Karibu kwa huduma ya ufundi wa vifaa vyote vya electronics na umeme, kwa ufundi wenye uhakika bila ubabaishaji na uaminifu wa hali ya juu.
Vifaa hivyo ni kama;- Tv aina zote, Projectors, Amplifiers, mixers, Vinanda, Machine za kufulia, machine kubwa na ndogo za kuprint, machine za mazoezi...