Hasira na maswali mengi yanaendelea kuibuka baada ya CCTV footage na videos kuonyesha police officers wakidaiwa kufyatua risasi kwa wanafunzi wa Multimedia University wakati wa maandamano ndani ya campus.
Protests hizo zilianza Jumatatu mchana lakini zikageuka kuwa vurugu baada ya armed officers, baadhi wakidaiwa kuwa plain-clothed police, kuingia chuoni wakiwa na rifles, pistols na tear gas. Students wanasema officers walifyatua risasi hata walipokuwa wamejificha ndani ya hostels.
According to reports, four students walipata gunshot injuries. Waliojeruhiwa ni Abubakar Fugicha, Victor Kariuki, Evans Mugambi na Darren Sidandi, huku baadhi yao wakipigwa risasi shingoni, kichwani na mgongoni.
"Nilikuwa karibu na officers walipofyatua risasi na hapo ndipo nilipigwa," alisema Victor Kariuki ambaye kwa sasa amelazwa katika Kenyatta National Hospital (KNH) akisubiri kufanyiwa surgery ya kuondoa risasi iliyokwama mwilini.
Doctors wanasema Abubakar Fugicha atalazimika kuishi na risasi iliyokwama shingoni kwa sababu kuiondoa kunaweza kuhatarisha maisha yake.
Student leaders sasa wanauliza maswali mazito kuhusu jinsi armed plain-clothed officers waliruhusiwa kuingia ndani ya university na nani aliwapa authority ya kufanya operation hiyo. Wanasema students wanastahili kupata answers kuhusu matumizi ya live bullets dhidi ya wanafunzi.
Human rights activists pia wamekosoa tukio hilo, wakisema excessive force imetumika dhidi ya vijana waliokuwa wakiandamana.
The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) imeanzisha investigations kubaini kilichotokea, huku calls for accountability zikiongezeka kutoka kwa students, activists na members of the public.
Wakati uchunguzi ukiendelea, wanafunzi wanataka justice kwa waliojeruhiwa na uwazi kuhusu matukio yote yaliyotokea ndani ya Multimedia University.
Source: Citizen digital