amekuwa kimya ghafla baada ya Lissu kukamatwa? Je, anaaminika kiasi gani ndani ya CHADEMA?

    Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia. Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Golugwa: Hatujawahi kusema tunataka Kupindua Serikali bali kupinga mifumo mibaya ya uchaguzi, na hii ndio maana ya Uasi

    https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye awaonya CHADEMA 'Kuweni na adabu kwa Rais Samia'

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, ameweka wazi msimamo wake kuhusu hoja zinazoibuliwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhusu unyonyaji katika mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye zao la korosho, akisema wengi wao walikosa ujasiri wa kuwatetea wakulima wakati suala hilo lilipokuwa...
  13. Kabembe

    JamiiForums Tanzania Hon. Tundu Antipas Lissu and the Fate of Chadema and Democracy in Tanzania

    Tundu Lissu is a prominent Tanzanian lawyer and politician, renowned for his unwavering commitment to democracy and human rights. Born on January 20, 1968, in Ikungi district, Singida, he has played a significant role in the nation's political landscape. Early Life and Education Lissu completed...
  14. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tutafakari siasa za CCM na Chadema kwa mfano wa Msumbiji frelimo na podems nayaona hapa kwetu..

    Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

    Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!! Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu...
  17. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wangewashawishi vyama vingine pia

    Habari wakuu... Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms....... Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani. Kuliko sasa hivi...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Heche ndo Kaimu Mwenyekiti CHADEMA kwa SASA! Ndo hatari zaidi

    1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson! 2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje: Hakuna wa kuzuia Uchaguzi, msiwape umaarufu

    Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao. Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio...
  20. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tawanyikeni hii itasaidia Nchi yote kuamka

    Habari ya leo wanajamvi. Ndugu Heche sasa TAWANYIKENI, baada ya concentration of power kuwa Kanda moja yaani Kanda after Kanda, sasa hivi ni vyema mkatawanyika. Mpige Kanda zote at ounce, hii itasaidia Nchi yote kuamka. Gawa makamanda wako vyema kwenye Kanda zote, habari ya mahakamani waachieni...
Back
Top Bottom