chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Amani Golugwa amesema CHADEMA imesitisha mikutano yote nchini hadi taarifa kamili itakapotolewa

    Wanabodi nimekutana na hii taarifa, Je, ni kweli CHADEMA wamesitisha mikutano yote nchini mpaka watakapotoa taarifa rasmi tena?
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Lissu amechemka, angeanza na reforms ndani ya CHADEMA kwanza

    Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao ni Pigo Takatifu la Kisiasa kwao, ila ni Ishara kuwa kuna Mpasuko na pia hawana Washauri wazuri

    GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe. Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya Watu kwa Ushauri thabiti ndani ya Chama cha CHADEMA na Uhai wake. Kwa Kitendo cha CHADEMA...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ina maana weekend yote hakuna mwana chadema aliyeenda kumtembelea mwenyekiti gerezani?

    Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma. Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama watanzania wana amani ya kweli basi hakuna haja ya serikali kuminyana na CHADEMA, watanzania watamaliza kazi kwenye Uchaguzi Oktoba 2025

    Hakuna haja ya kusimama jukwaani na kuwashutumu watu kuwa wanampango wa kuharibu amani. Serikali ipo vizuri na imesimama imara na iwape wananchi uhuru wa kuchagua wanyemtaka kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. WATANZANIA tuna akili timamu huwezi kunambia eti CHADEMA kusimama majukwaani na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa

    Kundi au watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa sana 1.Wajumbe wa mkutano mkuu 2.Lissu 3.Lema 4.Heche 5.Wanaharakati uchwara 6.Dr Slaa Ndani ya mioyo yao ni kuuwa chama.
  8. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je Chadema itashiriki uchaguzi kwa kutoridhia kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za mwaka 2025?

    Naomba kuanza na Msingi wa kisheria ( Legal principle) ya “Waiver of right principle” Waiving a right means that such a right cannot be claimed by that individual. Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi ni kwamba, ukipewa haki na mamlaka au mtu na ukashindwa au ukasusa kutumia haki hiyo; huwezi kurudi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania John Mnyika awajibu kisheria wanaohoji kuhusu CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025

    Anaandika JJ Mnyika Katibu Mkuu. Kujibu andiko la Wakili Msomi Jonathan Mndeme ——————— Kabla ya vifungu vya 162(2) na (3) vya Sheria ulipaswa kuanza na 162 (1). Kifungu cha 162(1) kinaeleza Tume baada ya kushauriana na vyama vyote vya siasa na Serikali itandaa na kuchapisha katika Gazeti la...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA wamejitoa kwenye uchaguzi au wameondolewa?

    Jamani naomba kuuliza mimi sijaelewa. Chadema wametolewa kwenye mchakato wa uchaguzi au wameondolewa? Lipi sahihi kusema wa meondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi. Au kusema wamejiondoa kernye mchakato wa uchaguzi
  11. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisa cha kesi za uhaini kwa Lissu na CHADEMA ni kama ANC na Mandela

    Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi CHADEMA ina Wazee wenye Uwezo wa Kushauri Uongozi na kukituliza Chama Katika Dhoruba kama Walivyokuwepo Akina Profesa Baregu?

    Ndugu zangu Watanzania, Tunaweza kuwa tunailaumu CHADEMA kwa mpasuko, Mgawanyiko,mtanziko, mvurugano na mivutano bila kujua kiini chake na kwanini chama kinapitia Mkwamo na hali hiyo . Ikumbukwe kuwa Ushindi wa Jeshi lolote lile katika uwanja wa vita unaanzia katika Umoja na Nidhamu ya hali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wengine wanavifuata hivi vyama vya upinzani kishabiki

    Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani kama chadema ,kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii

    Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla. 1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia - Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
  15. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA; baada ya tamko la kutoshiriki Uchaguzi Mkuu, fanyeni haya

    SEHEMU YA KWANZA Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba mwendapole ndiye mla nyama, polepole ndio mwendo lakini pia haba na haba hujaza kibaba... Kwanza...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TLS Mwabukusi: Kutosaini kanuni za maadili hakuzuii Chama kushiriki Uchaguzi

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi. Kupitia ukurasa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji popote nalo, limo!

    Kwamba kwenye masharti na hili #12 limo? Na bado watu wameanguka? Heko CHADEMA kwa kutokuwa tayari kuyaiga ya Mangungu!
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ilipaswa Msajili wa vyama vya siasa ndio asaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi kwa niaba ya vyama vyote, Wagombea ni Watu siyo Chama!

    Kwa sheria za Tanzania Mtu binafsi ndiye anagombea uongozi iwe urais, ubunge, udiwani nk na chama cha siasa kinamdhamini tu Tume ya uchaguzi inashughulika na Wagombea wenye sifa za kugombea na moja ya sifa ni kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa ndio sababu Halima Mdee na wenzake ni wabunge...
  19. TheMaster

    JamiiForums Tanzania Kwaheri mbowe, kwaheri chadema

    Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo. Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna...
  20. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kujitoa kwenye uchaguzi ni pigo kubwa kwa wasanii

    Kipindi Cha uchaguzi, Kila msanii anaingiaga studio na kurekodi nyimbo za kuwasifu CCM, na kuwakashifu wapinzani (Chadema) CCM utumia pesa nyingi kuwalipa wasanii Ili kampeini zinoge. Mwaka huu itabidi wasanii watunge nyimbo za kuwachamba kina Dovutwa, Selasini na Rungwe. Je CCM itatumia...
Back
Top Bottom