Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kwa sheria za Tanzania Mtu binafsi ndiye anagombea uongozi iwe urais, ubunge, udiwani nk na chama cha siasa kinamdhamini tu
Tume ya uchaguzi inashughulika na Wagombea wenye sifa za kugombea na moja ya sifa ni kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa ndio sababu Halima Mdee na wenzake ni wabunge...
Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo.
Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna...
Kipindi Cha uchaguzi, Kila msanii anaingiaga studio na kurekodi nyimbo za kuwasifu CCM, na kuwakashifu wapinzani (Chadema) CCM utumia pesa nyingi kuwalipa wasanii Ili kampeini zinoge.
Mwaka huu itabidi wasanii watunge nyimbo za kuwachamba kina Dovutwa, Selasini na Rungwe.
Je CCM itatumia...
Twende pamoja:
Hoja hii kwamba “Hata kama CHADEMA ( Na vyama vingine) watashiriki au wangeshiriki, wanakuwa kama hawajashiriki tu.” ina mizizi katika hali halisi ya kisiasa na kisheria nchini Tanzania, hususan katika masuala ya uchaguzi, uhuru wa vyama vya siasa, na uwazi wa mchakato wa...
Ruzuku ya CHADEMA itaisha June mwaka huu 2025 bunge baada ya kuvunjwa
Wamesusa uchaguzi hivyo kwa miaka mitano ijayo CHADEMA haitakuwa na pesa za ruzuku hata shilingi 100
Maana yake kwa miaka mitano ijayo CHADEMA haitakuwa na pesa kabisa za kuendesha ofisi zao za makao makuu na kanda na...
Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm)
Rejea mada tajwa.
Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Lindi na Mtwara, amesema;
"Mko tayari kwa uchaguzi...Niwaombe muda utakapofika mkiunge mkono...
Na:Mathias Byabato
Binafsi uwa siandiki sana kuhusu mambo ya siasa. Leo nimeona nisaidie muktadha kadri ya uelewa wangu. Kwa watu wanaojua mantiki na umuhimu demokrasia katika taifa lolote wanajua hasara kadhaa zitazojitokeza iwapo itasalia hivi hivi Kwa chadema kutoshiriki uchaguzi wowote 2025...
Nimesoma kule Al jazira kwamba Chadema imepoteza sifa za kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025
Hii ni fursa kwa wanachadema wenye taranta za uongozi kuhamia ccm na kugombea ubunge na udiwani
Nawatakia SB ya Mitende yenye Baraka
Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu:
Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!"
Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa...
Habari wanajukwaa na heri ya sikukuu ya matawi.
Ndugu wanabodi kama mtakumbuka mwaka 2023 ilitokea ajali ya pawatila na pikipiki iliyopelekea kifo Cha mbunge wa Jimbo letu ndg. Mtega. Tukio Hilo lilivuta hisia na kuleta majozi makuu katika Jimbo la mbarali na kuacha mijadala katika maeneo...
Tunaomba Nini? Si Miujiza – Ni Mambo ya Msingi:
1. Katiba Mpya – Ili tuwe na msingi wa haki kwa wote, si kwa wachache.
2. Tume Huru ya Uchaguzi – Ili kura iwe na maana, na si maigizo ya ushindi wa lazima.
3. Uhuru wa Kujieleza na Kushiriki Kisiasa – Ili kila sauti ihesabiwe, si kuzimwa...
Humu JF hakuna Chama kinatajwa kwa siku kama Chadema. Yaani kuna watu mpaka kwa siku wanaanzisha nyuzi 5 hadi 10 kuhusu Chadema na Lissu.
Kisha anafuatiwa kutajwa Mbowe. Namba 1. Chadema
2. Lissu
3. Mbowe
Hii inaonesha ukubwa na ugumu wa hiki chama kufa. Maana kutajwa tajwa huko ndo uhai...
Mwishoni mwa utawala wa Jk awamu ya pili, ndio nipo o level nilijua JF ni ya chadema. Kipindi hicho hoja nasikia zilikuwa za moto ile mbaya. Mpaka maafisa wa serikali nasikia walikuwa hawataki kuusikia kutokana na uozo wao kuanikwa humu. Sasa automatically nikajua this forum na belongs to...
Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe.
Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa?
Ni G55 au ule upande wa no reform no elections?
Je,
ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
Jambo kubwa lipo nyuma ya Taifa baada ya ccm chama tawala kuingia kwenye msuguano mkali wa no reform no election. Upo msemo unasema ogopa akili ya mwanadam. Mwisho wakunukuu. Soku zote ktk dunia ilio staarabika kila kitu kinaendeshwa kwa siri na kwa akili.. Yes....
Urusi aliingia vitani...
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria
Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.
Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.
2. Nani hupaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.