PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,417
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=

1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama

2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
 
Ujinga mtupu, MTU aliyekataa Unasheria Mkuuu wa Serikali Enzi za JPM, Akapigwa Risasi, akatafutiwa Mabilioni ya fedhaa na bado akagoma Kuhamia CCM.

Abdul akatumia Mabilioni wapiiiii .

Hivi unamjua LISSU wewe ??.

Muwe mnatumia Akili hata kidogo .
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
download.jpeg
 
NORENE sio ya LISSU Ni ya CHAMA ,Yalipitoshwa Enzi za Mbowe, LISSU ANASIMAMIA UTEKELEZAJI
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Ulitakiwa kuandika kwa furaha na emoji kubwa kubwa ila umeandika kwa simanzi sana
Ni huzuni kwa kweli
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Ndio unajua leo?
 
1-Mbowe hakua anamshambulia LISSU?? Watu wenye Akili Huwa hatuvumiliii ujinga .

LISSU alikua sahihi kusema against udalali wa Mbowe.
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Weee ni lijinga 3 na 4 zimethibitisha hilo.
 
Baada ya kumaliza kusahinisha vyama CcM B sasa unakuja kulalamika hapa siyo. Lissu kawaweza hasa. Nasubiri povu.
 
Ujinga mtupu, MTU aliyekataa Unasheria Mkuuu wa Serikali Enzi za JPM, Akapigwa Risasi, akatafutiwa Mabilioni ya fedhaa na bado akagoma Kuhamia CCM.

Abdul akatumia Mabilioni wapiiiii .

Hivi unamjua LISSU wewe ??.

Muwe mnatumia Akili hata kidogo .
Uanasheria mkuu wa wapi?

Mirembe?
 
Nenda kampikie mme wako.
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
Wakiwemo viongozi wakuu wa nchi hii, pamoja na viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wanafahamu kuwa nchi Taifa letu linahitaji katiba mpya ili lisonge mbele kwa kasi.
Mfano, fedha za umma zinaibiwa kila kukicha, hakuna sheria kali za kuwawajibisha wezi kwa vile hao wezi ndio wana mamlaka ya kumteaua Jaji mkuu, DCI, IGP,DGIS, spika wa bunge n.k.
Inaumiza sana, lakini siku si nyingi Taifa litapata uponyaji.
Aminini maneno yangu maana hata Mungu wa mbinguni hapendi tunavyoishi kama Taifa.
 
Back
Top Bottom